Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Federal Air Transport Agency has extended the regime of temporary restrictions on flights to a number of airports in the south and in the central part of Russia until April 1.

Flights are limited to the airports of Anapa, Belgorod, Bryansk, Voronezh, Gelendzhik, Krasnodar, Kursk, Lipetsk, Rostov-on-Don, Simferopol and Elista.
Galip SV
20220323_134127.png
 
Kwa akili yako unafikir inatosha?? Gas ilokua inasambazwa kwa bomba unacompare na ya kusafirishwa?? Unafikir cost itabak palepale??

Hao wamekanyaga moto hata leo wameongea bado wanahitaji nishati ya Russia wewe unaongea kama nani??
Kwa muda mfupi bei zitapanda, bila shaka. Kwa muda mrefu si vile. Uchumi wa kibepari, au tuseme uchumi unaoongozwa na soko unabadilika haraka. Si idara ya serikali fulani. Meli zinaongezwa, meli zinakuwa kubwa zaidi, gharama za kubeba gesi kwa meli zitashuka (jinsi zilivyoshuka tayari).
Kusafirisha gesi kwa bomba ni ghali pia, maana unahitaji kukadiria gharama ya bomba na utunzwaji katika kila m³ ya gesi inayopitishwa. Kadri bomba ni ndefu una gharama za vituo vya kuongeza shinikizo ndani ya bomba. Kuanzia umbali fulani gharama zinaanza kulingana. Hivyo kuna nchi nyingi zinazopata gesi yote au asilimia kubwa kwa meli.
 
The FBI is trying to recruit employees of the Russian embassy through advertising on social networks.

According to The Washington Post, it is tied to geolocation and appears on smartphones only in the diplomatic mission building and next to it.

After the start of the special operation in Ukraine, Russian users of social networks were inundated with targeted advertising condemning the actions of the Russian Federation.
Galip SV
20220323_134127.png
 
Kwa muda mfupi bei zitapanda, bila shaka. Kwa muda mrefu si vile. Uchumi wa kibepari, au tuseme uchumi unaoongozwa na soko unabadilika haraka. Si idara ya serikali fulani. Meli zinaongezwa, meli zinakuwa kubwa zaidi, gharama za kubeba gesi kwa meli zitashuka (jinsi zilivyoshuka tayari).
Kusafirisha gesi kwa bomba ni ghali pia, maana unahitaji kukadiria gharama ya bomba na utunzwaji katika kila m³ ya gesi inayopitishwa. Kadri bomba ni ndefu una gharama za vituo vya kuongeza shinikizo ndani ya bomba. Kuanzia umbali fulani gharama zinaanza kulingana. Hivyo kuna nchi nyingi zinazopata gesi yote au asilimia kubwa kwa meli.
Kansela wa Ujerumani kasema Hawawezi bila gesi ya Urusi alafu wewe unawafundisha namna ya Kusafirisha gesi kwa Meli....?

Screenshot_2022-03-24-08-36-27-98.jpg
 
The US and NATO are to blame for the war in Ukraine, according to 61% of Serbian citizens.

4.5% put the blame on Ukraine, 3.5% on Russia. These are data from a survey published by the New Serbian Political Thought.

Also, 36% of Serbs think that Russia is right, while only 5% are sure that Ukraine is right. Another 29% believe that no one is right.
Galip SV View attachment 2162433
itapendeza ukiongeza kua Serbia ni ally wa Russia
 
The US and NATO are to blame for the war in Ukraine, according to 61% of Serbian citizens.

4.5% put the blame on Ukraine, 3.5% on Russia. These are data from a survey published by the New Serbian Political Thought.

Also, 36% of Serbs think that Russia is right, while only 5% are sure that Ukraine is right. Another 29% believe that no one is right.
Galip SV View attachment 2162433
Bado watu wanailaumu urusi wakati jamaa wako sahihi kumpelekea moto ukraini
 
The vote on the Russian draft resolution on the situation in Ukraine in the UN Security Council brought to light those for whom politicization is more important than humanitarian assistance, Nebenzya said.

Russia and China voted for the resolution. The remaining members of the Security Council abstained - these are France, Great Britain, the USA, India, Ireland, Kenya, Mexico, Norway, Albania, Brazil, Gabon, Ghana, the United Arab Emirates.
Galip SV View attachment 2162387
Kati ya members 15 wa Security Council ni Russia na China tuu ndio wamepiga kura,wengine wote 13 hawajapiga kura. Hapa ndio mnasema Russia ana ushawishi,labda ushawishi maandazi.
 
The UN Security Council did not adopt Russia's humanitarian resolution calling for a negotiated ceasefire in Ukraine. All members of the Security Council, except for the Russian Federation and China, abstained, according to RIA Novosti.

Due to the rejection of the resolution, Kyiv will continue to use the population as a human shield and place weapons near civilian objects, Nebenzya said.
Galip SV View attachment 2162389
Hahahaha Russia kaenda U.N kuomba ceasefire, U.N wamemkatali wamemwambia apambane na hali yake huko grounds.
 
Jeshi la Ukraine limeshambulia kwa mizinga makazi binafsi ya watu ktk vijiji vya
Zhuravlyovka na Nekhoteyevka vilivyomo ndani ya Russia mpakani na Ukraine na kuwajeruhi raia kadhaa.

Sasa ile hatari aliyoinusa mapema Putin ndio sasa tunaiona. Operesheni yake ya kijeshi ilikuwa ni ya msingi mno kwa usalama wa Russia na raia wake.

Tusubiri leo adui atakula kichapo kizito mno (kile cha kawaida + kisasi cha kushambulia makazi ya watu binafsi ndani ya vijiji vya Russia)

SmartSelect_20220324-083839_Chrome.jpg
 
Wanajipa matumaini tu ila wanajua SATAN 2 ikitua nchi yoyote mwanachama wa NATO wataomba vita iishe muda huohuo kwa sababu dunia itashuhudia mamilioni ya vifo
Akili za kitoto hizi,bado tuu mna imani kuwa Russia inaweza kupambana na Marekani au hata NATO?
 
Kwa muda mfupi bei zitapanda, bila shaka. Kwa muda mrefu si vile. Uchumi wa kibepari, au tuseme uchumi unaoongozwa na soko unabadilika haraka. Si idara ya serikali fulani. Meli zinaongezwa, meli zinakuwa kubwa zaidi, gharama za kubeba gesi kwa meli zitashuka (jinsi zilivyoshuka tayari).
Kusafirisha gesi kwa bomba ni ghali pia, maana unahitaji kukadiria gharama ya bomba na utunzwaji katika kila m³ ya gesi inayopitishwa. Kadri bomba ni ndefu una gharama za vituo vya kuongeza shinikizo ndani ya bomba. Kuanzia umbali fulani gharama zinaanza kulingana. Hivyo kuna nchi nyingi zinazopata gesi yote au asilimia kubwa kwa meli.
Yaani gesi iwe bei ndogo kwenye meli kuliko kwenye bomba inaingia akilini mzee.?
 
f-35 ule ni mradi wa kibiashara tu, wamarekani wenyew wanaziamin sana F-22 , Pia F-35 ni km project iliofeli kwakweli matatizo ni meng mno pia zinaanguka kila kukicha yaan duh
Ndege hazipimwi kuanguka kwa taarifa za habari unazosikia. Zinapimwa kuanguka kwa flight hours, hakuna ndege duniani zinaanguka kama za Mrusi kaulize kwanini Antonov na Tupolev hazikuwa zinatumika sana enzi zake, hakuna shirika kichaa litaacha kununua Boeing na Airbus likanunua hizo ndege ngumu kuoperate. Ndio maana zikapotea sokoniz unataka kusema wazungu ni vilaza wananunua F-35 wakati zina matatizo?

F-35 ilifikia flight hours 400,000 mwaka jana mapema, that means inaendeshwa sana ulimwenguni kote tofauti na types nyingine za Mrusi. Hivyo kupata ajari mbili tatu sio ajabu na hizo ajari hazisababishwi na mechanical failure tu, pilot error huwezi mlaumu mtengenezaji wa ndege.
Mrusi ana Su-57 hata 20 hazifiki ila ashaangusha moja, wakati F-35 ziko zaidi ya 700 na hazijaanguka zaidi ya 3 kama sikosei ukileta kwenye ratio unakuta F-35 ina safest record kuliko ndege kibao za Mrusi. Kaulize India ndege za Mrusi zinavyodondoka
 
Akili za kitoto hizi,bado tuu mna imani kuwa Russia inaweza kupambana na Marekani au hata NATO?
Punguza mahaba upofu kijana, vita vya urusi na NATO unadhani itakuwa ya mawe na fimbo? Unadhani Russia anahitaji kombora ngapi za Nyuklia kuiangamiza Uingereza yote ? Kwa Taarifa yako Russia anahitaji kombora 5 tu za SATAN 2 kuangamiza kila kitu Uingereza na hapo Russia INA stock ya makombora 7500
 
Back
Top Bottom