Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
wataalam.mtuelezee statement y jana ya putin kuwa sasa hatakubal kuuza mafuta yake ila alipwe kwa rubble.
huyu mwamba ana plan gan kichwan mana rube naona imeanguka ki exchage rate
Kuna desa lipo hapo juu soma vzr ndo utajua vzr ungese wa marekani. Nenda reply No. 19046. Hakikisha umepata chai kabla hujasoma ili uelewe vzr.