Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] no wonder kuona unavoambiwa size yako ni nyeto tu... Najikubali binafsi sifaham mengi kuhusu issue za vifaa vya kivita ila kwa hilo hujanidanganya...

Kwanza nikujudge tu kwa kauli au neno moja tu katika maelezo yako... Stealth maana ake "difficult to trace" haina maana ya kua ni "untraceable"...

Hiyo ni F-35 Stealth haijaandikwa F-35 Untraceable... So unakili mwenyewe kua ni "Stealth" yes ni "Difficult to trace" and yet it is "traceable"...
Usiwe ng'ombe. Ukitrack F-35 within 60 miles utakuwa umefanya nini wakati tiyari ishakuona ishatoa anti radar missile yenye range kubwa na ushakuwa majivu.

Kwenye engagement kuna rule moja ya msingi. First to see, first to kill. Ukiwasha radar uione F-35 hizo radar zako zinaonekana hata kutokea satellite angani, ila wewe utasubiri F-35 ikusogelee maili 60 ndio uishambulie wakati inajua ulipo. Utaipata wapi.
Marekani akitumia SEAD na DEAD hizo air defence system hutoziona. Uturuki tu hapa ilipiga Patsir zilizokuwa Libya na Syria ikashambulia, Bayraktar ziko Ukraine zinapiga air defence system alafu ishindwe Marekani
20220317_181651.jpg
20220320_221419.jpg
 
Hoja yako nini wewe mwenye ubongo. Aya siijui Russia, unauza nini tukusaidie?
Hoja yangu ni hii, zaidi ya 90â„… humu jukwaani maarifa ya vifaa vya kijeshi tunayapata mtandaoni kwa kusoma lakini mwenzetu badala ya kujifunza usiyoyajua unashupaza shingo kuona unajua kila kitu, elimu ni bahari bandugu
 
😂🤣🤣🤣. NAZANI UKUWAELEWA VIZURI PRO RUSSIA. KWAO MWEZI MMOJA NI SAWA NA SIKU MOJA. ILI WALAGHU WAKUELEWE KUWA URUSI NI DHAIFU HII THREAD ULIPASWA HUIANZISHE MWEZI WA 12 MWISHONI MWA MWAKA HUU.😊😊
 
The UN Security Council did not support the Russian draft humanitarian resolution on Ukraine. He called for a ceasefire for the withdrawal of civilians. Russia and China voted for the resolution, the rest of the Security Council members abstained.

"The vote brought to light everyone who politicized the humanitarian dossier is more important than UN assistance in providing humanitarian assistance to needy Ukrainians," said Vasyl Nebenzya, Russia's Permanent Representative to the UN.

The permanent representative of China also reacted to the decision of the Western countries.

"It is regrettable that the council was unable to reach an agreement. The entire international community wants an immediate ceasefire," he said.
 
Back
Top Bottom