Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Kuna kifaru cha kichina pia hapaMagari ya kichina kabisa haya [emoji23][emoji23][emoji23] inaweza kuwa Howo au Foton
Kuna kifaru cha kichina pia hapaMagari ya kichina kabisa haya [emoji23][emoji23][emoji23] inaweza kuwa Howo au Foton
Umetoka sasa kujisomea mwanafunzi wa diploma.
acha tuwachape wanaziUrusi pekee ndiyo iliibua madai ya kuwepo Nazi ndani ya UKRAINE, nchi inayoongozwa na Myahudi. Kichekesho iki[emoji1787][emoji1787]bonyeza put-in#
Yaan Myahudi aunde nazi, ili iweje?.
wanachukua uniform za jeshi la Ukraine na kuvalisha watu wao kisha wanachora chora alama Z kwenye vifaru vyao then huo ndiyo unakuwa ushahidi wa kufeed unthinkable people.
Ndio ProRussia WA Kwa msongola.Umetoka sasa kujisomea mwanafunzi wa diploma. View attachment 2158588
😂😂😂 tank za kirusi hizo leta kichekesho kingineKuna kifaru cha kichina pia hapaView attachment 2158587
[emoji23][emoji23][emoji23]The Russian army calls on the nationalists to lay down their arms and leave Mariupol.
This was stated in the Russian Defense Ministry.
[emoji3502]Russia demands a written response from Kyiv to these proposals by 5 o'clock in the morning.
[emoji3502]Representatives of the UN, OSCE and the Red Cross are invited to accompany the humanitarian operation.
[emoji3502]Humanitarian corridors will be open in the east and west directions from 10 a.m. on March 21.
[emoji3502]To date, 59,000 people have been evacuated from Mariupol, including 139 foreigners.
[emoji3502]About 130,000 more civilians, including 184 foreigners, are being held hostage by the Ukrainian military.
[emoji3502]The Russian army also appealed to the Ukrainian authorities in Mariupol.
"Now you have to decide - either you are with your people, or you are with the bandits, otherwise the military tribunal that awaits you is just a little that you have already deserved."
Historia yake ina mitizamo miwili, kuna historia kutoka Wikipedia... Na kuna historia kutoka kwa ma "Patriots"...Hivi history yake imekaaje? naomba nifahamu kutoka kuwa comedians mpaka president
achana nao hawana hoja wanapenda personal attack na matusiNdio ProRussia WA Kwa msongola.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha niendelee nae km anataka battle kwenye personal attacks atasubiri Sana Mkuu. Kua na Amani.achana nao hawana hoja wanapenda personal attack na matusi hao
hakikaPutin Anatakiwa awapelekee moto mpaka wajute
Mpendwa, si lazima kurudi nyuma hadi 1945 ukitaka kuonyesha unyama wa Jeshi la Kirusi dhidi ya Hungaria. Mwaka 1956 inatosha, ambako Jeshi la Kirusi (Kisovyeti) lilivamia Hungaria ili kulazimisha nnchi kurudi chini ya utawala wa kikomunisti. Maelfu walikufa, NATO haikuingia. Ona vifaru 2 vya Kirusi vilivyoharibika mjini Budapest mwaka 1956:View attachment 2158572
🇺🇸The US filmed fake videos about Soviet soldiers already back in 1945, according to a declassified document published by the Russian Federal Security Service.
📽 Americans used the resources of Metro-Goldwyn-Mayer Studios to create a film in Budapest, liberated from the Nazis, showing how the Soviet military allegedly demonstrated cruel treatment towards local residents.
🔎 “The cameraman went to this village [near Budapest] in a car, accompanied by American soldiers,” the document of the Red Army’s SMERSH counter-intelligence organization says, adding that the fabricated video footage was then sent by plane to “higher-ranking US authorities.”
US simba wakaratasijaman mmesikia kilichotekea saudia leo usiku? mifumo ya ulinzi wa anga ya marekani aina ya patroit iliyopo saudia imefeli kuyatungua makombora na drone za waasi wa yemen. na kupelekea mabomb ya gas kulipuliwa
marekan kwenye air system defense ni sifuri kabisa hafui dafu hata kwa iran
View attachment 2157435View attachment 2157436
kama wakiingia vitan na mrusi ulaya itachakaa
asingekua tishio tusingemnyooshaUnachokiandika hapa ndicho walichokulisha na sasa unakitapika kila sehemu.
Yaan nazi iwepo Ukraine kwasababu tu Urusi kasema kuna Nazi Ukraine?.
FYI:, Ukraine haijawai kuwa threat kwa Urusi hata siku moja bali Urusi ndiye tishio kwa Ukraine.
hii safi sana tutazifanya Uber
yaani jamaa kukimbia nisuala la mida tu labda akubali masharti yetuUlitaka akimbie Ili umchambe vizuri?huyo ndo raisi
India is the world poverty capital, if USA sanctions them they will be on their knees.🇷🇺🔁🇮🇳 India’s Central Bank is discussing a possible scheme of direct currency exchange with Russia to expand trade amid the Western sanctions, The Financial Times reports. “Very soon I think we'll get this [a rupee-ruble arrangement],”Dr A Sakthivel, president of the Federation of Indian Export Organizations (FIEO), told FT.
ilitoka risasi mulehakuna siku za ibada hao warusi wasingekuwa wanashambulia makanisa
safi sana hii USSR ileeeeeeKherson imekuwa chini ya umiliki wa majeshi ya Russia. Sasa Crimea itaungaishwa na Russia sio tu kwa daraja bali pia kwa ardhi (land). Pongezi kibao zamiminwa kwa majeshi ya ukombozi ya Russia
View attachment 2157568View attachment 2157569