Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inamaana historia ya ww1 na ww2 umesoma peke yako kwamba urusi hakumfumua Hitler? Huyo USA ndiye alitaka kumuingiza chaka USSR akashtuka ndipo akaitandika ujerumani hadi katikati ndipo zikatokea nchi 2 West and East Germany na akajenga ukuta almaarufu Berlin wall sasa kwakuwa wewe ni Pro US umekariri kwamba ww 2 alivimaliza yeye? Kama ulikaririshwa huo upuuzi na evidence unayo basi kuna siku utaambiwa Jua linamilikiwa na USA na utaamini try to read between the lines
Bro kama mahaba basi unayao. Urussi ndiye aliye Jenga ukuta kuzui raia ambao walikua wanatoroka kwenda west german.sijui history umesomea wapi ila labda USSR.ila bila U.SA German alishinda vita vya pili vya Dunia.
 
Mzee alishinda vipi!? Na USA alihusika vipi!? Sote tulisoma historia mzee. Vilevile niambie kwanini Kaliningrad ipo Russia!?
 
#Mariupol ' direction, another funny video from bearded tiktokers. The inscription "Hamas"

Kiev region, knocked out ( long time ago ) Russian BMP - 2
 
Zelensky aivulia kofia mbinu-vita ya Russia ya kuzingira miji (siege tactic).

Asema kwa namna ilivyochungu mbinu hiyo na inavyotia khofu kwenye mioyo ya waUkraine, kamwe hawatakuja kuisahau milele.

Pia kawaambia wananchi wake kuwa majadiliano na Russia sio myepesi au ya kuvutia, isipokuwa imewalazimu serikali ya Ukraine wayafanye. Hawana namna!

Putin anajua vema ufanisi wa mbinu-vita hii ya kuzingira miji ya adui na kuzuia misafara ya askari wa adui, silaha na mahitaji ya chakula/dawa kwa adui. Adui hupigika kwa njaa na khofu ile mbaya. Majeruhi wake hufa kwa kukosa dawa. Mbinu hii huwa yatoa majibu baada ya mda kadhaa. Sasa majibu ndio haya Zelensky anayaripoti mwenyewe.

Screenshot_20220320-091415_Chrome.jpg
 
Captain Gogolev A.S. shared a diary of psychological and pedagogical observations of the commander of the 2nd Sabatr of military unit 42091 (108th Guards Air Assault Regiment) The rest of the photos in the cart:
 
One of the orcs, after his death, kindly shared lists with phone numbers and personal details of his unit. You won’t say thank you to him, but you can still have time for his comrades. Part 2
 
Bro kama mahaba basi unayao. Urussi ndiye aliye Jenga ukuta kuzui raia ambao walikua wanatoroka kwenda west german.sijui history umesomea wapi ila labda USSR.ila bila U.SA German alishinda vita vya pili vya Dunia.
Nimekwambia read between the lines acha kukariri jambo lingine unalotakiwa kujua kama unataka the real history of the world changanya maarifa na wachambuzi mbalimbali mwisho unachanganya na zako sasa kama ulisoma vitabu vya NATO pekee vilivyoandikwa USAID, UKAID etc nikuhakikishie umepotea lakini hakika nakwambia kama utaamua kuwa huru na kufanya upekuzi wa kina na wa kitafiti ( siyo kujibia mitihani wala kufundishia darasani) utafaidi sana kufahamu yanayojiri hata kupredict the aftermath of it.
 
Back
Top Bottom