Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MTU DHAIFU MARA MTU HATARI
Liwagu Liwagu
SmartSelect_20220320-074321_Twitter.jpg
 
🇩🇪To "defeat Putin", you need to eat less meat.

This recipe was given by the head of the German Ministry of Agriculture. He himself has long been fighting with Putin as a vegetarian. But he emphasized that he did not intend to preach vegetarianism.

"But let's put it this way: eating less meat would be a contribution against Putin," said Cem Ozdemir, explaining that Russia "is using food supplies as a weapon."
 
Urusi pekee ndiyo iliibua madai ya kuwepo Nazi ndani ya UKRAINE, nchi inayoongozwa na Myahudi. Kichekesho iki[emoji1787][emoji1787]bonyeza put-in#

Yaan Myahudi aunde nazi, ili iweje?.

wanachukua uniform za jeshi la Ukraine na kuvalisha watu wao kisha wanachora chora alama Z kwenye vifaru vyao then huo ndiyo unakuwa ushahidi wa kufeed unthinkable people.
Huyo myahudi kaingia madarakani mwaka gani unaambiwa Nazi wameanza kunolewa 2004 kwa dhumuli la kudhoofisha Russia

Sent from my CPH1931 using JamiiForums mobile app
 
Top news for the day:

- the nasal vaccine against COVID-19 will be used for now as a booster after vaccination with Sputnik V, said the director of the Research Center for Epidemiology and Microbiology named after V.I. Gamalei Alexander Gintsburg;

- the Australian government imposes a ban on the export of alumina, aluminum ores and bauxite to Russia, said Australian Foreign Minister Maris Payne;
Galip SV Liwagu

- The Central Bank of Russia from March 21 to April 1 allowed the Moscow Exchange to conduct a number of operations for non-residents from unfriendly countries, the trading platform said.
20220319_074806.png
 
🇺🇦Opposition banned in Ukraine.

For the duration of the martial law, by decision of the National Security and Defense Council, the activities of a whole 11 political parties, including the Opposition Platform - For Life and the Shariy Party, were suspended.

The Ministry of Justice was instructed to take measures to "immediately stop the activities of these political forces." However, the detention of members of the opposition parties by the SBU officers took place even before this ban.
 
Miaka iliyopita NASA ya Marekani ilitegemea injini za roketi kutoka Urusi. Ila sasa makampuni ya binafsi ya Marekani yamesogea mbele na kupata mafanikio mbali ya yote ambayo NASA na pia Roskosmos ya Urusi wamefaulu. Space-X inashinda yote hadi sasa.
Marekani ni true capitalist. NASA huwa hawatengenezi kitu pamoja na bajeti yao kubwa, huwa sometimes wanafund projects na wananunua kutoka kwa private companies kina Boeing, Lockheed Martin, Raytheon Technologies, etc. Hata jeshini Marekani haina silaha inayotengenezwa na serikali, sana sana kama kuna kampuni mpya haina hela ikitoa idea ikaonekana ni nzuri basi unakuta Navy, Air Force au Army inafadhili huo mradi.

Hata Defence Advanced Research Projects Agency (DARPA) chini ya DoD huwa hawatengenezi kitu, huwa wanafanya tafiti wanatoa kitu kisha wanapatia kampuni binafsi zinaendeleza na kufanya mass production.
 
Russian military delivered more than 75 tons of humanitarian aid to Kherson residents - Russian Defense Ministry

Those in need were given food packages, including cereals, pasta, sugar, canned food, potatoes and fruits.

The department added that they had created a coordinating headquarters for humanitarian response. Its main tasks are: assistance to the population, evacuation of civilians in Ukraine and foreign citizens.

 
Kushinda ni swali la ufafanuzi. Ukraine haina uwezo wa kuvamia Urusi. Wakizuia Urusi kuteka sehemu kubwa za Ukraine pamoja na Kiev, inaweza kutosha maana itakuwa aibu kubwa kwa Urusi na kumlazimisha Putin kumaliza mashambulizi. Ila itagharamia Ukraine sana.
Ni dhahiri pia Putin atatafuta hali ambako anaweza kusema "Tumeshinda" au angalau "tumetimiza shabaha yetu" kwa namna fulani. Inamgharamia sana vilevile.

Natumaini kwamba pande zote zitatumia ujanja unaowaruhusu kumaliza hata kama watahitaji kujidanganya wenyewe. Jambo hili baya mno.
Binafsi nahisi Putin angestahili kupelekwa mahakamani kwa jinai za kivita. Lakini isingekuwa busara maana hatma ya wanajeshi pande zote mbili na watu raia wa Ukraine inataka kumaliza haraka na hoja la kumweka Putin mahakamani ingeongeza ugumu wa kumaliza.
Hata mimi naunga mkono Putin apelekwe mahakamani kwa jinai ya kivita.
Lakini kwanza watangulie Clinton, Bush na Obama.
 
Back
Top Bottom