Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rais wa Urusi Vladmir Putin amelalamikia kitendo cha mashambulizi ya kijeshi kilichofanywa na Ukraine kwenye ardhi ya Urusi mashariki.

Putin ameyasema haya wiki hii kwenye mazungumzo kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na kumwambia kwamba makombora yaliyorushwa na Ukraine yametua kwenye makazi ya Watu kwenye miji miwili ya Urusi na kusababisha vifo vya Raia.View attachment 2156876
Source ni DW daah.
 
Kwani mrusi hana altenative ya GPS?
Mtu wa kwanza kwenda kwenye space ni Yuri ambaye ni mrusi, ambaye leo hii tu kavuliwa honors zote ( maajabu ya watu wa magharib, unamvua honors mtu aliyekufa. Inasaidia nn asa anahusika nini?).

Engines za Rocket wanazitoa wapi hao wamarekani? Kurusha vitu vyao kwenye space?
GLONASS kama alternative ila civilian use iko limited, yeye anasema Marekani wako nyuma kiteknolojia wakati GPS wametoa wao na Internet ina uhusika na watu wa DARPA. Vitu kibao Marekani anahusika navyo kuliko Urusi, kwanza Urusi wanajua invention na hawajui innovation sana wala marketing. Vitu walivyogundua wao duniani hawaongozi kwenye soko lake
 
Hii habari umeitoa wapi maanake hata sisi tumesoma kwenye vyanzo mbalimbali vya habari kwamba zaidi ya wanajeshi elfu kumi wa Russia wameshauawa toka walipofanya uvamizi wao nchini Ukraine tarehe 24/02/2022 na kwamba ndio sababu iliyopelekea Putin kupiga marufuku vyombo vya habari vya nchini Russia kuripoti habari za vita vikiwa huru.

Tunataarifiwa kwamba kwa sasa Russia hawarejeshi nyumbani miili ya wanajeshi wanaokufa vitani kwa kuhofia maandamano kuzidi na kwamba sasa wanazichoma miili kwenye Mobile Crematoriums na baadaye watakuja kudai Missing In Action.
Acha propaganda mkuu!! Waulize wamarekani kwenye hiyo kambi karibu na Poland wamekufa wangapi? Hawatakuambia sana sana watakuambia wameshambulia maeneo ya raia.
 
GLONASS kama alternative ila civilian use iko limited, yeye anasema Marekani wako nyuma kiteknolojia wakati GPS wametoa wao na Internet ina uhusika na watu wa DARPA. Vitu kibao Marekani anahusika navyo kuliko Urusi, kwanza Urusi wanajua invention na hawajui innovation sana wala marketing. Vitu walivyogundua wao duniani hawaongozi kwenye soko lake
SOVIET nature, nchi iliyokuwa ya kijamaa hata ifanyaje ule ujamaa hauji kufa.
 
Kwani mrusi hana altenative ya GPS?
Mtu wa kwanza kwenda kwenye space ni Yuri ambaye ni mrusi, ambaye leo hii tu kavuliwa honors zote ( maajabu ya watu wa magharib, unamvua honors mtu aliyekufa. Inasaidia nn asa anahusika nini?).

Engines za Rocket wanazitoa wapi hao wamarekani? Kurusha vitu vyao kwenye space?
Engine za Soyuz si ni mkataba ule. Kwani kabla ya Soyuz Marekani hawakuwa wanaenda space, mwezini kina Neil Armstrong walienda kwa mifagio hii anayosema Dmitry Rogozin Chief wa Roscosmos. ISS ni ushirikiano na pale kuna modules za NASA na nyingine za Roscosmos. US ina space delivery nyingine kama za military
 
Kumbe ilikua zuga, msafara ulisubiriwa hadi ufike eneo la kujianika vizuri, vifaru vimepigwa mapigo ya pamoja hadi huruma...

Hizi drones ni habari nyingine.

Tarehe 25 mwezi wa 2. Kwa mujibu wa izo drone kuchukua picha.leo ni tarehe 19 mwezi wa 3, sasa sijui ni time travel au ni nini kimetokea hapo.

Mkiwa mnatoa taarifa za uwongo basi jaribu kuficha tarehe maana imekumbua tayari.
 
Hata ningekuwa mimi nisingekubali, we ushasikia mwenzio kateketeza kambi ndani ya saa moja akiamua si anateteketeza kabulgaria ndan ya siku
Waziri mkuu wa Bulgaria amesema Bulgaria haitojiingiza kwenye vita ya Ukraine na pia haitopeleka silaha za kivita Ukraine.

View attachment 2156216
 
Wewe jamaa kwa jinsi unavyopambana, kwa jambo la kijinga kama hilo nadhani wewe utakuwa sio timamu. Kuwa wa kwanza akumaanisha kwamba utaendelea kuwa mbele tu.
China ya miaka ya 80 si ilikuwa kama Tanzania ya sasa? Ukweli unabaki kuwa Russia na USA ndio nchi zenye nguvu za kijeshi kwa sasa na tangu enzi hizo. Lakini Marekani alikuwa akileta dharau kwa Russia baada ya kuvunjika kwa umoja wa kisovieti.

Nikiwahi kusema hapa. Dunia inahitaji Russia imara kuliko wakati wowote. Maana hawa westen walishaamua kuwatia watu vidole na wengi wanafuata.
Ningefurahi sana kama huu mgogoro ingetokea wakati wa rais Ahamedinijad wa Iran na Huyo Shavez wa venezuela.
Sina uhakika unapolenga. Nilimjibu mtu aliyedai eti Marekani hawakufika mwezini, video yake ilikuwa fake. Ni kweli kabisa kwamba kuwa mbele sasa haimaanisha utakuwa mbele kesho au kesho kutwa.
Kuhusu nguvu ya kijeshi: Urusi iko mbele tu katika uwezo wa nyuklia ambayo ni urithi wa siku za kale. Msingi wake umedhoofika maana walishindwa kujenga uchumi imara.
Lakin haina faida kuvutana hapa.
Sijui ungetegemea kuna nini kama Ahmadinejad au Chavey wangekuwepo? Wote wawili walifaulu tu kubomoa nguvu ya nchi zao?
Nakubali Urus badi ni nchi muhimu sana ingekuwa vema kama ingekuwa imara, pia imara katika ahadi ake na mikataba ilizokubali baada ya mwisho wa ukomunisti.
 
Engine za Soyuz si ni mkataba ule. Kwani kabla ya Soyuz Marekani hawakuwa wanaenda space, mwezini kina Neil Armstrong walienda kwa mifagio hii anayosema Dmitry Rogozin Chief wa Roscosmos. ISS ni ushirikiano na pale kuna modules za NASA na nyingine za Roscosmos. US ina space delivery nyingine kama za military
Nimekutajia Engines, kukuonesha kuwa Technology hawapo Nyuma.
 
SOVIET nature, nchi iliyokuwa ya kijamaa hata ifanyaje ule ujamaa hauji kufa.
Igor Sikorsky alizaliwa Ukraine na kukulia Soviet Union hasa Moscow uko, alitengeneza helikopta ila maisha ya USSR yakamshinda alipotinga Marekani tu wawekezaji hao hapo muda mfupi akapata kila msaada mpaka sasa Sikorsky ndio brand kubwa zaidi ya helikopta duniani mpaka uliponunuliwa na Lockheed Martin.

Russians are beautiful and intelligent ila sasa wakiwa kwao changamoto. Kina Pavel Dulov na Sergei Brin wangekaa uko sijui ingekuwaje
 
Mkuu turudi vitani kidogo, vp UKRAINE anashida hii vita?
 
Engine za Soyuz si ni mkataba ule. Kwani kabla ya Soyuz Marekani hawakuwa wanaenda space, mwezini kina Neil Armstrong walienda kwa mifagio hii anayosema Dmitry Rogozin Chief wa Roscosmos. ISS ni ushirikiano na pale kuna modules za NASA na nyingine za Roscosmos. US ina space delivery nyingine kama za military
Sawasawa..
 
Miaka iliyopita NASA ya Marekani ilitegemea injini za roketi kutoka Urusi. Ila sasa makampuni ya binafsi ya Marekani yamesogea mbele na kupata mafanikio mbali ya yote ambayo NASA na pia Roskosmos ya Urusi wamefaulu. Space-X inashinda yote hadi sasa.
 
[emoji635][emoji1255] Footage of one of the clashes. Video from the Ukrainian side.

View attachment 2157051

Huyu nae ni dume, ali'pretend ka mwanamke amekatwa mpakani akiwa anatoroka...Binafs naona bora huyu kuliko yule jamaa anashinda ofisini kujinsnap uku anawapa Raia silaha wanakufa ovyo...

View attachment 2157049

[emoji1255] A conscripted Ukrainian disguised as a woman was detained at a border crossing on the border with Romania.

View attachment 2157050

Kwingineko ni kuhusu huyu mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anazeeka vibaya.

View attachment 2157064

Zaidi za chini chini inasemekana huyu jamaa katoroka hayupo nchin kwake na video zake za karibuni zikionekama ni za "Special Effects nyuma ya Green Screen"...

[emoji1255] Zelensky again performed infront of a green screen

View attachment 2157066

Recall that the official authorities of Ukraine continue to assert that he is on the territory of the country. However, if he was still in the capital, then it would be pointless to resort to such an installation.

Analeta maigizo watu wanakufa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom