Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Mpendwa! Umerudi tena kwa comments? Safi, asante. Ila Hayo umeshasema yote. Wote wanajua tayari akili yangu fupi, na mimi ni mjinga. sawasawa.Mzee nilishakwambia wewe akili zako ni fupi, nenda shule kwanza halafu kidooogo subiri umri wakk usogee ndio akili zako zitakomaa. Kwa sasa wewe bado ni mjinga.
Ila umepotea njia katika matusi hayo hujajibu swali langu:
Kwa nini Warusi wanasema sasa eti Ukraine iwe kama Austria halafu wataridhika,
kama Ukraine ilikuwa kama Austria kabla ya uvamizi wa Putin???
(maana Ukraine haiko NATO, NATO haiko Ukraine, sawa na Austria)