Video: What the Ukrainian Invasion has Revealed about Russian Military Power
Sipendi propaganda yake mwishoni lakini analeta uchambuzi wa udhaifu wa jeshi la Kirusi (ulioshangaza watazamanji wengi, kama si wote)
Kama nusu tu ni kweli, hali ya jeshi la Putin iko duni kweli.
Naona ingekuwa hatari kama watu upande wa NATO wanaanza kufikiri eti sasa nafasi nzuri kuingia kwa nguvu zaidi maana jeshi hili la Urusi haliwezi!
Hatari ya silaha za nyuklia bado iko ambayo iko kubwa , hatari hadi kwetu hapa. Kwa hiyo watafute njia za kumaliza kwa kuelewana!
(bila silaha zake za nyuklia jambo lingemalizika haraka kwa kuingia kwa majirani na kufyeka mabaki ya jeshi la Kirusi)