NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Urusi anavamia Ukraine kujilinda na USA na NATO.Kwako wewe aliyeko sahihi ni URUSI au UKARINE??
hizi Bradley hahitaji Zelensky. Akipata stinger, basi.Ndio mana Zelensky Anasema Atashinda hii vita.
An echelon of American armored vehicles BMP M2 Bradley was filmed on March 15 on the way from Germany to Poland Galip SV Liwagu
View attachment 2152768
ngoma bado mbichi hiiNdio mana Zelensky Anasema Atashinda hii vita.
An echelon of American armored vehicles BMP M2 Bradley was filmed on March 15 on the way from Germany to Poland Galip SV Liwagu
View attachment 2152768
Asante, nisadie tu:Urusi anavamia Ukraine kujilinda na USA na NATO.
USA na NATO wameshaiwishi Ukraine kujiunga na NATO ili wajilinde na Urusi.
USA na Urusi ni selfish bullies na Ukrain ni victim.
Panic mode activated.Unaongea ushuzi
Mwamba ni victim wa propaganda anahitaji kusikitikiwa tuPropaganda, askari wa urusi avae Raba???
Russia Imposes Sanctions Against Joe Biden & Hillary Clinton, Other Top US Officials.
Bure kabisa, reinventing the wheel.Instead of blocked Instagram in Russia, they plan to create an analogue - "Rossgram".
“The new social network will have all the functions you are used to, but also additional monetization tools for users: paid access to content, a fundraising function (crowdfunding), a referral program, and others,” the project’s website says.
It is planned that from March 28 the social network will open for top bloggers, and from April for everyone else. It is also assumed that there you can upload your profile data from Instagram.
Earlier, VKontakte launched a special application with which you can transfer photos and videos from Instagram to the social network.
Galip SV Liwagu View attachment 2152642
Zelensikky mwanaume wa shoka kawavuruga,Hakuna cha Superpower kijeshi,kumbe ni puto kuubwa lililojaa hewa tupu.Kuna uwezekano mkubwa kukawa na maisha ya kutokuaminiana huko Kremlin. Kiongozi Mkuu na Makamanda wake.
Muda ni Mwalimu
Ukraine anafikiria kujiunga na NATO.Huyo raisi wa Ukraine ni mpumbavu hata nyinyi mnao muunga mkono ni wale wale.
Ni upumbavu mkubwa kujifanya unasimamia unacho kiamini alafu badae unakuja kukikana kile ulicho kiamini huku ukiwa umesha pata maafa makubwa sana.
Tangu mwanzo takwa la Urusi lilikuwa ni hakikisho la Ukraine kutojiunga na NATO lakini viongozi kwa kujazwa vichwa na wamagharibi wakawa wanatoa kejeli kwa Urusi, sasa hivi maelfu ya watu wamesha kufa watu wamepoteza makazi yao mamilioni wamekuwa wakimbizi ndo wana kuja kubali yale yale waliyo kataa ambayo ndio yame sababisha maafa yote upumbavu wa kiwango gani huu?
Eti Urusi ndo atakuwa amepoteza?
Hivi unajuwa kanuni za kushinda vita vita au unaongea tu ili na ww uonekane umechangia ?
Kanuni ya kwanza ya kushinda vita ni kutimiza lengo lililo kupeleka vitani na lenge kuu la Urusi kwenda vitani ni kuizuia Ukraine isijiunge na NATO ina maana kama Ukraine imekubali kutojiunga na NATO ni ushindi mkubwa kwa Urusi.
Eti jeshi la Urusi ni dhaifu?
Ngoja nikwambie kitu kimoja mpaka jeshi fulani liitwe jeshi lenye nguvu ni vigezo vingi sana vina angaliwa, hata Urusi ikishidwa vita nchini Ukraine bado lita baki kuwa jeshi lenye nguvu kubwa duniani.
Marekani kapigana vita nyingi na kushindwa lakini hilo halijawahi kuindoa kwenye nafasi yake ya kuwa taifa lenye nguvu za kijeshi duniani.
Marekani kapigana vita na Vietnam kwa miaka 10 lakini haikufanikiwa hata kuteka kijiji.
Israel kasha pigana vita na hamas zaidi ya mara 3 akijaribu kuidhibiti gaza lakini kashindwa wakati hamasi haina hata kifaru wala mzinga hata mmoja ,lakini hilo haliondoi ukweli ya kwamba Israel ni taifa lenye nguvu mashariki ya kati.
Ya kwamba Urusi imeharibu uchumi wake?
Juzi benki ya dunia inesema kutokana na vikwazo Uchumi wa Urusi uta pungua kwa asilimia 10.
Wakati Uchumi wa Ukraine mpaka sasa imesha poteza aslimia 35 ya Uchumi wake na kumbuka vita havijaisha ina maana vita ikienda wiki 2 zingine itapoteza zaidi ya hapo, bado huja weka miundo mbinu ya mabilion ya $ iliyo haribiwa, bado raia walio uawa, bado mamilioni walio poteza makazi na mbaya zaidi inaenda kukubaliana na matakwa ya Urusi sasa nani atakuwa amepoteza?View attachment 2152769
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app

Sasa nimeelewa sana vingi nilikuwa najiuliza asante sn sasa nimejua why na kwanii asante mkuu hii pichaa imenipa maana sanaAlikuwa anatarajia Backup kutoka western so akawa anajiamini kwa kiasi kikubwa ukizingatia kuna mercenaries kibao walioingia nchini kwake kutoka sehem sehem tofauti tofauti dunian...
Anajisahau sijui hafaham ka anatumika kwa kafara ya wananchi wake wenyewe kwa Agenda za USA kumpiga ndege watatu kwa jiwe moja.
Kwanini nasema hivi (uyachukue kama maoni yangu tu lakini)... Kitendo cha kuirefusha vita kinachofanywa na USA ni katika kutaka kuua uchumi wa Urusi kwa vikwazo ambavyo tumeviona...
Tafsiri ya kuua uchumi wa Russia ni kuisambaratisha Europe vile vile ambao over 40% ya energy wanategemea kutoka Russia. Tukumbuke nishati ndo uti wa mgongo wa taifa lolote kiuchumi.
Kumdhoofisha Russia, anamdhoofisha mchina competitor wake wa mda mrefu ambae kwa hivi sasa more than half imported Oil na natural Gas anaitoa kutoka Russia...
Na apa ukiangalia vizuri utaona why majority ya Asians hawataki kuingia kwe huu mgogoro moja kwa moja... Na utaona vile vile kwa baadhi ya mataifa ya ulay kama Hungary wameweka "Red line" kwe sanctions walizokubaliana EU kwa upande wa Oil na Gas kutoka Russia...
Kwa kirefu hii vita ukiingalia its more than kile kinachoendelea apo Ukraine. Its GEOPOLITICAL WAR...
Kama ni mfatiliaji wa nini wanakizungumza achana na hizi ambazo zinaandikwa na vyombo vya habari kuna mengi utayagundua.
What comes "Next"....???
Ngoja tuendelee kula Popcorn tutaelewa tu mda ni mwalim mzuri mno.View attachment 2152542View attachment 2152541
Vichekesho kweli ,hivi viongozi wa Ulaya wa kuhusudu Moscow. Pamoja na shida zetu sijawahi kusikia mswahili anazamia/ store away Urusi. Mswahili ama Ulaya au Marekani.