Mkuu umeshindwa kuonesha S-300 kwenye video yako uliyoleta mwenyewe kwa mikono yako?! Maajabu yaliyoje haya[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Halafu baada ya kushindwa kuonesha S-300 ndio umerukia chanzo kingine[emoji1787][emoji23][emoji28] Habari yako uliyorukia sasa inaripotiwa na global defense corp. Sasa, kwa akili yako hao
global defense corp ndio waArmenia (
Armenia Ministry of Defense) wamiliki wa S-300 wanaokiri kuharibiwa mfumo wao huo?!
Umeshindwa hata kuwa na maarifa ya kujua habari unayoisoma umewekewa na nani?! Sasa ndio utaweza kuhakiki taarifa kujua ya kweli na ya Uongo?
Nakuwekea link ya website ya Wizara yaUlinzi ya Armenia, ambayo unadai wao wamekiri kuharibiwa S-300. Tafuta habari hiyo kwenye website hiyo kisha uweke hapa jamvini
Հայկական Բանակ
Kwa kukusaidia tu shirika la habari la AFP liliishafanya utafiti kuhakiki madai ya Azerbaijan kuwa mwaka 2020 waliharibu S-300 ya Armenia kwa kutumia drones za Turkey. AFP wakaona na kukanusha kuwa madai hayo sio ya kweli, ni ya uongo. Picha wanazotumia Azerbaijan hazina uhusiano wowote na vita ya Armenia/Azebaijan ya 2020. Picha hizo zimekuwepo mtandaoni toka 2016 (kabla ya vita hiyo) zikiripoti kuhusu air defense system iliyoharibika nchini Russia baada ya accident.
View attachment 2152446
.
View attachment 2152447
Two photos have been shared repeatedly in multiple Facebook and Twitter posts alongside a claim they show a Russian-made air defence system that was destroyed in an October 2020 attack on Armenia. The claim is false; the photos have circulated online since 2016 in reports about an air defence...
factcheck.afp.com