Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Yule sniper hatari ameshakuwa
Kanawapa silaha af kanakaa ofisin [emoji23][emoji23][emoji23]No body wants war in Ukraine. Zelensky is Good Politicians but to give people weapons is dumbest decision ever made.
In the village of Kazachi near Kherson, people voluntarily hand over their accumulated weapons to the armed forces of the Russian Federation
Galip SV Liwagu
Source: watch_media
View attachment 2152444
Mbinu inayotumika ni kuzingira miji na kuzuia uingiaji wa silaha kwa wanajeshi waliozingirwa na mwisho wa siku wataishiwa silaha na kujisslimisha wenyewe Kama kuku wenye mdondo!!Vipi uko Warusi msha fika Ikulu au bado tuwavumilie na taarabu zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ule anaenda vyombo vya habari vilimpamba atari kumbe mauti yalikuwa mbele yake...Yule sniper hatari ameshakuwa View attachment 2152481
Ndo nashangaa sasaUkraine wanapigana vita wanavyojua watapigwa
Una Wilaya ngapi jumla?Huo mji ulishatekwa ni kitambo bado wilaya zake mbili tatu
Imefichwa kwelikweli mkuuHii habari ingekuwa kamili inakoga Moyo,sema hajiajaa nyama
Labda wanaitafuta kwa tochiHabari njema kwa pro russia kwamba urusi imeingia mji wa bhucha uliopo kiev. Hapa warusi wanaanza kuitafuna kiev
Hiyo ni proxy war ya US na Urusi Ukraine masikini anatumika kama chombo US akiamua leo kuongea na Russia hiyo vita inaisha leo leo na utakua hivoHii Vita itaisha pindi US na Russia watakapo kaa na kuzungumza kidiplomasia otherwise tutaendelea kuona mengi.
Unapokuwa na uwoga uliopitiliza utatumika na wenye nguvu kwa mtindo wowote waupendao.huyo jamaa afai hata kuwa baba wa familia ukitikiswa kidogo tu unakimbia familia yako kisa unaogopa kupigwa mbele ya mkeo
pambana kiume 😂😂 waswahili wanasema kufa kijerumani na tai shingoni
So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??Unapokuwa na uwoga uliopitiliza utatumika na wenye nguvu kwa mtindo wowote waupendao.
Kama ushawahi kupitia ajira, Huko maofisini hujawahi kukutana na wale Yes sir?. Kila atakachoambiwa na boss wake yeye ni Yes sir, No problem sir, I will do sir, I will go sir, I can do sir. Kuhofia kuharibu kibarua inamfanya achague jibu jepesi la yes sir hata kama halitaki.
Inatokea mara nyingi tu katika maisha esp kama wewe ni mtafuta utajiri, Kuna wakati unalazimika uchague kati ya what is right and what is easy.Ukraine wanapigana vita wanavyojua watapigwa