Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Boris Johnson on Mission to Saudi Arabia, UAE to Help World ‘Wean Itself’ off Russia’s Oil & Gas​

Since Russia launched its operation to "demilitarise and de-Nazify" Ukraine on 24 February, responding to calls for help from the Donetsk and Lugansk People’s Republics, it has been slapped with sanctions. The US announced a total ban on its energy imports, while the UK vowed to phase out imports of Russian oil and oil products by the end of 2022.

Boris Johnson is visiting Saudi Arabia and the United Arab Emirates this Wednesday, seeking to achieve what US President Joe Biden has failed to do so far: lobby the Gulf States to open the tap and boost oil supply amid reduced reliance on Russia.
 
So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??
Kabla ya kubishana na kutunishiana msuli na mtu yeyote jipime kama unaweza, aliyeshindwa hawezi kujisifia alipambana.
Kwanza hakuna kaburi la mjinga, UKRAINE ingeamua kama walivyo SWEDEN au FINLAND kwamba hawahitaji kuwa upande wowote ingeleta shida gani??
Huwa najiuliza mara nyingi sana, mnavyompa kichwa eti akomae, akomae na nani URUSI? NATO wamekaa pembeni yeye hajiulizi, unagawa Bunduki kwa raia then wakiuawa unasema Raia wameuawa au wapiganaji??
HAKUNA KABURI LA MJINGA.
Wananchi wamesimama na raisi wao kuamua walichoamua. Heshimu tu hilo. Ndo maana hawakuandamana kutaka atoke madarakani ila walichukua silaha na walioogopa waliondoka nchini. Sikia cardless, kama jinsi ambavyo unavyoona kuwa ni sahihi nchi ya Urusi kuivamia Ukraine basi pia waelewe Ukraine kuchukua maamuzi ya kukataa kuwa chini ya Urusi. Kuwa neutral, usitake kulazimisha.
 
UK Security Services to Look for Alleged Putin's Assets in London - Reports​

LONDON, (Sputnik) – UK National Crime Agency (NCA) will cooperate with the country’s intelligence services to identify assets allegedly kept by Russian President Vladimir Putin and his associates in London, the Telegraph newspaper reported overnight to Wednesday, citing NCA sources.

"There are people working there now. This is what the ‘kleptocracy’ team will devote its time to. The unit will track down Putin’s money and that of his cronies," a source told the newspaper.
"We will use all legislative options and tactics available to the agency to prosecute corrupt elites who launder their assets in the UK," an NCA spokesperson said.
 
Inatokea mara nyingi tu katika maisha esp kama wewe ni mtafuta utajiri, Kuna wakati unalazimika uchague kati ya what is right and what is easy.

Ukraine waliweka kwenye sahani wachague kati ya Puttin au Kifo. Kumchagua Puttin ilikuwa maamuzi rahisi sana.
Exactly, kumchagua Putin maisha yangekuwa mwanana kabisa, ubishi tu wa Zelensky!
 
UK Security Services to Look for Alleged Putin's Assets in London - Reports​

LONDON, (Sputnik) – UK National Crime Agency (NCA) will cooperate with the country’s intelligence services to identify assets allegedly kept by Russian President Vladimir Putin and his associates in London, the Telegraph newspaper reported overnight to Wednesday, citing NCA sources.

"There are people working there now. This is what the ‘kleptocracy’ team will devote its time to. The unit will track down Putin’s money and that of his cronies," a source told the newspaper.
"We will use all legislative options and tactics available to the agency to prosecute corrupt elites who launder their assets in the UK," an NCA spokesperson said.
Duh hii ni dalili ya kushindwa sasa
 
Wananchi wamesimama na raisi wao kuamua walichoamua. Heshimu tu hilo. Ndo maana hawakuandamana kutaka atoke madarakani ila walichukua silaha na walioogopa waliondoka nchini. Sikia cardless, kama jinsi ambavyo unavyoona kuwa ni sahihi nchi ya Urusi kuivamia Ukraine basi pia waelewe Ukraine kuchukua maamuzi ya kukataa kuwa chini ya Urusi. Kuwa neutral, usitake kulazimisha.
Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??
Huu ushabiki wakati wenzenu wanaumia unawaponza wengi.
Ukraine hakujifunza yaliyotokea GEORGIA??
Mi naona wapigwe sasa, na Urusi ache kuwaonea huruma Raia ashushe mzigo sehemu yoyote ile.
 
So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??
Kabla ya kubishana na kutunishiana msuli na mtu yeyote jipime kama unaweza, aliyeshindwa hawezi kujisifia alipambana.
Kwanza hakuna kaburi la mjinga, UKRAINE ingeamua kama walivyo SWEDEN au FINLAND kwamba hawahitaji kuwa upande wowote ingeleta shida gani??
Huwa najiuliza mara nyingi sana, mnavyompa kichwa eti akomae, akomae na nani URUSI? NATO wamekaa pembeni yeye hajiulizi, unagawa Bunduki kwa raia then wakiuawa unasema Raia wameuawa au wapiganaji??
HAKUNA KABURI LA MJINGA.
Alikuwa anatarajia Backup kutoka western so akawa anajiamini kwa kiasi kikubwa ukizingatia kuna mercenaries kibao walioingia nchini kwake kutoka sehem sehem tofauti tofauti dunian...

Anajisahau sijui hafaham ka anatumika kwa kafara ya wananchi wake wenyewe kwa Agenda za USA kumpiga ndege watatu kwa jiwe moja.

Kwanini nasema hivi (uyachukue kama maoni yangu tu lakini)... Kitendo cha kuirefusha vita kinachofanywa na USA ni katika kutaka kuua uchumi wa Urusi kwa vikwazo ambavyo tumeviona...

Tafsiri ya kuua uchumi wa Russia ni kuisambaratisha Europe vile vile ambao over 40% ya energy wanategemea kutoka Russia. Tukumbuke nishati ndo uti wa mgongo wa taifa lolote kiuchumi.

Kumdhoofisha Russia, anamdhoofisha mchina competitor wake wa mda mrefu ambae kwa hivi sasa more than half imported Oil na natural Gas anaitoa kutoka Russia...

Na apa ukiangalia vizuri utaona why majority ya Asians hawataki kuingia kwe huu mgogoro moja kwa moja... Na utaona vile vile kwa baadhi ya mataifa ya ulay kama Hungary wameweka "Red line" kwe sanctions walizokubaliana EU kwa upande wa Oil na Gas kutoka Russia...

Kwa kirefu hii vita ukiingalia its more than kile kinachoendelea apo Ukraine. Its GEOPOLITICAL WAR...

Kama ni mfatiliaji wa nini wanakizungumza achana na hizi ambazo zinaandikwa na vyombo vya habari kuna mengi utayagundua.

What comes "Next"....???

Ngoja tuendelee kula Popcorn tutaelewa tu mda ni mwalim mzuri mno.
IMG_20220315_213401_307.jpg
View attachment 2152541
 
Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??
Huu ushabiki wakati wenzenu wanaumia unawaponza wengi.
Ukraine hakujifunza yaliyotokea GEORGIA??
Mi naona wapigwe sasa, na Urusi ache kuwaonea huruma Raia ashushe mzigo sehemu yoyote ile.
Unajua wewe unaipenda Urusi na unasapoti maamuzi yake, mapenzi yako yanakufanya unasahu kuwa Ukraine hawajaivamia Urusi, wao ndo wamevamiwa kwa sababu ambazo Urusi anaziona ni sahihi ila kwa Ukraine sio sahihi na wakaamua kuwa tutakufa tukisimamia maamuzi yetu.

Suala la raia wake kulalamika halitakiwi kukushangaza, wamevamiwa kwao, wanashambuliwa lazima walie, lazima walalamike ila si lazima wachague kumsikiliza anayewashambulia na wafuate matakwa yake.
 
Urusi hajavamia Ukraine, Urusi anatoa msaada wa kijeshi kwa majimbo mawili yanayoonewa.
Unasemaje kavamia na kuna Maelfu ya wa Ukraine fights alongside......
 
Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??
Huu ushabiki wakati wenzenu wanaumia unawaponza wengi.
Ukraine hakujifunza yaliyotokea GEORGIA??
Mi naona wapigwe sasa, na Urusi ache kuwaonea huruma Raia ashushe mzigo sehemu yoyote ile.
Unachekesha hata kama habari ni za kusikitisha.
Unafikiri jeshi la Kirusi wamefanya nini hadi sasa? Wamesharusha yale waliyo nayo.
Kwa hiyo watazamaji wengi huona Urusi inakaribia kuishia akiba zake.
Basi tutaona kama hii ni kweli.

Ila ni dhahihiri jeshi la anga lao ni dhaifu kinyume ya matarajio yote, hadi sasa walitumia zaidi makombora . Wakiweza kuleta sasa mizinga karibu na Kyiv watatumia mizinga.
Ila kadri wanavyozidi kupiga watu raia (si hao wanaoshika silaha - hao wazee na watoto wadogo na wakina mama kwenye nyumba ao), basi wanajenga chuki.
Chuki itazaa mabaya zaidi.
Hata wakifaulu kuteka Kiev - wanaweza kuona ugaidi au mashambulio kutoka mafichoni baadaye. Hawataona raha.
 
Sasa kama wamesimama na Rais wao na kubeba silaha, kwann wanalalamika kushambuliwa kwenye makazi yao?? Walitakaje??
Huu ushabiki wakati wenzenu wanaumia unawaponza wengi.
Ukraine hakujifunza yaliyotokea GEORGIA??
Mi naona wapigwe sasa, na Urusi ache kuwaonea huruma Raia ashushe mzigo sehemu yoyote ile.
Freedom is not free mkuu. Unazungumzia Georgia, vp kuhusu USSR kukimbia Afganistan baada ya strong resistance ya mujahideen kwa kusaidiwa na ISI,CIA and Saudi Arabia? mbona huzungumzii USSR kukimbia resistance kutoka kwa wananchi wa finland? Russia will never ever win this war, ever, na ndiyo maana wameshaanza kuondoa baadhi ya masharti magumu katika mazungumzo na ukraine. Russia akiendelea na hii trap ya ukraine aliyowekewa na west,lazima ataingia kwenye economic collapse kama kilichotokea kwenye collapse ya USSR baada ya long war na mujahideen. Ukraine wana historia ya mapambano, ni spirit waliyonayo for years tokea WWII and am not suprised. Kuikalia na kuitawala nchi yenye watu 40 milion plus na ambao wana spirit ya resistance ni ngumu mnooo- unless russia anataka permanent casulties kwa wanajeshi wake kwa vita isiyoisha.
 
Urusi hajavamia Ukraine, Urusi anatoa msaada wa kijeshi kwa majimbo mawili yanayoonewa.
Unasemaje kavamia na kuna Maelfu ya wa Ukraine fights alongside......
Sawa. Urusi hajaivamua Ukraine ni majimbo mawili yameivamia wamepewa msaada huku maelfu ya aukraine wakifight alongside.
 
“We have eight people in the family. We have children. I have a daughter, I also have a brother, he has three children, and we also have a grandmother. Thanks!"

Residents of the Dergachevsky district of the Kharkiv region thank the Russian military who delivered humanitarian aid.

Video: Ministry of Defense of the Russian Federation. Galip SV Liwagu
 
Kwenye picha ni Mistral amphibious assault ship yenye kubeba helicopters nyingi tu. Russia walisaini makubaliano na France iwatengenezee hizi meli za kivita na wafanye technology transfer kwa vile Russia teknolojia yao sio modern na bado hawana gas turbine engines nzuri.

Russia hana aircraft carrier nyingine tofauti na Admiral Kuznetvoz iliyozeeka inayohitaji tug boat just for emergency ikiwa inazunguka masafa mafupi, hawawezi ipeleka mbali wanaogopa.
Russia ilipochukua Crimea ikawa Ufaransa ikagoma kuwapa Mistral ikawarudishia hela zao. Meli zilizokuwa kamili mbili zikauzwa kwa Egypt. Ukraine pia aliacha kumuuzia Russia hizo gas turbine engines. Russia anapendelea kuunda corvettes, anateseka na amphibious assault ships ambazo kina South Korea na Japan ni kazi ndogo kwao.

Sanctions! View attachment 2152131
Mahaba niue [emoji1]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Urusi hajavamia Ukraine, Urusi anatoa msaada wa kijeshi kwa majimbo mawili yanayoonewa.
Unasemaje kavamia na kuna Maelfu ya wa Ukraine fights alongside......
Kaka umewahi kusoma ulichoandika?
Eti Warusi wanatetea Donetsk (katika mashariki kabisa) na hivyo wanarusha mabomu Kiev (si mashariki) na Lviv (iko magharibi)????

Sawa nyumbani kwao wanatagaza wanatetea Urusi dhidi ya mashambulizi ya NATO ila ilhali (kwa bahati mbaya?) NATO haikuingia bado Urusi wanapaswa kutetea nchi huko Ukraine (ingawa NATO haikufika Ukraine).

Puti aliandaa vita yake vibaya, lakini propaganda aliandaa vizuri sana!
Amepata waumini!!!
 
Back
Top Bottom