At least watu wenye good analysis mnaandika. Watu hawataki kusoma, kufikiri au kufanya hata ka research. Wao ni ubishani maandazi tu.Kwanza tambua ya kwamba majeshi ya Urusi yana zaidi ya siku 4 haya jafanya shambulio kwenye mji wa khakyvu sijajua sababu ni nini.
Tatizo ww mkuu umetoa maelezo kana kwamba vita ni kitu rahisi sana.
Kuwa kilometer 20 sio hoja ya kushinda vita kirahisi kwa sababu wanajeshi wa Ukraine na wao wana mafunzo na silaha za kisasa sio kwamba wanatumia mishare kupambana.
Israel aliye pambana na kuzishinda nchi zaidi ya tatu mwaka 1967 , mwaka 2014 aliingia gaza kwa lengo la kuliangamiza kundi la Hamas ,vita ili dumu zaidi ya mwezi lakini hakuna alicho kiambulia zaidi kuondoka kwa aibu na alipo teza wanajeshi wake na hasara ya vifaa vyake na hamas mpaka sasa bado wapo.
Nimetumia mfano wa Hamas na Israel kukuonesha ugumu wa vita kwa sababu Israel ni kati ya mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi kuanzia silaha, mbinu wakati Hamas ni kikundi cha wapiganaji wasiozidi 30,000 ambacho hakina vifaru wala mizinga lakini alishindwa kukiangamiza na kuidhibiti gaza.
Kuzidiwa mbinu kwenye vita huwa ni jambo la kawaida sana.
Ukraine iilifanikiwa kudhibiti mbinu ya kwanza ya Russia ya kusonga mbele kwa haraka Ukraine ikawa inawaacha wanaingia kwenye mji alafu wana wavizia na kuwapiga ambush ya kushutukiza mbinu kama hii imeikimbiza Marekani na washirika wake nchini Afghanistan.
Na ndio maana Kwa sasa unaona Urusi imebadilisha mbinu sasa hivi hawa songi mbele kwa haraka maana wame gundua watapoteza wanajeshi wengi na vifaa sasa hivi ina tumia mbinu ya kuzingira mji alafu wanakuwa wana sogea polepole kuingia katikati ya mji kwa umakini mkubwa.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kauli hii angeisema mwezi mmoja kusingetokea uharibifu mkubwa kiasi hikiC huyu aliesema kwamba "we ur independent country we don't expect Moscow to tell us whom should we join" imekua je tena?
Manipulation 🤣
Kwenye picha ni Mistral amphibious assault ship yenye kubeba helicopters nyingi tu. Russia walisaini makubaliano na France iwatengenezee hizi meli za kivita na wafanye technology transfer kwa vile Russia teknolojia yao sio modern na bado hawana gas turbine engines nzuri.
Russia hana aircraft carrier nyingine tofauti na Admiral Kuznetvoz iliyozeeka inayohitaji tug boat just for emergency ikiwa inazunguka masafa mafupi, hawawezi ipeleka mbali wanaogopa.
Russia ilipochukua Crimea ikawa Ufaransa ikagoma kuwapa Mistral ikawarudishia hela zao. Meli zilizokuwa kamili mbili zikauzwa kwa Egypt. Ukraine pia aliacha kumuuzia Russia hizo gas turbine engines. Russia anapendelea kuunda corvettes, anateseka na amphibious assault ships ambazo kina South Korea na Japan ni kazi ndogo kwao.
Sanctions! View attachment 2152131
Mkuu hii ikipigwa kombora la maana chini hapo itaendea kuwa nzima??Kwenye picha ni Mistral amphibious assault ship yenye kubeba helicopters nyingi tu. Russia walisaini makubaliano na France iwatengenezee hizi meli za kivita na wafanye technology transfer kwa vile Russia teknolojia yao sio modern na bado hawana gas turbine engines nzuri.
Russia hana aircraft carrier nyingine tofauti na Admiral Kuznetvoz iliyozeeka inayohitaji tug boat just for emergency ikiwa inazunguka masafa mafupi, hawawezi ipeleka mbali wanaogopa.
Russia ilipochukua Crimea ikawa Ufaransa ikagoma kuwapa Mistral ikawarudishia hela zao. Meli zilizokuwa kamili mbili zikauzwa kwa Egypt. Ukraine pia aliacha kumuuzia Russia hizo gas turbine engines. Russia anapendelea kuunda corvettes, anateseka na amphibious assault ships ambazo kina South Korea na Japan ni kazi ndogo kwao.
Sanctions! View attachment 2152131
Ficha ujinga wako mkuu...usikariri kuwa S-300 inaweza kulipua kila kombora.Wanazo zile S 300 tulizokuwa tunazisifia kuwa hakuna kombora kukatiza. Tayari imeshajulikana uwezo wake. Tunasubiri siku kombara zitue Moscow tujue pia ukweli wa hizo S 400 zinazopambwa sana. NINA SHAKA UTURUKI ALIYENUNUA ATAOMBA CHENJI.
Vita hii hakika Marekani inapata faida sana kujua uhalisia wa silaha za Russia
Are you serious kweli kwenye hili Swali?fikiria tu hapa nchini kwetu vile Brewery zinavyoongoza kuleta Pato la taifa na Ni local!Hiyo unayoizungumzia hapo Ni VODKA,kwanza Ni Kama symbol ya Urusi,yaani Ni brand iliyojengwa kwa muda mrefu,Sasa kwa nchi nyingine kumsusia unadhani haithiri Pato la taifa kweli?Sio kujipa moyo hebu kikwazo kama hiki kinaiathiri vipi RussiaView attachment 2152091
Siamini kama katinga Adidas itakuwa propaganda labda. Ila tangu Soviet Union ikiwa na hawa kina Ukraine walikuwa wanaenda vitani bila buti. Ile Nazi Germany imewavamia mwanzoni walikuwa wanatoa bunduki moja kwa wanajeshi wawili ila kila mmoja anapewa risasi zake, mwenye bunduki anatangulia asiye nayo anamfuata nyuma huyu akifa huyu anachukua bunduki yake. Nyuma yao kuna political commissar hajui lolote kuhusu jeshi ila kaagizwa apige risasi yeyote atakayerudi nyuma.Propaganda, askari wa urusi avae Raba???
Hawasomi hapa bila miwani!Au utasikia Ni PROPAGANDA