Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Erdogan amesema ni mapema mno Turkey kustop kununua silaha za Russia. Asisitiza Turkey lazima iendeleze kuimarisha Urafiki wake na Putin 9Russia) na Zelensky (Ukraine).

(Pichani ni mfumo wa ulinzi wa anga S-400 wa Russia ambao Turkey, member wa NATO, alijilipua nao/aliununua licha ya kuahidiwa vikwazo na Marekani kwa jambo hilo)

View attachment 2151018
“Under the current circumstances, it would be premature to talk about what the future shows, right now. We have to see what the conditions bring. We have to maintain our friendship with Mr. Zelenski and Mr. Putin,” Erdogan said.
Apo ndo unaona USA anazidi kupoteza ushawishi kimataifa....

Angalia hawa nao Ally w USA wamemgeukia mchina...

Saudi Arabia has invited Chinese President Xi Jinping to visit Riyadh as the kingdom looks to deepen ties with Beijing amid strained relations with Washington. WSJ News Exclusive | Saudi Arabia Invites China’s Xi to Visit Kingdom Amid Strained U.S. Relations

Ka unakumbuka apo nyuma waligomea kupokea sim za Washington....
 
Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia kwa nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...
na je hao waloomba wameenda kweli?
 
Wakimbizi wa kizungu
622f2f652030275b65651055.jpg
 
Pentagon yasema kuwa uchunguzi wake mpya wa hivi karibuni umeonesha kuwa pamoja na kuwa siku 19 zimepita toka Russia iende vitani na Ukraine, 90% ya vifaa vya kivita Russia ilivyoenda navyo vitani bado vipo salama, havijaharibiwa vitani.


View attachment 2151032
Af waswahili wa ushirombo wanasema Russia anapigika kapoteza man-power mpk kaanza kuomba msaada...

Sasa unajiuliza apo are they more detailed than the whole Pentagon...???? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Rusia na China wataka uchunguzi ufanyike juu ya 'maabara za silaha za kibaiolojia' zilizopo Ukraine zinazodhaminiwa na Pentagon (Marekani)

View attachment 2151071

View attachment 2151072


Yan NATO wanasababisha matatizo mengi duniani afu wanajua UN,WHO,ICC,IMF,WB zote zao kwakifupi hawaguswi ndio mana Hata US hakufanywa chochote alivyoshambulia nchi nyingine [emoji174]ila dunia imeshawajua hawa Magaidi
 
Pentago yalalamika kuwa Russia anaiangamiza miji ya Ukraine kwa kutumia makombora ya masafa marefu. Hadi kufikia jana (siku ya 19 ya vita hii) zaidi ya makombora 900 ya aina na ukubwa tofautitofauti yamevurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine

Screenshot_20220315-082655_Chrome.jpg
 
Ya MotoMoto

Waziri wa uchumi wa Ujerumani, Robert Habeck, leo ametoa msimamo wa Ujerumani juu ya vikwazo vya nishati za Russia (mafuta, gesi na makaa ya mawe).

Waziri huyo amesema Ujerumani haitofuata nyayo za Marekani na Uingereza kususia nishati za Russia (Ujerumani haitosusia nishati hizo). Akaongezea kuwa kustopisha ghafla kunuunua mafuta, gesi na makaa ya mawe ya Russia kutaathiri vibaya zaidi uchumi na maisha ya wajerumani wote. Kutapelekea gharama za maisha kupanda zaidi, malaki ya wajerumani watapoteza kazi, watu watashindwa kuendesha magari yao kwenda kazini, wajerumani watashindwa kupasha joto majumba yao au kulipia bili za umeme.

Kwa wale waliofika Ulaya watakuwa wanaelewa sana umuhimu wa mfumo wa kupasha joto kwenye nchi za Ulaya. Ila kama hujafika huko wawezachukulia poa tu.

Chanzo ni 'The Wall Street Journal' (au hicho nacho ni cha Russia?!)

View attachment 2150295
View attachment 2150296
kwa mukitadha huu huon kam mjerwman anasalit wenzake na anaend kinyum na makubaliano.kwann asinunue ges marekan au apewe bure na Uk mbona ges kule nying
 


Okay, so what's so sad? Commander # 12obr Colonel Porokhnya Sergey Ivanovich successfully visited Ukraine, got acquainted with its tourist attractions and hospitable population https://vk.com/wall179188560_ 4007 …
 
Nearly all of Russia's advances on Ukraine have stalled, with the lack of progress largely due to Ukrainian resistance, according to a senior US defence official.

There has been no appreciable change to Russia's advance on the Ukrainian capital, Kyiv, with forces still stuck around Hostomel airport, the official said. The airport is northwest of the city.

The official added that there is a convoy of between 50 and 60 vehicles heading towards Izyum, south-east of Kharkiv.
Kichapo wanachopokea sio cha Nchi hii👇

Screenshot_20220315-082648.png


Screenshot_20220315-082731.png


Screenshot_20220315-082624.png


Screenshot_20220315-082636.png
 
Back
Top Bottom