Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazungu hawajawahi kuwa wazuri maishani, Alisema hizo siraha Nitakuja kuzilipia sio bure, Kila misaada inayokuja ina price ya kuja kulipia. But if yeye akibaki kuwa President [emoji38] Akipinduliwa basi.
Lakin Deni huwa ni deni la Taifa so la kiongozi aliyepo madarakani.... So nahis litaongezewa kwenye deni lao la taifa sa hivi wanachuchumia kwenye 70+Billion Dollars ka si sikosei... Ukiongeza na hizi zinazoingia nchini apo ndani ya week tatu tangu mgogoro uanze ndo maana IMF wanasema Uchumi wa Ukraine unaeza poromoka kwa 35%.....
 
Lakin Deni huwa ni deni la Taifa so la kiongozi aliyepo madarakani.... So nahis litaongezewa kwenye deni lao la taifa sa hivi wanachuchumia kwenye 70+Billion Dollars ka si sikosei... Ukiongeza na hizi zinazoingia nchini apo ndani ya week tatu tangu mgogoro uanze ndo maana IMF wanasema Uchumi wa Ukraine unaeza poromoka kwa 35%.....
Inavyoelekea Ukraine itakuwa chini ya Russia.
 
Kuna hili suala la Unazi mamboleo ama "neo-Nazism" ambalo limezungumzwa kwa uchache humu kuliko masuala mengine kuhusiana na huu mgogoro kitu ambacho nadhani halijaeleweka vyema na wengi kama sio baadhi ya watu. Mara nyingine, baadhi ya watu wamekuwa wakilifanyia propaganda sehemu mbalimbali mitandaoni ambako nimekuwa nikiperuzi.

Swali la msingi: hiyo neo-Nazi hasa ni kitu gani na inawahusu kina nani?

Neo-Nazi ni kundi la watu wenye itikadi kali za mrengo wa kulia hasa zile zinazoshabihiana na sera za kibaguzi za Adolf Hitler na chama chake cha Nazi. Kwa lugha nyingine wanafahamika kama right-wing extrimists wenye itikadi za ubaguzi dhidi ya watu wasio weupe (white supremacism). Hii itikadi ina wafuasi karibu nchi zote za Ulaya ikiwemo Ukraine pamoja na Urusi ambazo ziko katika mgogoro unaoendelea hivi sasa.

Kumekuwa na hoja kwamba kuna Unazi mamboleo nchini Ukraine unaotesa raia hasa wenye asili ya Urusi hivyo Urusi imepeleka jeshi lake kwenda kuukomesha huo Unazi mamboleo kupitia kile kinachoitwa "special operation" iliyotangazwa hapo awali na Urusi, pia ikipewa jina la "denazification" kama ile operation iliyoundwa baada ya Vita ya Pili ya Dunia kuzihusu Austria na Ujerumani.

Swali jingine la msingi: je, uwepo wa itikadi ya Unazi mamboleo ama neo-Nazism ni tatizo la Ukraine pekee?

Kama nilivyotangulia kusema, neo-Nazism ni itikadi kali inayoshabihiana na sera za kibaguzi kama vile, white supremacism, bila kusahau ubaguzi dhidi ya watu wenye asili ya Kiyahudi, sera ambazo zilipewa kipaumbele na chama cha Nazi wakati wa utawala wa Adolf Hitler. Kama hilo ni tatizo, basi sio tatizo la Ukraine pekee bali ni tatizo linalokita mizizi katika nchi nyingi zaidi hasa za bara la Ulaya kama nilivyosema hapo awali.

Nimeona suala la neo-Nazism limezungumzwa mara kadhaa humu kuhusu Ukraine, hata hivyo sijapata hoja zenye kunishawishi kuwa Ukraine ni taifa linaloendeshwa kwa sera za Kinazi kama zile za Adolf Hitler. Ingawa, ninakubaliana na hoja kuhusu uwepo wa kiasi fulani wa itikadi hii nchini Ukraine kama ambavyo itikadi hii imekuwepo pia katika nchi zingine.

Wakati nasubiri hoja hizo kuhusu Ukraine kutawaliwa kwa itikadi na sera za Unazi mamboleo [kama zipo], mimi nitazungumza kidogo kuhusu Urusi!

Sijui ni wangapi humu tunafahamu kuhusu vuguvugu linaloendelea nchini Urusi la kuirejesha iliyokuwa "Imperial Russia" linaloendeshwa na taasisi moja inayofahamika kwa kiingereza kama RIM ama Russian Imperial Movement?

Hii ni taasisi rasmi yenye sera ama itikadi kali za mrengo wa kulia zinazoendana na Unazi, taasisi ambayo makao yake makuu ni jijini Saint Petersburg nchini Urusi.

Hii taasisi ni kubwa kiasi cha kwamba inamiliki mpaka jeshi lake binafsi (paramilitary), pia inatoa mafunzo kwa wanamgambo ambao ni wafuasi wa itikadi hiyo kutoka mataifa mengine hasa ya Ulaya ambao wamehusika hata katika mapigano ya kujitolea sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Libya, Syria na hata Ukraine tangu 2014. Kutokana na hilo, taasisi hii imewekwa katika orodha maalumu kama "taasisi ya kigaidi" na baadhi ya nchi za magharibi.

Ninaposema ni "taasisi rasmi" nchini Urusi, ninamaanisha kuwa ni taasisi ambayo inajiendesha kwa baraka zote za serikali ya Urusi na operations zake nyingi zinafanywa nje ya nchi hasa ambapo serikali ya Urusi ina maslahi napo na inahitaji usaidizi wa kijeshi katika maeneo hayo. Ndio maana wamehusika katika utoaji mafunzo kwa vikundi ambavyo ni pro-Russian katika migogoro mbalimbali, na pia wamehusika frontline kwenye mapambano hasa Syria na Donbas, Ukraine mpaka hivi sasa.

Pia, yapo madai mbalimbali kutoka katika vyanzo vya kiintelijensia kuhusu taasisi hiyo kuhusika katika operation za siri dhidi ya serikali ya Ukraine tangu mwaka 2014. Isitoshe, ni taasisi ambayo ina kiasi fulani cha ushawishi hata katika siasa za Urusi.

Sasa, hoja yangu ya msingi ipo katika huo Unazi mamboleo unaozungumzwa hasa na Urusi hivi sasa ikiinyooshea kidole Ukraine. Kama huo Unazi mamboleo ni suala la kiitikadi na sera pamoja na utekelezwaji wake, je vikundi na taasisi kama RIM ya Urusi inayo-promote sera za Unazi, na inayotoa sapoti ya kijeshi kwa serikali ya Urusi katika uvamizi wa Ukraine, nao ni Unazi mamboleo ama si Unazi mamboleo?

Yeyote mwenye majibu kuhusu hoja yangu pamoja na zile nyingine ninazozisubiri, tafadhali karibu! Nitashukuru sana!
Punguza maelezo nani asome huo mzigo?.
 
Wafahamu watu ambao ndo humpa ushauri wa kitaalam raisi wa Russia Vladimir Putin, waitwa Sloviki au kwa kiingereza Men of Force.

Hawa wakisema wamesema na neno lao huwa limeshiba ni sehemu kubwa yenye mchanganyiko wa deep state na serikali.

View attachment 2150801

Mazee.

Hao pichani ni baadhi ya mazee wanounda baraza kubwa la Usalama la Russia.

1. Nikolai Patrushev- mkurugenzi wa zamani wa idara ya usalama ya FSB

2. Sergey Ivanov nae amewahi kuwa bosi wa FSB na sasa ndo mnadhimu mkuu wa Kremlin ambayo ndo makao makuu ya nchi ya Russia.

3. Alexander Bortnikov ndie mkuu wa sasa wa FSB

4. Sergey Naryshkin ndie mkuu wa sasa wa idara ya ujasusi wa nje yaani SVR ambayo ndani yake imo idara ya ujasusi wa kijeshi ya GRU.

5. Victor Zolotov ni mkuu wa askari wa akiba yaani National Guard na amefanya kazi na Putin akiwa mlinzi wake.

Wanajeshi.

Sergey Shoygu si mwanajeshi bali ni mwanasiasa katika sare za kijeshi. Huko nyuma shoygu amewahi kuwa gavana na waziri na ni mmoja wa watu wa ndani kabisa wa bwana Putin au "Inner Circle".

Shoygu amesimamia operesheni za kijeshi nchini Syria, Crimea na sasa Ukraine.

Yeye pamoja na jenerali Gerasimov ndo sasa waongoza operesheni nchini Ukraine.

View attachment 2150807
Waziri wa ulinzi Sergey Shoigu (kulia) na Valery Gerasimov ambae ni mkuu wa majeshi. Picha na Reuters.

Wanasiasa

1. Vyacheslav Volodin ndie mwenyekiti wa bunge la Russia maarufu kama Duma na ndie aliesimamia uamuzi wa kuivamia Ukraine kwa kura nyingi za wabunge.

2. Anton Vaino ndie mkuu wa shughuli za Kremlin.

Wenye pesa au Oligarchs

Hawa ni mabilionea na vijisent vidogo ndo vilivyozuiwa kwenye mabenki huko Ulaya Magharibi. Hawa wana uhusiano na humsaidia Putin katika masuala ya biashara na kuiweka nchi iwe na ustahimivu katika masuala kama madeni ya nje na kuhakikisha uchumi imara.

Wafuatao hapo chini ni baadhi yao.

View attachment 2150825
Kwenda kulia kutoka juu kushoto: Oleg Deripaska, Roman Abramovich, Alexey Miller, Nikolai Tokarev, Andrey Kostin, Igor Sechin and Dmitri Lebedev. Picha na AP

Wa nje ya Russia au Proxies

Walowekwa kando wajifunze kazi.


Dmitry Medvedev

View attachment 2150834

Medvedev alibadilishana uraisi na uwaziri mkuu kati ya mwaka 2008 na 2012. Huyu yupo kimya akifanya shughuli zake Kremlin ila hujibu hoja za hapa na pale.

Pamoja na hayo makundi niloyataja hapo juu, bado raisi Putin ana mtandao mkubwa sana duniani pamoja na marafiki wa kuazima.
Dmitry Medvedev ndo mtu mwenye cheo kikubwa. ukimtoa Putin anayefata ni yeye ndani ya Russia, yeye ni (Deputy Chairman of the Security Council of Russia)
 
Lakin Deni huwa ni deni la Taifa so la kiongozi aliyepo madarakani.... So nahis litaongezewa kwenye deni lao la taifa sa hivi wanachuchumia kwenye 70+Billion Dollars ka si sikosei... Ukiongeza na hizi zinazoingia nchini apo ndani ya week tatu tangu mgogoro uanze ndo maana IMF wanasema Uchumi wa Ukraine unaeza poromoka kwa 35%.....
Uko sahihi, Nilimanisha! Akibaki yeye Ulipwaji utakuwa smoothly tofauti na akingia mtu mwingine.
 
A peace agreement between Ukraine and Russia can be reached within one to two weeks at the earliest, and in May at the latest, Arestovich, an adviser to the head of Zelensky’s office, said.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
“Reports and materials are published solely aimed at making Russia the aggressor.”

Russian Ambassador to the United States Anatoly Antonov stated that the majority of Western media "imposes on the audience a one-sided perception of events in Ukraine."

He noted that there is no question of any freedom of speech when YouTube blocks Russian media, and social networks legalize violence against Russians. In addition, Antonov drew attention to the fact that American TV channels did not show a single report about an attempt by the Armed Forces of Ukraine to hit Tochka-U in the center of Donetsk.

The cluster munition rocket was shot down, but the debris killed more than 20 civilians and wounded about 30. “It feels like nobody cares,” Antonov told Newsweek.
Galip SV Liwagu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushawaza nakudanganya ata nikikwambia ukweli utahisi nakudanganya [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Ok ni hivi kama unaufatilia huu mzozo vizuri japo humpendi Putin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kitu utakigundua kwe vyombo vya habari kutoka magharibi...

Kuna taarifa wanakuwa wanazi'twist kuziondolea uhalisia kuonesha as if Russia are so weak ani weak indeed...

Mfano em soma apa Jerusalem Post taarifa hyo moja Russia to allow thousands of Middle East volunteers to fight Ukraine

Ambayo taarifa hyo hyo imeandikwa na BBC na vyombo vingine katika mazingira haya Ukraine war: Putin seeks foreign volunteers to fight in Ukraine

Kuna tofautu utaiona... Na kingine vile vile angalia screenshot hii apa chini

View attachment 2150792

Angalia Heading ya hizo taarifa na vyanzo vyake kuna kitu utaking'amua despite uteam ila kama kiduchu utapata kuuona ukweli...

Ya kwanza hyo ni Jerusalem Post ya Israel... Ya Pil n Reuters Headquartered in UK the same na BBC... ya Mwisho kabisa kwe screenshot hyo ni Al Jazeera... So kwa kuangalia vyanzo tu unapata na ukakasi wa taarifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

So apo kisha inakuja ka we ni shabiki wa Western Media utondoka na ile heading yao ya kua Mrusi kaenda kuazima wanajeshi... Ukiwa mtu huru utachukua Heading ya Jerusalem Post na Al Jazeera....

Ukumbuke apo sjaweka RT wala Sputnik zile media za kirusi....

Ka unavomchukia Putin kuna wengine pia tumechoshwa na Ubabe wa magharibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sio kwamba tunapenda Raia wa Ukraine wafe.
Well nimeupenda ulivyoongea,Mimi naomba tu nikwambie ukweli Mimi sio mdau wa ubabe wa magharibi!Sipendi vile USA anavyojifanyaga yeye ndio kiranja wa dunia,Sipendi kiongozi yeyote anaengilia mipaka na uhuru wa nchi nyingine!hii ndio Sababu nimemchukia Putin, before hii Vita nilikuwa nampenda nilidhani huyu ndio anaweza tunishiana misuli na USA,Sasa kwenda kutunishiana misuli na ka nchi alikokazidi hapo ndio kaniudhi Sana! Kama source Ni hayo ma military base ya NATO kwa vile yeye Ni big fish alikuwa na uwezo wa kupiga biti hao NATO Kama alivyowapiga biti la kutojaribu kuingia kwenye Vita na wametulia,Sasa yeye na kipara chake kile kakurupuka kuua watu.
Kuhusu habari hiyo Ni kawaida Sana kila upande huwa wanatetea upande aupendao so huwezi amini kila kinachoandikwa. Mfano Mimi na wewe hapa tuambiwe tuandike habari za Vita we mwenyewe unajua hizo habari zitakuwaje!
 
Top news for the day:

— The US State Department announced the introduction of restrictive measures against 11 high-ranking representatives of the Russian defense sector. The Japanese government also imposed personal sanctions against 17 individuals from Russia;

- negotiations between Russia and Ukraine will continue on March 15, Volodymyr Zelensky said;

- Sanctions against Russia will have a serious impact on global GDP, says World Bank President David Malpass;

The US administration is not currently discussing with Venezuela the possibility of importing Venezuelan oil, the White House said.
Galip SV Liwagu
images (3).png
 
Muache apumue kidogo umemzonga Sana huyo duu. Anaweza akajamba akachafua hali ya hewa hapa. Nielewek kuwa kujamba Ni hali ya kutoa gesi tumboni na Kama mnavyojua EU wanahaha na haya mambo ya nishati na gesi. Kwahyo Pro NATO wanatafuta vyanzo vingine vya nishati
Uwe unadandia kwa nyuma Ni salama kwako zaidi kuliko kwa mbele.
 
Joannah asipoelewa hii,basi ujue ana mahaba ya dhati ha Yankees.
Hajali hisia za Urusi juu ya usalama wake.
Mpe mfano mdogo TU.
Je USA Yuko tayari Russia irudishe nukes Cuba,au Russo apeleke nukes Mexico?
Sasa si apambane na NATO wanaotaka kuleta hayo madude?mbona anawamudu huyu Ukraine Ni kumuonea tu,hapo ndio kaishia kujiaibisha tu!maana Siku ya kwanza nilivyosikia anapiga Ukraine nilikuwa Kuna maajabu yatatokea kumbe Hana maajabu
 
CNBC News:

Mpaka jana (siku ya 19 ya vita vya Ukraine) Russia kishavurumisha makombora zaidi ya 900 kushambulia Ukraine, asema afisa wa Ulinzi wa Marekani. Makombora hayo yanahusisha makombora ya balistiki na cruise; ya masafa mafupi na ya kati.

Jamaa ananyesheleza makombora kwa wingi zaidi ndani ya muda mfupi.


Screenshot_20220315-064855_Chrome.jpg


SmartSelect_20220315-075523_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom