Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa Warusi waliotengeneza hizi Zala KYV kamikaze drones hawako serious. Betri za lithium nyingi badala ya kuweka moja kupunguza chance ya kufeli. Hizi drones nadhani zinaongoza kudondoka
Loitering-Munition-Ukraine.jpg
20220315_004153.jpg
 
Ila ukweli unaonekana,nakufuatilia vema kabisa ,uko vizuri,unaleta habari motomoto,
unakanuha uongo na propaganda kwa hoja na data zenye ushahidi.
Unawajibu vizuri pro west kwa habari kamili.
Unaleta update sahihi kabisa.
Uko vizuri.
Nakufuatilia toka siku ya kwanza.big up.
Kuna mtu humu umemdhubiti kisawasawa anajifanya anajua Kila kitu.kumbe na yeye anaokoteza vihabari kwa kuungaungaunga TU.
Sikirimimimasikini uko vizuri sana Mkuu.
Team Putin wakipeana moyo 😉
 
Hizi ni kwa ajili ya reconnaissance na ni disposable maana hutuma picha HQ
Hizo ni multi-purpose zinafungwa vifaa vya reconnaissance kama camera au vinafungwa explosives. Kanabeba mzigo wa kama kilo mbili hivi na kuzunguka angani kama lisaa na nusu. Sasa kwa utengenezaji huu wa betri za ovyo ovyo utadhani walinunua dukani. Hizi si ni kama AA size
 
Hajui kusoma huyo. Anakuchosha tu bure! Mwambie kuwa Urusi si mwoga kama AMERICANATO wanaomimina mvua za bombs na kuwafukia raia kwenye makazi yao.

Putin anatoa tahadhari, onyo, nafasi ya kujisalimisha, nafasi ya kuondoka, then kichapo mdogo2 hadi kieleweke!
Kashata zimepungua huku Mkuu,bado birika la gahawa limejaa tele🙂
 
Sababu zipo nyingi lakini sio kwamba wanashindwa

Wanajitahidi kwa kadiri wawezavyo kupunguza kuua raia na kufanya uharibifu mkubwa wa miundombinu na haswa ikizingatiwa kwamba wapiganaji wa Ukraine wanatumia makazi ya watu na mahospitali na shule kama kambi zao za kujifichia na kushambulia

Russia wakiamua kutia full mziki kama USA anvyofanya anakovamia basi mida hii angekwisha maliza kazi ila maafa yangekua ni balaa kwa raia na miundombinu
Hizi blah blah sasa ni week ya tatu tushazizoea,nilitegemea uje na hoja iliyoshiba lakini siyo hii uliyoleta hapa.
 
Hizo ni multi-purpose zinafungwa vifaa vya reconnaissance kama camera au vinafungwa explosives. Kanabeba mzigo wa kama kilo mbili hivi na kuzunguka angani kama lisaa na nusu. Sasa kwa utengenezaji huu wa betri za ovyo ovyo utadhani walinunua dukani. Hizi si ni kama AA size
Warusi pia wapo juu kiteknolojia na ndo maana nikasema hizo ni zile ambazo ni disposable.

Zatumwa nyingi na jamaa wa espionage walio ndani ya eneo la adui na kisha zafanya reconnaissance na kutuma picha makao makuu ambayo kwa ufanisi itakuwa ni Belarus.

Russia pia atengeneza silaha na kiteknolijia na ana wanunuzi wake akiwemo mchina.
 
Marekani imekataa wazo hilo.
Mbona unasema ^Marekani imekataa wazo hilo^? Marekani haikukataa ila ALIOGOPA! Alitaka kumsukumia Mpolandi hilo seke2, kama alivyomghilibu Zelensky (of course, na wengine wengi).

Ndivyo alivyowachomea wapiganaji wa Middle East. Anawaingiza vitani kwa ahadi za msaada, then moto ukiwaka, anawaacha! Remember the Kurds?
 
Hizi blah blah sasa ni week ya tatu tushazizoea,nilitegemea uje na hoja iliyoshiba lakini siyo hii uliyoleta hapa.
Umezichoka, au umeshindwa kujibu?

Nawashangaa sana wale wanaouliza kwa nini vita haikuisha ile dei wani. Kwa maneno mengine wanasema wangetamani kuona damu, vilema na vifo vya watu wengi wasio na hatia.

Because kitendo cha Urusi kudilei oparesheni yake kinaonesha nia njema ya kuwaruhusu rai wasio na hatia waondoke. Mrusi anashida na professional Comedian wenu.

But Zelensky, Marekani & NATO wanatumia mwanya huo kuwashambulia troops wa Urusi, kuingiza silaha na kupanga mashambulizi mapya, ikiwa ni pamoja na kuchochea propaganda na chuki dhidi ya Urusi. Bila kusahau kulialia, as usual.

Lengo la vibosire wachache wapenda vita wa Marekani na NATO ni kufaidika kadiri iwezavyo kwenye vita hivi.
 

​


Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO​


Address by His Excellency Robert Mugabe, President of the Republic of Zimbabwe at the General debate of the 67th Session of the General Assembly of the United Nations (New York, 25-29 September and 1 October 2012).
 
Umezichoka, au umeshindwa kujibu?

Nawashangaa sana wale wanaouliza kwa nini vita haikuisha ile dei wani. Kwa maneno mengine wanasema wangetamani kuona damu, vilema na vifo vya watu wengi wasio na hatia.

Because kitendo cha Urusi kudilei oparesheni yake kinaonesha nia njema ya kuwaruhusu rai wasio na hatia waondoke. Mrusi anashida na professional Comedian wenu.

But Zelensky, Marekani & NATO wanatumia mwanya huo kuwashambulia troops wa Urusi, kuingiza silaha na kupanga mashambulizi mapya, ikiwa ni pamoja na kuchochea propaganda na chuki dhidi ya Urusi. Bila kusahau kulialia, as usual.

Lengo la vibosire wachache wapenda vita wa Marekani na NATO ni kufaidika kadiri iwezavyo kwenye vita hivi.
Mwenye utashi wake tu asie na fikra za kuazima ndo anaeza kukiona hicho kitu.
 
Basi nikajua nitaikuta Ukrain haipo kabisa kwa Ulimwengu ,kumbe bado wapo bwana
Nyamizi Kiev pamekuwa mwiba mkali kwa russia hapaingiliki kiboya boya, russia alifikiri ni rahisi rahisi tu kama vile anaingia ndani ya mkoa wa russia sasa anachokutana nacho haamini anaishia kwa hasira kupiga mabomu majengo. Siku ya 19 leo anambwelambwela kuingia Kyiv
 
Back
Top Bottom