Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni Joannah, anasoma koment kimya kimya...itabidi anivumilie tu, hakuna namna...yalazimika tuseme ukweli wa kinachoendelea uwanjani
Nasomaje kimya kimya propaganda jamani?maana sasa nimeona mnaanza geuza maneno eti Syria ndio wamekuja kuomba kuwasaidia na sio Putin aliwaomba!you people!
 
India kayachumbia mafuta ya Russia, ni yale yatakayokataliwa na mabepari wa kimagharibi

Ukisusa, wenzako wala (pasi kusaza)


SmartSelect_20220314-231352_Chrome.jpg


Screenshot_20220314-231741_Chrome.jpg
 
Kushindwa kwenye vita kawaida tena sana russia mwenyewe alikula kipondo na CheChenya na, Afghanstan na wengine wengine wengi tu washamkung,uta r

Part of Ukraine ni half Russian speaking na nyengine ni anti Russia.

Wa-Ukraine 80,000 walipigana vita ww2 upande wa Nazi. Unamfahamu Stephen Bendera? Stephen Bendera na watu aina kama yake walikuwa wanafanya kazi na Nazi. Hawa Ukrainian aina haii walikuwa wanawawinda Jews na wamewaua Jews wengi wa Ukraine na Poland. It was dirty blood war.

Watu aina kama Bendera bado wapo, hawakuenda popote. Bado wapo Nazi nchini Ukraine na kuna Nazi Battalion katika jeshi la Ukraine. Ndiyo hawa anti Russia. Walichokifanya ni kufuta utamaduni wote ya raia asili ya Russia nchini Ukraine. Ni sawa sawa na hapa Tz ufute utamaduni wote wa mojawapo ya kabila. Hata lugha yao wasiizungumze na kuwatenga.

Mazingira haya ndiyo yakasababisha baadhi ya majimbo kujitenga nchini Ukraine hususani yanayozungumza lugha ya Warusi. Ukiliangalia hili ni kama uasi uliyotengenezwa na serikali ili kujastify kuwasulubisha jamii fulani ndani ya nchi.

Kipindi United States wametengeneza nuclear bomb Soviet Union nao wakaingia kwenye hizo mbio za ku develop the nuclear program. Wanasayansi wa Russia walikuwa wakifanya kazi na wanasayansi wengine wa Kijerumani. Kilichofanyika wanasayansi wa US wakatoa siri kwa wanasayansi wenzao wa Kisovieti. Kwa nini walifanya hivyo? Because they understood the dangers. They let the genie out of the bottle and now the genie cannot be put back. Hawa ni wanasayansi wamefanya hivi. Walikuwa na akili wanawafahamu politician: They provide this information to the Soviet Union ili ku-restore the nuclear balance in the world. But now we are trying to destroy the balance, na hiki ndicho anachokifanya US na EU.

Zama za cold war waliwekeana saini US kutoa mabomu ya nuclear Italy na Turkey dhidi ya Soviet Union. Soviet Union nao kuondoa mabomu ya nuclear Cuba dhidi ya US. Ili kuendelea ku-restore hii balance kipindi cha Germany reunification 1992 NATO waliwaahidi Soviet ambayo kwa sasa ni mother Russia kuwa hawatosogea hata inch moja kuelekea Russia. Tukumbuke NATO si democratic club bali ni military and security group. Mpaka kufika mwaka 1997 NATO waliingiza nchi 14 kuelekea Russia. US kwenye bunge lao la Seneta wakatangaza Russia ni nchi adui kwao.

Ukiwa member wa NATO kila zana zitawekwa kwa member huyo! Ukraine ni nchi huru lakini uhuru wake unaathiri usalama wa jirani yake Russia. Kiranja wa NATO ni US, na US katangaza Russia ni adui wake. Walifika uhasama wa kuwekeana mabomu ya nuclear kwenye nchi jirani na nchi zao. Russia kajaribu kutafuta njia za diplomasia zimefeli. Mbali na hilo Ukraine ndiyo nchi yenye vinu vya nuclear vikubwa barani Ulaya. Vipi kama nchi huru Ukraine akijiunga NATO kisha wakafufua vinu vya nuclear usalama wa jirani yake Russia utakuwa wapi? Na US wanawatumia hao Nazi wa Ukraine kwenye mipango yao dhidi ya Russia.

Unataka Russia afanye nini ili kulinda usalama wa Taifa lake?
Joannah asipoelewa hii,basi ujue ana mahaba ya dhati ha Yankees.
Hajali hisia za Urusi juu ya usalama wake.
Mpe mfano mdogo TU.
Je USA Yuko tayari Russia irudishe nukes Cuba,au Russo apeleke nukes Mexico?
 
India kayachumbia mafuta ya Russia, ni yale yatakayokataliwa na mabepari wa kimagharibi

Ukisusa, wenzako wala (pasi kusaza)


View attachment 2150759

View attachment 2150762
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af T14 Armata ananipanga asubuh kwa kunibishia eti BRICS so lolote si chochote na watamtelekeza Russia ili wasitengwe n Dunia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi nani wa kuwaumiza Raia wake kutiii maamuzi ya Mmagaharibi kwa maslah yake [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Mda ni Mwalim mzuri mnoo [emoji847]
 
Even Winston was on his own. French fell, Belgium, Netherland, Russia was on the side of Hitler. All other had surrendered. USA was not in a war as most people did not want their sons to die in a foreigner land. Conservatives did not want Churchill they viewed him with suspicious. They wanted Lord Halifax to take over. Chamberlin was thinking of surrendering. Just imagine alone in the cabinet full of people with the view if negotiating with Hitler. He stood alone but he won because he had courage. Bringing back those men from Dunkirk was a miracle. He did it with God and courage. Zelenski will get help along the way. Now he has to show courage and fight with all his mighty. Kiev is still standing with all the shelling.
To link Zelenskyy with Churchill is too illusional.

Its true Russian underestimated the Ukraine resistance.

But also NATO underestimated the strong Russia war machine.

So lets wait and see how it ends.
 
Imenibidi nicheke sasa..... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Muache apumue kidogo umemzonga Sana huyo duu. Anaweza akajamba akachafua hali ya hewa hapa. Nielewek kuwa kujamba Ni hali ya kutoa gesi tumboni na Kama mnavyojua EU wanahaha na haya mambo ya nishati na gesi. Kwahyo Pro NATO wanatafuta vyanzo vingine vya nishati
 
NIPANGE tu nikusikiliza[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushawaza nakudanganya ata nikikwambia ukweli utahisi nakudanganya [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Ok ni hivi kama unaufatilia huu mzozo vizuri japo humpendi Putin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kitu utakigundua kwe vyombo vya habari kutoka magharibi...

Kuna taarifa wanakuwa wanazi'twist kuziondolea uhalisia kuonesha as if Russia are so weak ani weak indeed...

Mfano em soma apa Jerusalem Post taarifa hyo moja Russia to allow thousands of Middle East volunteers to fight Ukraine

Ambayo taarifa hyo hyo imeandikwa na BBC na vyombo vingine katika mazingira haya Ukraine war: Putin seeks foreign volunteers to fight in Ukraine

Kuna tofautu utaiona... Na kingine vile vile angalia screenshot hii apa chini

Screenshot_20220314-233911.jpg


Angalia Heading ya hizo taarifa na vyanzo vyake kuna kitu utaking'amua despite uteam ila kama kiduchu utapata kuuona ukweli...

Ya kwanza hyo ni Jerusalem Post ya Israel... Ya Pil n Reuters Headquartered in UK the same na BBC... ya Mwisho kabisa kwe screenshot hyo ni Al Jazeera... So kwa kuangalia vyanzo tu unapata na ukakasi wa taarifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

So apo kisha inakuja ka we ni shabiki wa Western Media utondoka na ile heading yao ya kua Mrusi kaenda kuazima wanajeshi... Ukiwa mtu huru utachukua Heading ya Jerusalem Post na Al Jazeera....

Ukumbuke apo sjaweka RT wala Sputnik zile media za kirusi....

Ka unavomchukia Putin kuna wengine pia tumechoshwa na Ubabe wa magharibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sio kwamba tunapenda Raia wa Ukraine wafe.
 
But also NATO underestimated the strong Russia war machine.
Kweli??? Hii umeona wapi?? Naomba unionyeshe.
Yote niiyoona kabla ya uvamizi: media za magahribi zilitabiri jeshi la Urusi litafyeka Ukraine haraka.
Baadaye walishangaaaa kuhusu udhaifu na makosa upande wa Warusi.
 
Ukraine has big plans for its navy, which promised to seriously hurt the Russian Black Sea fleet with swarm tactics to take out larger, better armed Russian vessels.

Ukrainian sailors, evidently, didn’t think much of that plan.

All offensive weaponry abroad Ukrainian ships is now being removed and evacuated, as is all ammunition

View attachment 2150803



View attachment 2150804
 
Wafahamu watu ambao ndo humpa ushauri wa kitaalam raisi wa Russia Vladimir Putin, waitwa Sloviki au kwa kiingereza Men of Force.

Hawa wakisema wamesema na neno lao huwa limeshiba ni sehemu kubwa yenye mchanganyiko wa deep state na serikali.

1647291269556.png


Mazee.

Hao pichani ni baadhi ya mazee wanounda baraza kubwa la Usalama la Russia.

1. Nikolai Patrushev- mkurugenzi wa zamani wa idara ya usalama ya FSB

2. Sergey Ivanov nae amewahi kuwa bosi wa FSB na sasa ndo mnadhimu mkuu wa Kremlin ambayo ndo makao makuu ya nchi ya Russia.

3. Alexander Bortnikov ndie mkuu wa sasa wa FSB

4. Sergey Naryshkin ndie mkuu wa sasa wa idara ya ujasusi wa nje yaani SVR ambayo ndani yake imo idara ya ujasusi wa kijeshi ya GRU.

5. Victor Zolotov ni mkuu wa askari wa akiba yaani National Guard na amefanya kazi na Putin akiwa mlinzi wake.

Wanajeshi.

Sergey Shoygu si mwanajeshi bali ni mwanasiasa katika sare za kijeshi. Huko nyuma shoygu amewahi kuwa gavana na waziri na ni mmoja wa watu wa ndani kabisa wa bwana Putin au "Inner Circle".

Shoygu amesimamia operesheni za kijeshi nchini Syria, Crimea na sasa Ukraine.

Yeye pamoja na jenerali Gerasimov ndo sasa waongoza operesheni nchini Ukraine.

1647291938225.png

Waziri wa ulinzi Sergey Shoigu (kulia) na Valery Gerasimov ambae ni mkuu wa majeshi. Picha na Reuters.

Wanasiasa

1. Vyacheslav Volodin ndie mwenyekiti wa bunge la Russia maarufu kama Duma na ndie aliesimamia uamuzi wa kuivamia Ukraine kwa kura nyingi za wabunge.

2. Anton Vaino ndie mkuu wa shughuli za Kremlin.

Wenye pesa au Oligarchs

Hawa ni mabilionea na vijisent vidogo ndo vilivyozuiwa kwenye mabenki huko Ulaya Magharibi. Hawa wana uhusiano na humsaidia Putin katika masuala ya biashara na kuiweka nchi iwe na ustahimivu katika masuala kama madeni ya nje na kuhakikisha uchumi imara.

Wafuatao hapo chini ni baadhi yao.

1647292432543.png

Kwenda kulia kutoka juu kushoto: Oleg Deripaska, Roman Abramovich, Alexey Miller, Nikolai Tokarev, Andrey Kostin, Igor Sechin and Dmitri Lebedev. Picha na AP

Wa nje ya Russia au Proxies

Walowekwa kando wajifunze kazi.


Dmitry Medvedev

1647293112349.png


Medvedev alibadilishana uraisi na uwaziri mkuu kati ya mwaka 2008 na 2012. Huyu yupo kimya akifanya shughuli zake Kremlin ila hujibu hoja za hapa na pale.

Pamoja na hayo makundi niloyataja hapo juu, bado raisi Putin ana mtandao mkubwa sana duniani pamoja na marafiki wa kuazima.
 
Kweli??? Hii umeona wapi?? Naomba unionyeshe.
Yote niiyoona kabla ya uvamizi: media za magahribi zilitabiri jeshi la Urusi litafyeka Ukraine haraka.
Baadaye walishangaaaa kuhusu udhaifu na makosa upande wa Warusi.
Wame-underestimate uwezo wa Russia kwasababu wao wamemchokoza Russia lakini wakimtumia Ukraine ambae si mwanachama wa NATO.

Hivyo hiyo njia walotumia imewanyima fursa ya kujibu mapigo kwa Russia ingawa bado NATO na Marekani wampatia silaha zote Ukraine kupitia Poland.

Russia ameahidi kulipua misafara yote yenye kubeba silaha kuingiza Ukraine.

Pia kama wafuatilia, Poland walitaka waipatie ndege zake za kijeshi za MiG-29 ambazo ni "Russian made" kisha Marekani iwarudishie kwa kuwapa fighter jets na Marekani imekataa wazo hilo.
 
Wafahamu watu ambao ndo humpa ushauri wa kitaalam raisi wa Russia Vladimir Putin, waitwa Sloviki au kwa kiingereza Men of Force.

Hawa wakisema wamesema na neno lao huwa limeshiba ni sehemu kubwa yenye mchanganyiko wa deep state na serikali.

View attachment 2150801

Mazee.

Hao pichani ni baadhi ya mazee wanounda baraza kubwa la Usalama la Russia.

1. Nikolai Patrushev- mkurugenzi wa zamani wa idara ya usalama ya FSB

2. Sergey Ivanov nae amewahi kuwa bosi wa FSB na sasa ndo mnadhimu mkuu wa Kremlin ambayo ndo makao makuu ya nchi ya Russia.

3. Alexander Bortnikov ndie mkuu wa sasa wa FSB

4. Sergey Naryshkin ndie mkuu wa sasa wa idara ya ujasusi wa nje yaani SVR ambayo ndani yake imo idara ya ujasusi wa kijeshi ya GRU.

5. Victor Zolotov ni mkuu wa askari wa akiba yaani National Guard na amefanya kazi na Putin akiwa mlinzi wake.

Wanajeshi.

Sergey Shoygu si mwanajeshi bali ni mwanasiasa katika sare za kijeshi. Huko nyuma shoygu amewahi kuwa gavana na waziri na ni mmoja wa watu wa ndani kabisa wa bwana Putin au "Inner Circle".

Shoygu amesimamia operesheni za kijeshi nchini Syria, Crimea na sasa Ukraine.

Yeye pamoja na jenerali Gerasimov ndo sasa waongoza operesheni nchini Ukraine.

View attachment 2150807
Waziri wa ulinzi Sergey Shoigu (kulia) na Valery Gerasimov ambae ni mkuu wa majeshi. Picha na Reuters.

Wanasiasa

1. Vyacheslav Volodin ndie mwenyekiti wa bunge la Russia maarufu kama Duma na ndie aliesimamia uamuzi wa kuivamia Ukraine kwa kura nyingi za wabunge.

2. Anton Vaino ndie mkuu wa shughuli za Kremlin.

Wenye pesa au Oligarchs

Hawa ni mabilionea na vijisent vidogo ndo vilivyozuiwa kwenye mabenki huko Ulaya Magharibi. Hawa wana uhusiano na humsaidia Putin katika masuala ya biashara na kuiweka nchi iwe na ustahimivu katika masuala kama madeni ya nje na kuhakikisha uchumi imara.

Wafuatao hapo chini ni baadhi yao.

View attachment 2150825
Kwenda kulia kutoka juu kushoto: Oleg Deripaska, Roman Abramovich, Alexey Miller, Nikolai Tokarev, Andrey Kostin, Igor Sechin and Dmitri Lebedev. Picha na AP

Wa nje ya Russia au Proxies

Walowekwa kando wajifunze kazi.


Dmitry Medvedev

View attachment 2150834

Medvedev alibadilishana uraisi na uwaziri mkuu kati ya mwaka 2008 na 2012. Huyu yupo kimya akifanya shughuli zake Kremlin ila hujibu hoja za hapa na pale.

Pamoja na hayo makundi niloyataja hapo juu, bado raisi Putin ana mtandao mkubwa sana duniani pamoja na marafiki wa kuazima.
Medvedev ni Naibu mkuu wa kamati ya usalama wa taifa URUSI. Katika vita hivi yeye amechangia kwa kiasi kikubwa sana. Hawapendi UKRAINE
 
Only 30 of the 200 foreign mercenaries who arrived in Ukraine decided to fight, the rest changed their minds.

This was written in social networks by the American military commander Nolan Peterson.

According to him, the transit point where the military mercenaries were located was subjected to rocket fire today.

Today it became known that the Russian Armed Forces hit the Yavoriv training ground near Lviv, where since 2015 NATO instructors have been teaching Ukrainian nationalists how to wage war. Later, the Russian Defense Ministry stated that 180 foreign mercenaries were killed during the shelling. Galip SV Liwagu Frustration View attachment 2149214
Naona wameamua kuishi hao 170 na hao 30 death wishes
 
Back
Top Bottom