Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

World Bank to allocate additional $200 million to Ukraine - head of the bank.
Galip SV Liwagu
images (3).png
 
Deputy Chairman of the Norwegian Olympic Committee resigned due to the removal of the Russians

“This decision is in stark contrast to my values and vision of what sport should be. I have decided to resign because I do not want to be associated with this verdict in any way, ”NRK quotes Oyvind Vatterdal as saying.

The functionary explained that he took such a step for reasons of conscience in order to stand up for his Russian colleagues and "be able to look them in the eye."
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Kuna hili suala la Unazi mamboleo ama "neo-Nazism" ambalo limezungumzwa kwa uchache humu kuliko masuala mengine kuhusiana na huu mgogoro kitu ambacho nadhani halijaeleweka vyema na wengi kama sio baadhi ya watu. Mara nyingine, baadhi ya watu wamekuwa wakilifanyia propaganda sehemu mbalimbali mitandaoni ambako nimekuwa nikiperuzi.

Swali la msingi: hiyo neo-Nazi hasa ni kitu gani na inawahusu kina nani?

Neo-Nazi ni kundi la watu wenye itikadi kali za mrengo wa kulia hasa zile zinazoshabihiana na sera za kibaguzi za Adolf Hitler na chama chake cha Nazi. Kwa lugha nyingine wanafahamika kama right-wing extrimists wenye itikadi za ubaguzi dhidi ya watu wasio weupe (white supremacism). Hii itikadi ina wafuasi karibu nchi zote za Ulaya ikiwemo Ukraine pamoja na Urusi ambazo ziko katika mgogoro unaoendelea hivi sasa.

Kumekuwa na hoja kwamba kuna Unazi mamboleo nchini Ukraine unaotesa raia hasa wenye asili ya Urusi hivyo Urusi imepeleka jeshi lake kwenda kuukomesha huo Unazi mamboleo kupitia kile kinachoitwa "special operation" iliyotangazwa hapo awali na Urusi, pia ikipewa jina la "denazification" kama ile operation iliyoundwa baada ya Vita ya Pili ya Dunia kuzihusu Austria na Ujerumani.

Swali jingine la msingi: je, uwepo wa itikadi ya Unazi mamboleo ama neo-Nazism ni tatizo la Ukraine pekee?

Kama nilivyotangulia kusema, neo-Nazism ni itikadi kali inayoshabihiana na sera za kibaguzi kama vile, white supremacism, bila kusahau ubaguzi dhidi ya watu wenye asili ya Kiyahudi, sera ambazo zilipewa kipaumbele na chama cha Nazi wakati wa utawala wa Adolf Hitler. Kama hilo ni tatizo, basi sio tatizo la Ukraine pekee bali ni tatizo linalokita mizizi katika nchi nyingi zaidi hasa za bara la Ulaya kama nilivyosema hapo awali.

Nimeona suala la neo-Nazism limezungumzwa mara kadhaa humu kuhusu Ukraine, hata hivyo sijapata hoja zenye kunishawishi kuwa Ukraine ni taifa linaloendeshwa kwa sera za Kinazi kama zile za Adolf Hitler. Ingawa, ninakubaliana na hoja kuhusu uwepo wa kiasi fulani wa itikadi hii nchini Ukraine kama ambavyo itikadi hii imekuwepo pia katika nchi zingine.

Wakati nasubiri hoja hizo kuhusu Ukraine kutawaliwa kwa itikadi na sera za Unazi mamboleo [kama zipo], mimi nitazungumza kidogo kuhusu Urusi!

Sijui ni wangapi humu tunafahamu kuhusu vuguvugu linaloendelea nchini Urusi la kuirejesha iliyokuwa "Imperial Russia" linaloendeshwa na taasisi moja inayofahamika kwa kiingereza kama RIM ama Russian Imperial Movement?

Hii ni taasisi rasmi yenye sera ama itikadi kali za mrengo wa kulia zinazoendana na Unazi, taasisi ambayo makao yake makuu ni jijini Saint Petersburg nchini Urusi.

Hii taasisi ni kubwa kiasi cha kwamba inamiliki mpaka jeshi lake binafsi (paramilitary), pia inatoa mafunzo kwa wanamgambo ambao ni wafuasi wa itikadi hiyo kutoka mataifa mengine hasa ya Ulaya ambao wamehusika hata katika mapigano ya kujitolea sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Libya, Syria na hata Ukraine tangu 2014. Kutokana na hilo, taasisi hii imewekwa katika orodha maalumu kama "taasisi ya kigaidi" na baadhi ya nchi za magharibi.

Ninaposema ni "taasisi rasmi" nchini Urusi, ninamaanisha kuwa ni taasisi ambayo inajiendesha kwa baraka zote za serikali ya Urusi na operations zake nyingi zinafanywa nje ya nchi hasa ambapo serikali ya Urusi ina maslahi napo na inahitaji usaidizi wa kijeshi katika maeneo hayo. Ndio maana wamehusika katika utoaji mafunzo kwa vikundi ambavyo ni pro-Russian katika migogoro mbalimbali, na pia wamehusika frontline kwenye mapambano hasa Syria na Donbas, Ukraine mpaka hivi sasa.

Pia, yapo madai mbalimbali kutoka katika vyanzo vya kiintelijensia kuhusu taasisi hiyo kuhusika katika operation za siri dhidi ya serikali ya Ukraine tangu mwaka 2014. Isitoshe, ni taasisi ambayo ina kiasi fulani cha ushawishi hata katika siasa za Urusi.

Sasa, hoja yangu ya msingi ipo katika huo Unazi mamboleo unaozungumzwa hasa na Urusi hivi sasa ikiinyooshea kidole Ukraine. Kama huo Unazi mamboleo ni suala la kiitikadi na sera pamoja na utekelezwaji wake, je vikundi na taasisi kama RIM ya Urusi inayo-promote sera za Unazi, na inayotoa sapoti ya kijeshi kwa serikali ya Urusi katika uvamizi wa Ukraine, nao ni Unazi mamboleo ama si Unazi mamboleo?

Yeyote mwenye majibu kuhusu hoja yangu pamoja na zile nyingine ninazozisubiri, tafadhali karibu! Nitashukuru sana!
 
The root cause of the crisis in Ukraine was the military expansion of the United States and NATO in Eastern Europe, according to Serbian politician Zivadin Jovanovic.

Serbia was the first victim of NATO's expansionist strategy, he said in an interview with Xinhua.

“The policy of military expansion must be stopped, and all countries must be recognized as having equal legal rights and interests without prejudice to the security of other countries,” stressed the former Yugoslav foreign minister.

Sanctions, threats, double standards and unilateralism undermine peace, the politician said, adding that such behavior must be stopped. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Madhara yaliyotokea baada ya mashambulizi ya mabomu/makombora ya Russia kwenye mji wa Okhtyrka, Ukrain. Majengo yameharibiwa, mtambo wa kuzalisha umeme umesambaratishwa, njia za usafirishaji baadhi zimeharibiwa.

Halafu Zelensky anadai eti Ukraine wako wanashinda hii vita!

========

SmartSelect_20220315-064304_Chrome.jpg
SmartSelect_20220315-064229_Chrome.jpg

SmartSelect_20220315-064338_Chrome.jpg
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] so mpk silaha zote zile ni mikopo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Wazungu hawajawahi kuwa wazuri maishani, Alisema hizo siraha Nitakuja kuzilipia sio bure, Kila misaada inayokuja ina price ya kuja kulipia. But if yeye akibaki kuwa President 😆 Akipinduliwa basi.
 
The Russian Foreign Ministry reported on a telephone conversation between Sergei Lavrov and his Turkish counterpart Mevlut Cavusoglu.

During the conversation, the Turkish side was recommended to appeal to Kiev with an appeal not to obstruct the evacuation of the civilian population along humanitarian corridors.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
The root cause of the crisis in Ukraine was the military expansion of the United States and NATO in Eastern Europe, according to Serbian politician Zivadin Jovanovic.

Serbia was the first victim of NATO's expansionist strategy, he said in an interview with Xinhua.

“The policy of military expansion must be stopped, and all countries must be recognized as having equal legal rights and interests without prejudice to the security of other countries,” stressed the former Yugoslav foreign minister.

Sanctions, threats, double standards and unilateralism undermine peace, the politician said, adding that such behavior must be stopped. Galip SV Liwagu View attachment 2151013
Watu wenye mtazamo mwembamba ama akili finyu hawawezi kukuelewa
 
Erdogan amesema ni mapema mno Turkey kustop kununua silaha za Russia. Asisitiza Turkey lazima iendeleze kuimarisha Urafiki wake na Putin 9Russia) na Zelensky (Ukraine).

(Pichani ni mfumo wa ulinzi wa anga S-400 wa Russia ambao Turkey, member wa NATO, alijilipua nao/aliununua licha ya kuahidiwa vikwazo na Marekani kwa jambo hilo)

SmartSelect_20220315-064550_Chrome.jpg

“Under the current circumstances, it would be premature to talk about what the future shows, right now. We have to see what the conditions bring. We have to maintain our friendship with Mr. Zelenski and Mr. Putin,” Erdogan said.
 
Back
Top Bottom