Mwana Taalamu amenidokezea anasema yeye anapenda kote kote.Uwe unadandia kwa nyuma Ni salama kwako zaidi kuliko kwa mbele.
Mwana Taalamu amenidokezea anasema yeye anapenda kote kote.Uwe unadandia kwa nyuma Ni salama kwako zaidi kuliko kwa mbele.
Wewe nae si uache matusi huoni Kuna vita?aache kudandia treni kwa mbele, atagongwa...kanirukia Mimi Ni Pro NATO yeye alisikia wapiMwana Taalamu amenidokezea anasema yeye anapenda kote kote.
Kupambana na NATO ni vita vikubwa sana ambavyo achilia mbali Puttin hata wewe hutotaka kuona inatokea.Sasa si apambane na NATO wanaotaka kuleta hayo madude?mbona anawamudu huyu Ukraine Ni kumuonea tu,hapo ndio kaishia kujiaibisha tu!maana Siku ya kwanza nilivyosikia anapiga Ukraine nilikuwa Kuna maajabu yatatokea kumbe Hana maajabu
Kwa mie binafs sizanii hvo na wala sifikirii kwamba lengo la Putin n kuitawala Ukraine. Nachokiona lengo lake achilia mbali kuhusu "Neo-Nazi" na ile "Demand ya Neutrality ya Ukraine" ni kuidhoofisha Ukraine kijeshi ili Crimea, na zile Republic 2 mpya ziwe salama...Inavyoelekea Ukraine itakuwa chini ya Russia.
Na kuna Bom flan hv jana limetupwa na hao hao nationalist kwa Raia basi nikakaa BBC nikisubir walitangaze waaaaaapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]— They say that Ukrainian equipment stands right in residential areas.
- It's true.
Refugees from Mariupol talk about the situation in the city. This family managed to escape today and reach Berdyansk.
Galip SV Liwagu
View attachment 2151033
Ameshakusikia hatarudia tena.Wewe nae si uache matusi huoni Kuna vita?aache kudandia treni kwa mbele, atagongwa...kanirukia Mimi Ni Pro NATO yeye alisikia wapi
Kiongozi wa Crimea Republic ni member wa Russian President Council.Kwa mie binafs sizanii hvo na wala sifikirii kwamba lengo la Putin n kuitawala Ukraine. Nachokiona lengo lake achilia mbali kuhusu "Neo-Nazi" na ile "Demand ya Neutrality ya Ukraine" ni kuidhoofisha Ukraine kijeshi ili Crimea, na zile Republic 2 mpya ziwe salama...
So mpaka Ukraine aje ajipange afikirie kuzirejesha Crimea na hizo Republic 2 watakuwa (Apo ndani ya hizo Republics sasa) washa piga hatua ndefu kujiimalisha na kwa kiasi kikubwa halitawezakana.
Nahisi ukiangalia target zote anazopiga utakubaliana na mie... Ni Military tu.
Waifungie tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apa napata kujua kwanini China Mainland hawa Tech Giants like Google na Meta hawaruhusiwi kbs...YouTube will be blocked in Russia if it does not follow the law - RIA Novosti with reference to Senator Andrey Klishas.
Galip SV Liwagu View attachment 2151022
Youtube inablock contents za Media za Russia na kuzuia mapato baaadhi ya channel za watu, huku yenyewe ikiendelea kuwepo Russian sasa warusi wanataka kuifunga kabisa.
namim nasubir majib mana kwa mtazamo wang kama adui kaomba msada ina.mana pumz.imekata sasa si ndio wammalize kabisa mbon hajaingia mtu mpka sasa?Wakikujibu hao jamaa, situmii tena Google chrome
Ndege wengi kwa jiwe Moja......Sasa si apambane na NATO wanaotaka kuleta hayo madude?mbona anawamudu huyu Ukraine Ni kumuonea tu,hapo ndio kaishia kujiaibisha tu!maana Siku ya kwanza nilivyosikia anapiga Ukraine nilikuwa Kuna maajabu yatatokea kumbe Hana maajabu