Well nimeupenda ulivyoongea,Mimi naomba tu nikwambie ukweli Mimi sio mdau wa ubabe wa magharibi!Sipendi vile USA anavyojifanyaga yeye ndio kiranja wa dunia,Sipendi kiongozi yeyote anaengilia mipaka na uhuru wa nchi nyingine!hii ndio Sababu nimemchukia Putin, before hii Vita nilikuwa nampenda nilidhani huyu ndio anaweza tunishiana misuli na USA,Sasa kwenda kutunishiana misuli na ka nchi alikokazidi hapo ndio kaniudhi Sana! Kama source Ni hayo ma military base ya NATO kwa vile yeye Ni big fish alikuwa na uwezo wa kupiga biti hao NATO Kama alivyowapiga biti la kutojaribu kuingia kwenye Vita na wametulia,Sasa yeye na kipara chake kile kakurupuka kuua watu.
Kuhusu habari hiyo Ni kawaida Sana kila upande huwa wanatetea upande aupendao so huwezi amini kila kinachoandikwa. Mfano Mimi na wewe hapa tuambiwe tuandike habari za Vita we mwenyewe unajua hizo habari zitakuwaje!
Kwanza nimekupenda buuuure we mwelewa sio mbishi...
Yah kwa nje inaeza onekana hivo ila ukigeuka nyuma ukaanza kuchimbua imeanzia wapi imeishia wapi kuna kingine tena utakigundua...
Kwa kufupisha tu niseme dunia tunayoishi nayo leo haswa kwenye upande wa Politics over 90% ya taarifa zake zipo kwa muonekano wanaopenda uwe.... Uhalisia upo kidogo sana tena sana.
Siezi sema moja kwa moja kwamba Putin Malaika kwamba He's all right kwa kila jambo au the reason behind kuingia kwake apo Ukraine ni sahihi au sio sahihi...
Lakin kuna maswali ya kujiuliza, why NATO... na kwanini Only US ndani ya NATO ndo msambaza majeshi kwe kila taifa la member wa NATO... Nin hasa kusudio lake? Hyo expansion ya Alliance kuelekea mashariki kusudio lake hasa ni nn...
So katika sisi tumegawanyika mara mbil hata hao ambao wanasema "hawafungamani na pande yoyote"... Kuna upande wameelekea...
Kuna ule msemo wanasema
"What you feed your mind become your reality" kwanini wanasema hivi ni kwasababu
"Your brain is an incredible tool. It doesn't know the difference between reality and your imagination. It assumes what it sees is real."... Na apa ndipo Media ikawa the best weapon to kill humanity...
Usipokiwa makini nazo utamtukuza mwenye hatia na kumchukia asie na hatia...
Nakuongeza na haya maneno sio yangu bali ya D. Trump mwenyewe japo huwa simkubali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huwa sipuuzi anachokizungumza...
Anasema
“We don’t have freedom of speech anymore. We don’t have a free press. We don’t have a fair press. We have a corrupt press. It’s totally corrupt. It’s the enemy of the people.”....
Apo ni baada ya video alokuwa akifanyiwa Interview kufutwa YouTube...
Nyingine ni hii ya Former Mayor wa jiji la New York Rudy W. Giuliani....
In order to keep me silent, my videos keep getting Censored by “Big Media-Big Democrats”.
THIS IS THE KIND OF CENSORSHIP I NEVER TAUGHT COULD HAPPEN IN THE US!! [emoji631][emoji631]
*We need to defeat their purpose!
I am going to explain to you the most critical crimes, from the hard drive of Hunter Biden’s and from the witnesses, to all the connections “our president” Joe Biden had with one of the biggest members of organized crime in Ukraine.*
Na kutoka kwenye maelezo yake nakupea mlango uingie kwenda kuchimba
"kwanini Ukraine" apo nimekuletea wamarekan wenyewe maana ningeleta upande wa Russia ungehisi ni Propaganda...
So don't hate someone kwa kusikia tu anaitwa mbaya wala usimpende mtu kisa anaitwa mzuri.... The world is full ILLUSIONS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Spare your emotions [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]