Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Majeshi ya Russia yaongeza mashambulizi ya mabomu mjini Kyiv
NATO haikuhusika katika hayo, hakika. Marekani ilihusika lakini Marekani si NATO. Mara kadhaa pamoja na Uingeeza, lakini NATO ni kitu kingine. Vietnam ilikuwa vita kubwa ya Marekani, lakini NATO haikuhusika.
Irak mara ya kwanza Marekani iliingia pamoja na uingereza kwa sababu waliitwa na Waarabu majirani wa Irak baada Saddam kushambulia na kuvamia Kuweit. Msingi ya hatua dhidi ya Irakilikuwa azimio la umoja wa mataifa. Vita ya pili dhidi Irak Marekani ilishambulia pamoja na Uingereza na Waarabu lakini NATO ilibaki nje, wala Ufaransa wala Ujerumani wala Kanada hawakushiriki.
Ona ramani ya nchi zilizoshikamana na Marekani dhidi Irak mwaka 2003. Tofauti na ramani ya NATO unajua?
View attachment 2150346
Under siege? What is AMERICANATO doing? And, you're still planning to join NATO, right?The one under siege at the moment. It has not fallen yet!
Kama uliyepagawa, huna taarifa kamili, una stress nk.Unanichukuliaje kwanza!hebu tuanzie hapo
Part of Ukraine ni half Russian speaking na nyengine ni anti Russia.Hapana,nimesoma huu Uzi tangu umeanza page one,nimejifunza mengi kuhusu hii Vita hata niliyokuwa siyajui,nimeyajua hapa,lakini bado siwezi kuwa upande wa Putin,Hana busara!dunia ya Sasa tunajitaji Sana peace keeping and conflict resolution through mediation kuliko Vita!Anakuja kutuletea Hali ngumu Sana mifumuko ya bei za ajabuajabu hapo miezi kadhaa mbele...Kazingua sana huyu Mr Zero
Namwona Joanah kwa mbali akisema DUH!NGO ya 'The Syrian Observatory for Human Rights (SOHR)', leo imesema kuwa wapiganaji vita 40,000 wa Syria wapo tayari kwenda kupigana bega kwa bega na majeshi ya Putin nchini Ukraine. Idadi hiyo ya wapiganaji kwa sasa imeongezeka mara dufu ya ile iliyotangazwa siku chache zilizopita na Waziri wa Ulinzi wa Russia (wapiganaji 16,000)
View attachment 2150400
Ila licha ya yote comedian anamjambisha jamaaaWaliomponza wamekimbiaView attachment 2150378
Hapana,nimesoma huu Uzi tangu umeanza page one,nimejifunza mengi kuhusu hii Vita hata niliyokuwa siyajui,nimeyajua hapa,lakini bado siwezi kuwa upande wa Putin,Hana busara!dunia ya Sasa tunajitaji Sana peace keeping and conflict resolution through mediation kuliko Vita!Anakuja kutuletea Hali ngumu Sana mifumuko ya bei za ajabuajabu hapo miezi kadhaa mbele...Kazingua sana huyu Mr Zero
Mkuu hizi ni za ndaaani sana mtoto mdogo kama wewe huwezi elewa unaona biden anabwatuka tena kama mwanzo? Ameharibu anatafuta public simpathyDah..
Hivi nyie wabongo hizi habari mnazitoa wapi.!? Yani mtu unakurupuka tu huko unamwaga pumba.
Hicho kikao kiko wapi!??
Unaambiwa tu US officials said... Hawataki taja majina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Russia yahitaji silaha za China?
Af apa habari itageuzwa kua Russia kapigika kaenda kuomba msaada wa kijeshi Syria...NGO ya 'The Syrian Observatory for Human Rights (SOHR)', leo imesema kuwa wapiganaji vita 40,000 wa Syria wapo tayari kwenda kupigana bega kwa bega na majeshi ya Putin nchini Ukraine. Idadi hiyo ya wapiganaji kwa sasa imeongezeka mara dufu ya ile iliyotangazwa siku chache zilizopita na Waziri wa Ulinzi wa Russia (wapiganaji 16,000)
View attachment 2150400
Mkuu Umekosea unayemlenga sio Mimi!Mimi hili ndio group langu pendwaHebu twende kwenye group letu pendwa ukapumzike kidogo mkuu agenda ya vita tuiache kidogo
Kama hiki au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kipigo kile walichopewa na Putin, usidhani hawa wanaelewa hoja yoyote sasa hivi. Wanahitaji chochote positive hata kama si halisi, japo waendelee kusavaivu. What else can you tell a poor patient who has succumbed to a terminal illness?
Huyo former ambassador anasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af apa JF wachambuzi mahiri kama akina flan wanakwambia BRICS ni utopolo tu [emoji706]Balozi mstaafu wa Marekani nchini China, Gary Locke, amesema kuwa China ndiyo itakayonufaika na kuibuka 'mshindi' ktk vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nishati na mazao (ya kilimo) ya Russia.
Balozi huyo akafafanua kuwa Russia atakuwa akimuuzia nishati hizo na mazao hayo China. China itajifanya kukubaliana na vikwazo hivyo lakini haitovifanyia kazi. Balozi huyo akaongeza kuwa Russia na China walikuwa tayari wameshatengeneza mifumo yao wenyewe ya kufanya miamala ya kipesa (biashara) itayowawezesha kukwepa vikwazo hivi.
======
View attachment 2150362
Waliomponza wamekimbiaView attachment 2150378