Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Russian national judo team has suspended participation in international competitions for security reasons

“Under the current conditions, the team’s access to most countries where international competitions are held is significantly difficult, in addition, the Russian Judo Federation has reason to fear for the safety of athletes,” the FDR website says.

Earlier, the International Judo Federation allowed Russian athletes to compete in a neutral status under the flag, logo and anthem of the IJF. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Mikhail Podolyak, an adviser to the head of the presidential office and a representative of the Ukrainian delegation, said that a "technical pause until tomorrow" had been taken in today's negotiations with Russia. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Kusema ukweli Putin mambo yamemuendea Vijaya. Alimdharau sana Comedian. Alidhani vita itachukua Yukrein baada ya siku 3 tu. Hasira zake kaamisha kwa maafisa wa juu wa 'TiSS' ya urusi FSB kwa kumdanganya comedian zelensky ni kama kumsukumiza mlevi. Na wote kawaweka under house arrest. Jamaa yuko frustrated sana njaa pia ya vikwazo.

Comedian anamjambisha

Wapi Putin alisema hii vita itachukua siku3? Au nyie ndo wasemaji wake
 
Mkuu Galip SV nashukuru sana kwa kuniweka mahala stahili kwangu (Team Putin/Russia) 😂🤣🤣🤣
Ila ukweli unaonekana,nakufuatilia vema kabisa ,uko vizuri,unaleta habari motomoto,
unakanuha uongo na propaganda kwa hoja na data zenye ushahidi.
Unawajibu vizuri pro west kwa habari kamili.
Unaleta update sahihi kabisa.
Uko vizuri.
Nakufuatilia toka siku ya kwanza.big up.
Kuna mtu humu umemdhubiti kisawasawa anajifanya anajua Kila kitu.kumbe na yeye anaokoteza vihabari kwa kuungaungaunga TU.
Sikirimimimasikini uko vizuri sana Mkuu.
 
Hapana,nimesoma huu Uzi tangu umeanza page one,nimejifunza mengi kuhusu hii Vita hata niliyokuwa siyajui,nimeyajua hapa,lakini bado siwezi kuwa upande wa Putin,Hana busara!dunia ya Sasa tunajitaji Sana peace keeping and conflict resolution through mediation kuliko Vita!Anakuja kutuletea Hali ngumu Sana mifumuko ya bei za ajabuajabu hapo miezi kadhaa mbele...Kazingua sana huyu Mr Zero
Nafikiri umepewa wrong information.
Putin ni mtu Mzuri sana,ni mtu mwema.
Usidhani ni mbaya ,hizo ni propaganda za west TU.
 
Kwa maneno machache Ni hivi Putin yatamshinda!
Tukiacha ushabiki, Atashindwa. mwacha atandaze makombora anavyoweza mwishowe njaa itamuondoa,..hao wachache watakaobaki Ukrain watawakimbiza Warusi kwao...
USSR LILIKWA DUBWANA KUBWA SANA ENZI YA VITA BARIDI, LIKAGAWANYIKA KAMA WALIVYOTAKA WA ULAYA MAGHARIBI.,

1647267793672.png

A column of Soviet BTR armored personnel carriers departing from Afghanistan.
1647267875036.png

CGen of 40th Army, Boris Gromov, announcing the withdrawal of Soviet contingent forces
 
Mkuu kwani tatizo liko wapi kwa Urusi kuomba silaha anazo ona zinamfaa kwenye vita tena kutoka kwa mshirika wake wa kijeshi ,kiuchumi na kisiasa?

Kwann kila anacho kifanya Russia kinaonekana ni kitu cha ajabu wakati ni kitu cha kawaida kwa washirika kusaidiana vitani hata Marekani huwa anafanya hivyo?


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hoja nzuri sana hii.
USA akienda vitani anaondoka na wapambe kibao.
Urusi akiomba hata maji ya kunywa TU akiwa vitani ni hoja.
Hapa ndo ukuu wa Urusi ulipo.
 
Hoja nzuri sana hii.
USA akienda vitani anaondoka na wapambe kibao.
Urusi akiomba hata maji ya kunywa TU akiwa vitani ni hoja.
Hapa ndo ukuu wa Urusi ulipo.
Ahaaa haaa Unakumbuka alivyojinadi mwanzo?shida ndio inaanzia hapo
 
View attachment 2150234

HILO HAPO UKRAIN WAMELITEKA NA WAMELIWEKA BENDERA YAO..
Hakuna morden weapon huko ground mkuu. Na hii ni external/export vision Kama zahuku kwetu. Sio kwaajili yakulilinda Anga tukufu la Russia. Zao sinimekuonyesha hapo au wewe hata ukikiona T34,64 na 72 utasema Nikifar u kilekile
 
Majeshi mengine ya Russia yafanya mazoezi ya kijeshi ya siku 5 ndani ya Tajikistan. Zana kibao zipo na askari wa kumwaga.

Halafu Marekani aleta uvumi ati Russia imeomba msaada wa silaha toka China kwenda kutumika Ukraine. Silaha zipo kibao hadi nyingine zatumika kwenye mazoezi tu (sio vitani)

View attachment 2150059
View attachment 2150060
Habari nzuri sana! Wako mbali na Ukraine , zaidi ya kilomita 4000 (kama Dar es Salaam-Kinshasa au karibu na Cape Town) - kwa hiyo wako salama! Tuwape hongera. Wako huku kusini kudhibiti akina Taliban. Labda tumwombe Putin aongeze wanajeshi huko chini.
 
China yenyewe na ukubwa wake ona wanavyoongea kwa kunong'ona chini ili jamaa asisikie.
Nipo kwenye ofisi ya serikali nahudumiwa ila nimejikuta nacheka kwa hii statement.

" wale wa kushambulia, msiulize kuwa saa 5:33 ofisi si zimefungwa? "
Nimetoa angalizo tusiharibu uzi kwa mada nje ya mada.
 
Yaani wasimame waziwazi kumuunga Russia!! HAWAJITAKI AU!!!
China yenyewe na ukubwa wake ona wanavyoongea kwa kunong'ona chini ili jamaa asisikie.

Ukweli uliomchungu ni kwamba Marekani ana nguvu sana na anatisha. Walau kungekuwa na uwezekano kwa Russia kuibuka Mshindi japo kwa 30% wanaomuunga mkono wangejitokeza wazi kusimama naye. Ingawa hata akishinda vita vya makombora na bunduki bado hatakuwa na ushawishi mkubwa sababu hana nguvu za kiuchumi za kuvuka mipaka yake.

Tusione nchi kama Uingereza, German, France nk zimemkumbatia na kumuamkia " SHIKAMOO BRO" Ni kwasababu USA ni DUBWANA MOJA HIVI KUBWA SANA.

Kila kitu kina mwisho wake. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Nahii ndio pantisr morden ya sasa. Sasa hizo zilizoenda Ukraine uone kabsa Ni old model haipingiki kwahyo mjipange Sana pro NATO. Russia sio level yao

View attachment 2150139
Yasss! Na mimi nimeiona hii kitu. Ndiyo maana haina hata plate number! Direct from manufacturing plant! 🙂

#AMERICANATOStayAwayFromPutin
 
Back
Top Bottom