T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Anazo Eurofighter Typhoon na Tornado kwenye inventory. Anaongezea 5th generation F-35 chache baadae baadhi ya Europeans wanaweza fanya consoltium kuunda jet fighter kama Typhoon ilivyo au akaongeza hizo F-35. Uingereza kwa ushirikiano na washirika mbalimbali yuko anaunda Tempest itakuwa 6th generation miaka ya mwishoni mwa 2030s itakuwa available.Hivi kwanini nchi yenye uchumi mkubwa kama Ujerumani ananunua F-35 idadi ya 35 tu?nilidhani kabda angetoa oda hata ya ndege 100+ shida ni gharama au nini?naomba ufafanuzi zaidi
Alafu F-35 sio za kuwa nazo nyingi. Hata US alinunua advanced F-16 na F-15EX ambayo ni ghali zaidi kuliko F-35 ila sio stealth. F-35 ni za muhimu sana mwanzoni kwenye contested air kwa kuwa ziko stealth, zikishaharibu radar na SAM sites mnakuwa na air superiority na zinakosa ulazima. High running cost, slow speed, low range, zinabeba mzigo kidogo.