Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

At the beginning of the operation in Ukraine, Putin instructed not to immediately storm cities, including Kyiv, because of the deployment of weapons by militants there, Peskov said.
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
ujuwi Kiarabu, wacha porojo. Nikusahihishe halafu ujidai wewe ndio Mwalim, huu ujuha mwengine ni wa ziada.
Kipi nilichokosea hapo?
Kukosea ni sifa ya bin Adam. Ukikosea na ukijua umekosea lakini hutaki kukiri au kusahihishwa hicho kinaitwa
KIBRI.

" KIBRI NI NGUO YANGU, ATAKAE .............AMENINYANG'ANG'A NGUO YANGU"

Na malipo ya mtu mwenye sifa hiyo ya KBRI unaijua.
Wapemba wa Buguruni na Temeke husema "shauriyo".
 
Urusi ndio inaweza kuomba silaha, si kwa sababu hawana hizo silaha ila katika kuongeza kiwango cha ushirikiano na nchi rafiki. Ni kama unataka kufanya harusi, pesa unazo lakini ukachangisha kutoka kwa marafiki. Inawezekana ikawa ni propaganda za vita au ni kweli aliomba ila China akaona akanushe kwa maslahi yao. Lolote linawezekana sio tunabishana tu kila kitu.
TUACHENI MAHABA.
 
Walimuhenyesha jamaa wanatoa kisago cha kwenda😅 yani...

Niliposikia tu kuwa wamealikwa kwenye shughuli ya kuwanyoosha wa Ukraine nikapiga ishara ya msalaba na kujisemea kimoyo moyo bwana ametoa na bwana ametwaa!
Jamaa ChenChen noumer urusi mwenyewe hana hamu nao hao maana walimpa kichapo heavy na vita alishindwa kama alivyoshindwa afghanstan
 
Back
Top Bottom