Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapa Kuna ushabiki maandazi tu haku a fact.

USA yenyewe imekiri hadharani kuwa haiwezi kuingia kivita na Russia maana inaelewa kbsa haitoweza kushinda. Kama NATO wananguvu kwanini wasimzuie mrusi. Mrusi kwingia Ukraine kwa silaha ambazo Kila mtu anazijua ten hakuna silaha ya kizazi Cha tano aliyo ingia nayo vitani. Anaye bisha aitaje silaha ya kuanzia 4±generation ambayo urusi kaitumia. Ivi wewe usiejua hata ghala kuu la brigedi hata Moja ya Tanzania achilia ghala kuu la jeshi uje ujifanye unaijua Sana urusi,na siraha zao. Hayo ma Bm smash yenyewe inasemekana tu kuwa yametumika kuipiga Kiev lakini hakuna utbibitisho wowote.
Mnadhani uchambuzi wa kijeshi upo Kama wa mpila. Jeshi mpaka linachukua silaha ujue limejiridhisha kua ita wasaidia. Inachambuliwa silaha,mashine (mobile instrument),mapigo,shabaha na madhara. Sasa niambie silaha gani ilooenda vitani imeshindwa kubadilisha matokeo. W
Watu wanatupa silaha na kutokomea wakiwa na silaha za kisasa wanazikimbia silaha za miaka ya 60.
Huko idbil unaambiwa wamevamiwa na masniper. Wanakiwaeha si kitoto yaaani.

Alafu ukumbuke offensive sio sawa na defensive maana unaenda kwaadui ambaye anasapoti ya mazingila anakusubiri ufike sehemu ambayo haina msaada ndio unashushiwa vituz. Mnakumbuka 78/79 masaka ilipigwa mizinga kwa masaa 24 ndio kutekwa mji we unafikiri Russia wanashindwa?. Yaaani zelensky amecheza Sana kuwaasa raia waendelee kubaki field area maana mrusi inabidi aje ili aje kwenye 18. Hamjiulizi kwanini huko kwenye makambi na porini hakuna ushindani, maana zinashushwa roketi alfajiri asubuhi watu wanajinyakulia base. Sasa mjini Ni ile hali raia kupewa Kinga ndio inatia ugumu maana hujui adui yupo jengo gani na yupo na Nani lakini wakijua jngo Fulani linaleta upinzani hapo aangaliwi mtoto Wala Mzee Ni kulishushatu.
 
Hakuna ajabu kwenye Russia kuomba silaha, kuna ajabu pale watu wanapokataa kwamba Russia hawezi omba silaha
Mkuu tatizo watu humu huwa wanaongea tu bila hoja za kueleweka zaidi ni ushabiki tu.

Wao wakisikia eti Marekani na Urusi wana mashehena makubwa ya silaha Wana dhani wana jitosheleza kila sehemu bila kujua kila silaha huwa inatumika kwa mkakati , sehemu na wakati unao faa.

Wao wana dhani ukiwa na silaha ni kushambilia hovyo hovyo tu.

Kwa sasa Urusi ana hitaji drone zenye uwezo makubwa wa kufanya mashambulizi ili kudhibiti ambush za kushutukiza na katika sekta hiyo ni mdhaifu mno na ndio maana anataka kuagiza kutoka china.

Alafu mkuu naomba unisaidie kunipa maarifa fulani.
Hivi makombora huwa yana ongozwaje mpaka yana weza kulenga sehemu sahihi?

Mfano Urusi kwa kiasi kikubwa ina tumia makombora yanayo rushwa na meli kutoka bahari nyeusi kuharibu base za Ukraine.

Sasa ninacho taka kujua huwa yana wezaje kutambua sehemu yalipo tumwa hasa ikizingatia mji ni mkubwa una majengo mengi sana?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 


Russian Defense Ministry Releases Footage Of Military Operation In Ukraine​

Here, the advanced units of the Russian Airborne Forces carried out landings from helicopters and
take control of one of the airfields on the territory of Ukraine
 
Mzee unafikiria kwa kutumka kalio.
Umesema Russia wana export raw materials tumekuonesha end products uneanza kuleta upumbavu.
Russia siyo africa

Hatua za Russia kupunguza makali ya vikwazo zimeanza.

Translated from ru - Russian to en - English

The government has set the parameters of loans for "credit holidays"

"Credit holidays" apply to loans issued before March 1, 2022. A grace period for servicing a loan can be obtained for a period of one to six months. Under the terms of the program, borrowers have the right to apply for a "loan holiday" until September 30, 2022, subject to a 30% decrease in income compared to the average income in the previous year.

The following limits are set for consumer loans:
• 300 thousand rubles for individuals
• 350 thousand rubles for individual entrepreneurs
• 100 thousand rubles on credit cards
• 700 thousand rubles for car loans

For mortgage loans:
• 6 million rubles for Moscow;
• 4 million rubles for the Moscow region, St. Petersburg and the regions of the Far East;
• 3 million rubles for other regions of Russia.


Translated with ❤️ by @lang_translate_bot
1647258727117.png
 
Anazo Eurofighter Typhoon na Tornado kwenye inventory. Anaongezea 5th generation F-35 chache baadae baadhi ya Europeans wanaweza fanya consoltium kuunda jet fighter kama Typhoon ilivyo au akaongeza hizo F-35. Uingereza kwa ushirikiano na washirika mbalimbali yuko anaunda Tempest itakuwa 6th generation miaka ya mwishoni mwa 2030s itakuwa available.

Alafu F-35 sio za kuwa nazo nyingi. Hata US alinunua advanced F-16 na F-15EX ambayo ni ghali zaidi kuliko F-35 ila sio stealth. F-35 ni za muhimu sana mwanzoni kwenye contested air kwa kuwa ziko stealth, zikishaharibu radar na SAM sites mnakuwa na air superiority na zinakosa ulazima. High running cost, slow speed, low range, zinabeba mzigo kidogo.

But vitani hawataki kwenda, why? Woga, au? Wanapenda tu kuona Ukraine ikiangamizwa na Mrusi!
 
Hakuna cha Propaganda. Juzi live Putin mwenyewe kwa mdomo wake kaomba wapiganaji kutoka Syria. Kabla ya hapo aliomba kutoka Chechinia.
Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia kwa nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...
 
Kwa tathimini niliyoifanya kwenye vita hii, endapo urusi au Ukraine akikodi kikosi chetu cha makomandoo kutoka sanga sanga au ngerengere basi vita hii ilikua inaisha mapema sana.

Aisee wale makomandoo wanatembeza kichapo ni laana. Hakika tuna jeshi zuri na imara kweli kweli.
Au siyo?

Haya ni mafanikio makubwa kwa Bi Mikopo
 
Ile kitu Russia na pro Russia hawapendi kuisikia 😄😄😄

View attachment 2150088
He he he he he halafu Wanaume wapo wanawapumulia kisogoni hapo kyiv.
What a useless propaganda😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Hamna tofauti na mwanamke anayebana tako mkuyenge usizame halafu anaruhusu cha kati kizame na huku akilia tamu tamu. Mda wowote ujue ataruhusu mkuyenge uzame🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu tatizo watu humu huwa wanaongea tu bila hoja za kueleweka zaidi ni ushabiki tu.

Wao wakisikia eti Marekani na Urusi wana mashehena makubwa ya silaha Wana dhani wana jitosheleza kila sehemu bila kujua kila silaha huwa inatumika kwa mkakati , sehemu na wakati unao faa.

Wao wana dhani ukiwa na silaha ni kushambilia hovyo hovyo tu.

Kwa sasa Urusi ana hitaji drone zenye uwezo makubwa wa kufanya mashambulizi ili kudhibiti ambush za kushutukiza na katika sekta hiyo ni mdhaifu mno na ndio maana anataka kuagiza kutoka china.

Alafu mkuu naomba unisaidie kunipa maarifa fulani.
Hivi makombora huwa yana ongozwaje mpaka yana weza kulenga sehemu sahihi?

Mfano Urusi kwa kiasi kikubwa ina tumia makombora yanayo rushwa na meli kutoka bahari nyeusi kuharibu base za Ukraine.

Sasa ninacho taka kujua huwa yana wezaje kutambua sehemu yalipo tumwa hasa ikizingatia mji ni mkubwa una majengo mengi sana?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Yaani ulivoanza kwa kukososa wenzio kuwa hawajui nikajua wewe ni mbobevu kwenye nyanja za vita. Nimekushangaa sana eti unauliza makombora yanayotumwa toka meliza warusi yanatambua vipi target ya kupiga. Nakushauri endelea tuu klujifunza humu kuliko kuanza kukosoa wengine.
 
Naona pro US na EU mmeshupalia swala la Russia kuomba military support kwa China, hamjui propaganda za mmarekani nyie.
Sijajua kuna udhaifu gani Urusi kuomba silaha China? Au kwann warusi mnaona ni udhaifu wa kuupinga kwa nguvu zote? Nchi rafiki kwa Urusi mpak sasa zilitakiwa ziwe zimeshaonyesha nia ya kuisapoti urusi hili zoezi liishe mapema. Si kwasababu Urusi hana uwezo ila ni sehemu tu ya kuionyesha dunia kuwa sisi tupo na Urusi katika hili kwa vitendo kama USA na NATO wanavyofanya kwa Ukraine.
 
Back
Top Bottom