Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Either fake news or propaganda machinery at work! It is impossible vita isiyofikia wiki mbili Urusi imeishiwa silaha! Haipo hiyo kitu.
Kati ya wewe na hii habari nani fake? Sasa kama hata hujui hii vita ina muda gani, unasema hapa haijafikia wiki mbili wakati ukweli imezidi wiki mbili wewe si utakuwa ndo fake?! Ndo hivyo Sasa Russia keshaishiwa anaomba msaada.
 
The decision to use Tochka-U missiles is made, at a minimum, by the command of the Ukrainian group after approval by the leadership of the troops in Kyiv, the Russian Defense Ministry said.
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
The rocket attack on Donetsk was carried out from the north-western direction, from the Krasnoarmeysk region, which is controlled by Ukrainian nationalists, the Russian Defense Ministry said.
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
“If you try to leave, you will either be shot or taken away to fight.”

A resident of Kharkov, who was unable to evacuate due to the blockade of the city by the military of the Armed Forces of Ukraine, spoke about the situation:

“Women and children are still going out, men are trying not to show themselves: there is a capture. Until yesterday, it was calm, but now everyone who has brains is ready to run to the basements at any second: since yesterday, the UAF has been attacking from the city in an unknown direction.”

He noted that today the shells flew directly to Kharkov, besides, the Ukrainian military are located throughout the city: “They are dangling like scalded.”
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Kati ya wewe na hii habari nani fake? Sasa kama hata hujui hii vita ina muda gani, unasema hapa haijafikia wiki mbili wakati ukweli imezidi wiki mbili wewe si utakuwa ndo fake?! Ndo hivyo Sasa Russia keshaishiwa anaomba msaada.
wanaomsemea wamagharibi.....raaha sana.......wawe wanasema pia idadi ya watu wao wanaokula vumbi huko ukraine
 
Marekani kuna bomba kutoka kanada. Mabomba zaidi kutoka nje hamna. Yote mengine kupitia meli. Kwenye vilindi vya Bahari Atlantiki unaweza kuweka waya ya simu na intaneti lakini huwezi kuweka bomba. --- Kuna mabomba yanayopita Bahari Mediteranea (Moroko-Hispania) na Bahari Nyeusi lakini huko si vilindi na njia si ndefu.
It was a polite language to tell him that he was totally wrong. Na nilitaka atokee mtu kama wewe amuelekeze nisijebishiwa bure. Asante mkuu
 
wanaomsemea wamagharibi.....raaha sana.......wawe wanasema pia idadi ya watu wao wanaokula vumbi huko ukraine
Kusema ukweli Putin mambo yamemuendea Vijaya. Alimdharau sana Comedian. Alidhani vita itachukua Yukrein baada ya siku 3 tu. Hasira zake kaamisha kwa maafisa wa juu wa 'TiSS' ya urusi FSB kwa kumdanganya comedian zelensky ni kama kumsukumiza mlevi. Na wote kawaweka under house arrest. Jamaa yuko frustrated sana njaa pia ya vikwazo.

Comedian anamjambisha
 
Mkuu tatizo watu humu huwa wanaongea tu bila hoja za kueleweka zaidi ni ushabiki tu.

Wao wakisikia eti Marekani na Urusi wana mashehena makubwa ya silaha Wana dhani wana jitosheleza kila sehemu bila kujua kila silaha huwa inatumika kwa mkakati , sehemu na wakati unao faa.

Wao wana dhani ukiwa na silaha ni kushambilia hovyo hovyo tu.

Kwa sasa Urusi ana hitaji drone zenye uwezo makubwa wa kufanya mashambulizi ili kudhibiti ambush za kushutukiza na katika sekta hiyo ni mdhaifu mno na ndio maana anataka kuagiza kutoka china.

Alafu mkuu naomba unisaidie kunipa maarifa fulani.
Hivi makombora huwa yana ongozwaje mpaka yana weza kulenga sehemu sahihi?

Mfano Urusi kwa kiasi kikubwa ina tumia makombora yanayo rushwa na meli kutoka bahari nyeusi kuharibu base za Ukraine.

Sasa ninacho taka kujua huwa yana wezaje kutambua sehemu yalipo tumwa hasa ikizingatia mji ni mkubwa una majengo mengi sana?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Nina muda mchache sana. Kalibr za Urusi zimeanza kutumika Syria ni za around 2010s ila Mmarekani anazo Tomahawk zinazotumia inertia guidance na terrain following wala sio radar. Zinafuata miinuko na zinapita kwenye mabonde zaidi na sio juu sana kukwepa kuonekana na radar maana hazina speed kubwa. Unaweza tumia GPS kwa Marekani au GLONASS kwa Urusi kufanya guidance. Kuna kompyuta humo umei-feed wapi linaelekea na lenyewe lina seeker ya kujua hapa ndipo napiga.

Muda mkuu ...
 
Kusema ukweli Putin mambo yamemuendea Vijaya. Alimdharau sana Comedian. Alidhani vita itachukua Yukrein baada ya siku 3 tu. Hasira zake kaamisha kwa maafisa wa juu wa 'TiSS' ya urusi FSB kwa kumdanganya comedian zelensky ni kama kumsukumiza mlevi. Na wote kawaweka under house arrest. Jamaa yuko frustrated sana njaa pia ya vikwazo.

Comedian anamjambisha
sisi tunaomba hio source ya siku 3 mbona kila siku tunaomba halafu mnapotea
 
kuishiwa silaha ni jambo ambalo linatarajiwa kuanzia wiki hii na zinazokuja kutokana kwamba Rashia yupo kwenye mminyo wa kiuchumi na ikumbukwe you never know how long this war will last ,kwa sababu hii ni vita na unahitaji kushinda lazima uandae mazingira mapema kwa washirika wako wakaribu .Hii kuomba silaha China kuna maana pana zaidi na jinsi watu wanavyo chukulia ,Putin yupo katika depression mda huu alivyo tarajia ni tofauti na hali ilivyohuko ukrein.Ili vita yeyote ushinde unahitaji msaada wa hali na mali kutoka nje
 
Back
Top Bottom