Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijawahi sikia kama US ana bomba la mafuta kutokea Libya. Hii nimeipata kwako
Marekani kuna bomba kutoka kanada. Mabomba zaidi kutoka nje hamna. Yote mengine kupitia meli. Kwenye vilindi vya Bahari Atlantiki unaweza kuweka waya ya simu na intaneti lakini huwezi kuweka bomba. --- Kuna mabomba yanayopita Bahari Mediteranea (Moroko-Hispania) na Bahari Nyeusi lakini huko si vilindi na njia si ndefu.
 
Azur air has launched flights to Istanbul from Moscow on Russian-registered Boeing aircraft.
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia na nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...
Hawawezi kukuelewa. Wameshikilia hoja kwamba Putin kaomba msaada. So what? At least basi tuone matokeo yenu mazuri huko field. Propaganda ^nzuri^ mwisho wa siku zitawaumbua nawaambieni.
 
Sijajua kuna udhaifu gani Urusi kuomba silaha China? Au kwann warusi mnaona ni udhaifu wa kuupinga kwa nguvu zote? Nchi rafiki kwa Urusi mpak sasa zilitakiwa ziwe zimeshaonyesha nia ya kuisapoti urusi hili zoezi liishe mapema. Si kwasababu Urusi hana uwezo ila ni sehemu tu ya kuionyesha dunia kuwa sisi tupo na Urusi katika hili kwa vitendo kama USA na NATO wanavyofanya kwa Ukraine.
Na hii huthibitisha wazi kwamba Mrusi ana goodwill. Mchawi Mmarekani. Imagine anapump silaha na wanajeshi waende Ukraine, but anadhani siyo haki kwa Putin kufanya hivyo! Madness!

Wanaomsapoti Mmarekani wakapimwe (...)!!! ^You know the thing^ ~ Joe Biden.
 
Nimejaribu kumfatilia hata T14 Armata nikagundua kua hata yeye Ni msomaji wa silaha mitandaonitu. Hajui nguvu,mapigo wala shabaha ya silaha anakopi Wikipedia analeta huku. Hapo congoni FIB ilikiwasha kwa pisi12 za single propela bM 21 kwa masaa manne chiniya Lutni general mstaafu wakatihuo akiwa brigadier general Frank Mwakibolwa.

Zilipigwa kuanzia saa 6 usiku saa 12 Lakers battalion na special unit ya 92/Marine Commandos wakaomba yasitishwe mapigo watu wamefika eneo la kumtoa mwali. Maana wakati vyombo vikitumwa watu walikua wakisogelea kambi kuu na bohali kuu la M23. Wazee wakakuta hakuna hata kazi ya kufanya hivyo kukusanya maiti na silaha na kumfahamisha mkuu wa jeshi la UN wakatihuo yule mbrazil watu walibroo. Sasa kwa zana alizoingia nazo mrusi zinauwezo wa kupiga Ukraine na bado kuzisogeza hata huko lviv ili ziwasubirie na wanato Kama wataipenda shoo.

Achaneni kbsa na mrusi hata pafomansi ya K52 sio ya kitoto maana imeonesha maajabu ambayo yalioneshwa na F18 kipindi Cha Libya ya gadafi. Attack Helicopter kwa Aircraft jet fighter. Aloo Russia kiboko wanajua asee usifanye mzaa
 
The moment when the cluster charge of the Tochka-U missile exploded in the center of Donetsk.


 
Equipping Tochka-U with cluster munitions proves that the goal of the nationalists in Donetsk was to kill as many civilians as possible, the Russian Defense Ministry said.
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom