Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,949
- 8,590
Vita sio silaha peke yake, ni pamoja na morale ya wapiganaji.Baada ya siku kama mbili ndo nitajua kama Russia kweli wamezidiwa au la kweli ground war, wacha tuone!
Vita sio silaha peke yake, ni pamoja na morale ya wapiganaji.Baada ya siku kama mbili ndo nitajua kama Russia kweli wamezidiwa au la kweli ground war, wacha tuone!
Sanctions are harmful even to America. Hakuna ambaye haguswi na huu mzozo hata sisi Tanzania hapa bidhaa zitapanda bei. Hasa nchi zenye ujirani na Russia lazima zipate shida zaidi. Ila kuna option, nchi inaamua kusideline na Russia au kuendana na nchi nyingi duniani. Marekani ana counter American adversaries through sanctions (CAATSA) anasubiri nani atajiunga na Russia. Venezuela alitengwa na Marekani peke yake (hakutengwa na EU) ila akaungana na Russia. Leo hii 1USD = 420,000+ Venezuelan Bolivar.Bulgaria yasema muda umeshaonesha wazi kuwa vikwazo tunavyoviweka (EU) dhidi ya Russia ni hatari kwa Bulgaria na Ulaya yote. Nchi za Ulaya zimeanza kuelewa jambo hili na zimeanza kuwa na upole huki zikifuata msimamo wetu. Sisi tuliwatangulia kung'amua/tambua jambo hilo.
=====
View attachment 2149794
Mnasogeza tarehe tuuBaada ya siku kama mbili ndo nitajua kama Russia kweli wamezidiwa au la kweli ground war, wacha tuone!
Aliomba kutoka chenchiya?Hakuna cha Propaganda. Juzi live Putin mwenyewe kwa mdomo wake kaomba wapiganaji kutoka Syria. Kabla ya hapo aliomba kutoka Chechinia.
Sio tuu wanaomba msaada wa silaha bali msaada wa kiuchumi pia.Hivi kwa akili ya kawaida ulitegemea China itakubali huku Marekani ilishatangaza Secondary Sanctions kwa yoyote atakaemsaidia Russia?
Marekani ilitoa taarifa kwa Ukraine wenyewe wakakataa kuamini. Ikawambia washirika wake kina UK na Israel wakahama mapema kabla vita haijaanza, nani alisikia Myahudi au Mwingereza kakwama Ukraine tena wakisisitizwa mpaka kutishiwa "vita ikianza hatuna uhakika kama tutaweza kuwaokoa" at that time wanaamini performance ya jeshi la Urusi itakuwa kubwa.Ashakumu si matusi 98% ya Pro Putin wanashida ya kuchambua vitu critically.
Yaani wanabishia uwezekano wa Russia kuomba msaada kwa China.
Kabla ya Russia kuivamia Ukraine, Marekani ilisema kabisa kuwa Russia itaivamia Ukraine na zaidi ya yote ikasema hadi siku.
Sasa inakuwaje ishindwe kuwa na Intel kama hii?
Kama umekubali ya hiyo ya kuomba msaada kubali na hiyo ya kukanushwa tatizo unataka kusikia vitu vya upande mmoja eti kukanusha lazimaKukanusha ni muhimu, hawawezi kukubali wazi wazi...China pia ina maslahi na Ulaya.
Sawa lakini kuumia kunatofautiana.Sanctions are harmful even to America. Hakuna ambaye haguswi na huu mzozo hata sisi Tanzania hapa bidhaa zitapanda bei. Hasa nchi zenye ujirani na Russia lazima zipate shida zaidi. Ila kuna option, nchi inaamua kusideline na Russia au kuendana na nchi nyingi duniani. Marekani ana counter American adversaries through sanctions (CAATSA) anasubiri nani atajiunga na Russia. Venezuela alitengwa na Marekani peke yake (hakutengwa na EU) ila akaungana na Russia. Leo hii 1USD = 420,000+ Venezuelan Bolivar.
Nchi zitalalamika na zenye nguvu kama China zitafanya mazungumzo sana ila hazitaungana na Russia nchi moja zinachane na nchi nyingi
Acha kumfananisha Putin na vitu vya kijinga.
Waambie haoDuu pro NATO mna msongo wa mawazo hatari. Mkisikia ka habari kokote kanakoonekana kabaya kwa Russia mnakashikiria bango hatari. Ooh mara Fu.....Russia, mara mkulima kaiba kifaru, mara mademu wamevaa gwanda. Upuuzi mtupu.
Leo hao BBC, CNN hiyo ndo itakuwa habari siku nzima wataivalia bango balaa.
Hivi kwa akili ya Kawaida mnaweza kuamini hii habari.
Kwa kuzidiwa kupi? hadi Russia aombe Silaha China. Yaani mtu anawapumulia kisogoni, ananyakua miji na kuweka viongozi wake, anajichagulia sehemu ya kupiga atakavyo, halafu eti huyo mtu kaomba Silaha.
Amkeni nyie viazi. Hii habari imekuja mahsusi kufanya diversion ya kipondo walichopokea jana.
Jana watu wamechapa kambi ilijaa Wanajeshi wa NATO, Mayor wa Hilo eneo amekiri watu 35 kufariki.Kumbuka ilipigwa kambi ya jeshi na humo hawakai ng'ombe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kwa principle za utoaji habari za vita, hapo zidisha mara 10, hiyo ndo idadi ya maafa.
So taarifa hii ya kujifariji ni namna ya kuzima taarifa za mkongoto wa jana
Nyuzi nyingi huwa nasema kuna Germany na Japan siku wakiamini kwamba usalama wao uko hatarini wakiamua kufufua majeshi yao ndani ya mwaka wanafikia mbali sana. Wana uchumi wa kutosha na teknolojia. Hapo ananunua F-35 ila anaweza ongeza production ya Eurofighter Typhoon kwenye consoltium ya Ulaya na akazidisha zana zake kama Leopard 2 MBT
Unaleta habari ya kitotoPutin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.
Lesson: Don't play with big boys.
Habari ya kitotoMh.....Putin
huyu huyu? Mbona Urusi ndio wenye silaha kuizidi China
Labda aiombe msaada wa hela
Hivi US kuna visima vya mafuta kweli au ndio wamewaibia waarabu
Lolote linawezekana, hii vita sio ya physically tu hata mentality ina play part yake hapo