President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
We mkenya nenda kasaidie ndugu zako huko kibera wanakufa na njaa.
Maybe iyo RT nitaaminiNenda kaangalie RT
Putin kaishiwa nguvu.Waukraine mnapenda kulalamika sana basi tuvamieni kwetu kama mna uwezo sio kelele
Habari hiyo ya kuwa Russia imeomba msaada wa vifaa vya kijeshi China ni ya kizushi. China wameshakanusha uvumi huo.Russia yaiomba China msaada wa Silaha na usaidizi mwingine ili kukabiliana na upinzani wa vita nchini Ukaraine,serikali ya Marekani imeripoti huku ikiionya China kuwa isithubutu kutoa msaada wowote kwa Russia la sivyo itakabiliana na vikwazo
Sio utashi wa kishetani, ni utashi wa kitoto na kutokomaa kiakili unasababisha mtu awe na mindset za hovyo kama huyo fwala.Ww kweli mpuuzi Israel kuivamia Palestine Wa Ukraine wanahusika vipi? Wanaouliwa Ukraine Na wanaouliwa Palestine wote Ni binadamu ukiwa Na utashi Wa kibinadamu huwez kushangilia mauaji hayo otherwise utakuwa Na utashi Wa kishetani.
Putin kaishiwa nguvu.Either hujui au umeamua tu kuwa Muongo....
Hao kina Denis Pushilin ni wa Russia?
Unavyokutana na habari LNDR na DNR unaelewa nn?
Asilimia kubwa ya forces ni WaUkraine wenyewe, yaani wanapigana na wa Ukraine wenzao kwa msaada wa Russia.
Usiwe muongo mkuu, humu unasomwa na maelfu ya watu.
Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.
Lesson: Don't play with big boys.
Putin na ushamba wake anatumia mbinu za second world war ambazo ni 70+ years oldHapa duniani bwana,mbinu ni Bora kuliko miguvu... mwenzie anatumia mbinu mubashara Putin anakuja Kama kifaru mwenzie ana taarifa zake zote
Nani angeishika?
Dogo punguza ujuajiAchana nae uyo,
Tatizo anasikiliza Sana propaganda za USA na kusoma tweet za Zelensky.
Yaan uyo akili yake imeishia hapo, kwanza hata hajui hata kile anachokitetea.
Mpuuze TU [emoji3525]
Mkataba wa kiusalama tu mkuu, zenji hawezi kualika maharamia kwa kuwa ati yeye ni sovereign wakati ni memba wa muungano na sisi! Tuna act kama protectors na wao lazima watu protect pia ila wakianza kukaribisha mamluki haipendezi na ni lazma tuhoji.Mkuu mkataba gani tena unauzungumzia? Embu nijuze kidogo.
Sasa mbona mnapiga kelele zakutaka amani?? Kama nimlaini nendeni mkamtomaseMrusi anajivunia nyuklia, sasa vita hii huwezi tumia nyuklia, nje ya nyuklia mrusi ni mlaini tu
Wiki mbili tu kidume Putin kinaomba misaada wa silaha!Ngoma ndio inaanza, mwali wa moto tayari,
Marekani nao wamebaki kuongea tu hakuna vitendoInadaiwa kuwa Russia imeomba silaha kutoka kwa rafiki yake China kwa njia ya kificho lakini wasiopenda vita ndani ya jeshi la Russia wamevujisha taarifa.
Marekani imewaonya China wasimpe silaha Putin.
Source: BBC!
Fair play mkuu, sasa kama the west wapo zaidi ya kumi yeye yupo peke yake , atakuwa exhausted lazima, anajiwahi,Wiki mbili tu kidume Putin kinaomba misaada wa silaha!