Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin kumbe hamna lolote. Anachonga sana kumbe mchumba tu.Anacholingia ni mabomu ya Nuclear tu.
Hii vita imemvua nguo sana na itapelekea kuharibu soko la Silaha za Urusi,maana hii ni mara ya pili ndani ya mwaka Silaha za Mrusi zinaonyesha udhaifu zidi ya Silaha za Marekani na Magharibi,mara ya kwanza ilikuwa kwenye ile vita ya mpakani kati ya Armenia na Azabaijani.
 
View attachment 2149754
Tuli wa oveerstatimate sana ndezi hawa

Teh...teh...teh...MatangoPori hayo.

Uvumi huo umekanushwa na China.

Na tujaalie iwe ni kweli kaomba msaada huo. Vipi wazungumziaje Marekani anapoomba msaada wa wanajeshi na vifaa vya kijeshi toka nchi za NATO katika vita zake?!

Nao utawaita over-rated ndezi?

Urusi hii vita atashindwa tu
Wametumia nguvu zako za mwisho pale Ukrain ili kuwajengea dunia Uoga na USA na NAT0 wamemgundua wanampereka mdogo mdogo mpaka ach0ke
Nawa0mbea UKRAIN na washirika wake USA na NAT0
 
Ndicho wanachomfanyia,akiongeza kasi wao wanapunguza akipunguza tuu wanaanza kumpelekea moto hatari.
 
Sasa mimeelewa kwanini kule Syria kwenye visima vya mafuta alipo Marekani ilikuwa kila wakikutana wanajeshi wa Urusi na Marekani Warusi wanakula kichapo heavy na kukimbia. Jeshi na la Urusi na pamoja na intelligence yake vinatakiwa kufanyiwa reshuffle ya nguvu kabisa. Wakati Marekani na Washirika wake kila mara wanapofanya mazoezi ya Kivita,yeye Putin yupo bize kunywa whiskey.
 
mimi binafsi uwa sinaga imani na ivyo vyombo vya habari vya kimagharibi,, BBC, CNN adi ALJAZEERA zote
 
Muda ndo hakimu mzuri,mkono si bado unachapika huko Ukreine tutajua tu nani atakae mlaza mwezie ubaoni kati ya Urusi na NATO+US+UKREINE.
 
Teh...teh...teh...MatangoPori hayo.

Uvumi huo umekanushwa na China.

Na tujaalie iwe ni kweli kaomba msaada huo. Vipi wazungumziaje Marekani anapoomba msaada wa wanajeshi na vifaa vya kijeshi toka nchi za NATO katika vita zake?!

Nao utawaita over-rated ndezi?

Mkuu maombi yamepelekwa China sio Washington. Huyo balozi asubiri tu kupewa taarifa. Kwa sasa hana hizo taarifa aendelee na majukumu yake ya kibalozi hapo Washington
 
Back
Top Bottom