myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hili la Urusi kuomba msaada wa kijeshi China mbona halina washabiki humu...
Wapiganaji wa Chenchya wanapiganaji pande zote mbili .Majeshi Serekali iliyosimikwa na Putin Chechnya wanapigana kwa amri ya bwana wao Vladmir Putin. Waasi wa Chenchnya wanaisaidia Ukraine kutimua mvamizi.Please Chechnya ni Jamhuri iliyo ndani ya Shirikisho la Urusi.
Ni kama bongo na Zanzibar.
Hapo issue ni Syria na afrika ya kusini
Putin anajuta kuivamia Ukraine -aibu "superpower" kuomba msaada kukabilliana na ka nchi kadogo.Hili la Urusi kuomba msaada wa kijeshi China mbona halina washabiki humu...
😂😂😂😂Hili la Urusi kuomba msaada wa kijeshi China mbona halina washabiki humu...
Okey. Sawa sawa.Urge ni sihi
Persuade ni shawishi
Kusihi ni kumuomba na kushawishi ni kutongoza au kubembeleza.
Maana zake ziko tofauti kidogo maana kusihi ni kama kuna lazima usipokubali ila kushawishi hakuna lazima usipokubali.
Twende na maada
Putin malizia kazi
Umeshakunywa chai kwa shemej yako aya nenda Seblen sasa ukabishane na Dada wa kaz nan ashike Remote mtazame ScoobyRussia yaiomba China msaada wa Silaha na usaidizi mwingine ili kukabiliana na upinzani wa vita nchini Ukaraine,serikali ya Marekani imeripoti huku ikiionya China kuwa isithubutu kutoa msaada wowote kwa Russia la sivyo itakabiliana na vikwazo vikali.View attachment 2149725View attachment 2149726View attachment 2149727View attachment 2149729
Putin huko anaomba Drones kutoka China wewe upo hapo Mchambawima unapakwa ky.Umeshakunywa chai kwa shemej yako aya nenda Seblen sasa ukabishane na Dada wa kaz nan ashike Remote mtazame Scooby
Mkuu kwani huwajui viongozi wa Kijamaa kwa kujimwambifai na kupika takwimu,umesahau ya Jiwe?Hii ndio Urusi ambayo tunaambiwa ni namba mbili kidunia kwa ukubwa wa silaha za kivita?
Nawasiwasi sana na zile takwimu
Kuna ngozi nyeusi humu zitakwambia kuwa hatufai kumiliki nyuklia kwa kuwa eti hatujastaarabika😥😥😥Ali'qoute issue ya kuvunja treaty ya kuingilia sovereignty ya taifa kutoka kwa taifa lingine lakin tukiulizana apa Marekan ana zaidi ya Nuclear 5k ye na Mrusi... Lakin leo hii jarib tu kutaka kutengeneza apa uone hivo vikwazo vitakavokufuata mgongoni ikiwezakana na kuvamiwa juu..
Na atakaekufanyia hvo so mrusi bali yeye.
Lengo lake hasa n nn? Unatangaza amani na mapanga mkononi? Hyo ndo amani kweli?
Any way naandika af kila nikiandika najihisi unyonge ngoja nikalale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba sio kweli kuwa mrusi ana silaha za kimaangamizi za namna ile ambazo ziliwekwa kwenye list?Mkuu kwani huwajui viongozi wa Kijamaa kwa kujimwambifai na kupika takwimu,umesahau ya Jiwe?
Mkuu kumekucha, amka usingiziniBora URUSI ashindwe tubaki na NAT0 wetu na USA wana0tupa msaada kuliko kuwashabikia URUSI amba0 ni madikteta na hawana msaada wowote wa kibinadamu na sisi zaidi watu wetu wakienda kusma huko wanarudi wengi wao wanaumwa vichwa
Sio propaganda, Russia inaomba msaada wa Drones kutoka China sababu hali ya arfhini ishakuwa tata. Soma hii tweet ya Mhariri wa Gazeti la Global Times la China.Au wamarekani wanatupiga propaganda?
Mi kubishana na mtu anakunywa Flying fish siwez aitheeePutin huko anaomba Drones kutoka China wewe upo hapo Mchambawima unapakwa ky.View attachment 2149755