NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Majeshi ya waChechnya yakiingia ndani zaidi nchi Ukraine wakikomboa miji
Acha wapate walichokuwa wakikitafuta
Ha ha haa...wamekuja upande wa Zelensky, si ndio wapenda kusikia hivyo mrembo wangu Joannah?😆😆😆😂😂😂Aisee nilikuwa nje ya Mji,hawatena wamekuja upande wa Nani?ni Putin ama ?
Yah sawia kbs...BRAVO Tumkumbushe na mfano mwengine kampuni ya Marcedes ina haha, Kupoteza $2.2 bln
Alimdharau mamba kabla ya kuvuka mto2🤣😂😅
Hapana wamekuja upande wa Mama Samia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee nilikuwa nje ya Mji,hawatena wamekuja upande wa Nani?ni Putin ama ?
Angalia bidhaa walizo nazo. Sioni nguvu unayoona. Linganisha!Kwa sasa zitakuwa kama porojo tu kwe huu huzi... Unachokiona mbele nahisi ni tofauti na nachokiona kwa upande wangu kulingana na analysis zangu mwenyewe.
So whether uko sawa au hauko sawa sizan ka na haja ya kuk'prove wrong o right ilihal mda upo na mda utaongea....
But bnafs kwa analysis zangu mwenyewe na bet kwa mrusi kwenye hivi vikwazo vyote anatoboa tena kwa 98% efficiently kbs.
Nikukumbushe tu Mrusi anafanya biashara ya Rasilimali sana sana na sio Technology Health care au vitu vinginevyo kiivo... Na rasilmali alizo nazo ni "Basic needs" so "Additional" ambazo kila nchi inazihitaji na ni nchi zilzokua au tayari ambazo zimekwisha kua...
Waswahil wanasema kuoga hiari kula lazima.
Nikurejeshe nyuma Europe + USA + Canada na nchi zingine kama Australia Japan na Korea Kusini Plus Singapore zote kwa pamoja zina Account about 1.3Billion kwenye Population ilo na watu zaidi ya 7.8Billion dunian.
Biashara hufanyi na kuku unafanya na watu so rejea hio Population ilobaki inahtaji malighafi za mrusi achilia mbali sector zingine...
Geuka nyuma angalia huu muungano wa BRICS yani Brazil, Russia mwenyewe, India, China na South Africa aliyejiungha juzi... Hyo ni Primary back up ya Mrusi inayo accounts for more than 40% of the world Population. Apo hujataja marejeo kama nchi zingine Africa ukaenda mbali zaidi apo Middle East ambao hawajajihusisha na hivo vikwazo vilivowekwa....
Ukitaka kupata usahih wa unachokizungumza zama deep kuangalia kila nchi iliyojihusisha na Vikwazo kwa Mrusi namna wanavyoingiliana kibiashara na tizama kwa jicho huru utaona nani atakayeumia na hivi vikwazo zaidi...
Kisha ingia ndani zaidi angalia kwa umakini kinachoondoka Urusi na kinachozuiliwa na wazuiaji kipi kina maana...
Huezi ukanambia unazuia wafanya biashara wako wasipeleke "Gongo" kenya kisha unazuia uingizwaji wa mafuta nchini kwako kutoka kenya et unamkomoa ilhal unawaumiza nduguzo ulonao kwa inflation ya bei...
Nikuulize tena swali... Toka hvo vikwazo vimeanza umesikia kuna mfumuko wa bei Urusi... Italy kawekewa vikwazo kwani mpka afunge viwanda uzalishaji kisa gharama za umeme kupanda? Au italy ndo Russia?
Either wajua au umesahau nikukumbushe... Nini kinafata baada ya nishati gharama kupanda? Ni mfumuko wa bei mpk kwa mahtaji ya kawaida ya mwananchi mdogo chini...
Sasa nikuulize tena hyo jump ya gharama za umeme kutoka $100 mpaka $175 zimetokea Russia au Europe? Hizo gharama za usafiri zinawaathiri warusi au wenyewe?
Kingine umezungumzia kuhusu makampuni ya nje... Em nenda apo UK achana na biashara za ndani nambie Club kubwa ulaya inayomilikiwa na mzawa...
Nenda tena kaorodheshe katka Club 20 zinazoshiriki league kuu ni ngapi zinamilikwa na wazawa na zipi zinamilikiwa na wenyeji... Apo nakutolea mfano kwenye michezo tu hujaingia kwe biashara halisi...
Nikukumbushe tena hakuna kampuni kubwa duniani ambalo liko whole owned na wazawa... Apple the most valued company iko registered in USA ila share holder wamezagaa dunian kote. The same to Alphabet Inc. na mengineyo so nakupa notice ya ziada kua Investors popote dunian huwa wanaangalia "Opportunities"...
Na ndo maana ukawaona warusi hao hao wakivuka mipaka ya nchi yao kuwekeza kwenye mataifa mengine...
Nazidi kukudokeza kua Russia ina Over 110 Billionaires kati ya 2700 tuwajuao... That's is over 4.22% ya Billionaires wote duniani... na ni number 5 baada ya USA kisha CHINA kisha INDIA, kisha Germany Kisha yeye... Apo number of Millionairea iko zaidi ya zaidi ya malaki ya watu..
Na hao sio mabilionea na mamilionea wa Tsh bali USD... Idadi ya mabilionea walioko Russia ukilinganisha na UK ni takriban mara mbili ake... UK wapo ka 54 hv...
Je hao wafikir hawawezi kwenda kwenye rest of population kuwekeza???? Kama waliekeza Europe wanashinda kuekeza sehem nyingine? Fedha wanazo.
Ko nirudie tu kukwambia una Idea nzuri za uchumi sema una "mahaba" yanakutoa kwenye Reli... Fanya deep analysis kwe hil jambo bila ushabik utaona "utumbo" mwingi unaofanywa na siasa za kimagharibi hasa hasa kwe huu mzozo...
Ningeandka mengi ila nachoka... But kwa hayo machache niishie apo.
Nilipoona tu source yako ni Wikipedia. Nimedharau taarifa yako hii na kuipuuza.Angalia bidhaa walizo nazo. Sioni nguvu unayoona. Linganisha!
Exports Russia: The top exports of Russia are Crude Petroleum ($123B), Refined Petroleum ($66.2B), Petroleum Gas ($26.3B), Coal Briquettes ($17.6B), and Wheat ($8.14B),
Exports USA: Food, beverage and feed: ($133 B), Crude oil, fuel and other petroleum products: $109 B, Civilian aircraft and aircraft engines: $99 B, Auto parts, engines and car tires: $86 B, Industrial machines: $57 B, Passenger cars: $53 B, Pharmaceuticals: $51 billion.
Exports China: The top exports of China are Broadcasting Equipment ($208B), Computers ($141B), Integrated Circuits ($108B), Office Machine Parts ($82.7B), and Telephones ($54.8B)
Sikuchungulia kama namba ni sahihi, Ninachoangalia ni tofauti katika Muundo. Yale yanayotajwa upande wa Urusi ni malighafi au bidhaa zilizongezwa thamani kiasi tu. Hapo naona udhaifu wa uchumi wa Urusi. Hawana cha kuuza ambacho wengine wanataka mbali na mafuta, gesi, mazao na (haionyeshwi juu) feleji. Silaha kidogo.
Namba za undani zaidi: kwa haraka linganisha List of exports of Russia - Wikipedia na List of exports of the United States - Wikipedia
Ha haaa haaa Niko serious!au Basi acha nitafute news mwenyewe...maana Nyie Z mna propaganda Sana siwaaminiHa ha haa...wamekuja upande wa Zelensky, si ndio wapenda kusikia hivyo mrembo wangu Joannah?😆😆😆😂😂😂
Ok nimekuelewa... So baki na unachokiamini na me nibaki na nachokiamini kwenye hili...Angalia bidhaa walizo nazo. Sioni nguvu unayoona. Linganisha!
Exports Russia: The top exports of Russia are Crude Petroleum ($123B), Refined Petroleum ($66.2B), Petroleum Gas ($26.3B), Coal Briquettes ($17.6B), and Wheat ($8.14B),
Exports USA: Food, beverage and feed: ($133 B), Crude oil, fuel and other petroleum products: $109 B, Civilian aircraft and aircraft engines: $99 B, Auto parts, engines and car tires: $86 B, Industrial machines: $57 B, Passenger cars: $53 B, Pharmaceuticals: $51 billion.
Exports China: The top exports of China are Broadcasting Equipment ($208B), Computers ($141B), Integrated Circuits ($108B), Office Machine Parts ($82.7B), and Telephones ($54.8B)
Sikuchungulia kama namba ni sahihi, Ninachoangalia ni tofauti katika Muundo. Yale yanayotajwa upande wa Urusi ni malighafi au bidhaa zilizongezwa thamani kiasi tu. Hapo naona udhaifu wa uchumi wa Urusi. Hawana cha kuuza ambacho wengine wanataka mbali na mafuta, gesi, mazao na (haionyeshwi juu) feleji. Silaha kidogo.
Namba za undani zaidi: kwa haraka linganisha List of exports of Russia - Wikipedia na List of exports of the United States - Wikipedia
Joannah rafiki angu mie nipo upande wako, wamekuja Ukraine kukomboa miji.Ha haaa haaa Niko serious!au Basi acha nitafute news mwenyewe...maana Nyie Z mna propaganda Sana siwaamini
Utashistakiwa kugonga treni wewe!Hapana wamekuja upande wa Mama Samia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zelensk pumbavu sanaIt has been weeks of constant shelling and bombardment in your Country’s land and You are constantly , desperately all over the media yelling out for help from your distant witiful pretenders! What a pity!
This is a real war man! It seems like You are blindfolded or brainwashed or having lost nerves and not aware that your people are being innocently killed and others seeking refuge. Lord have mercy on those scattered as their homeland is fastily turning into a living hell!
You thought they could battle them out with you but now it's crystal clear that you might have been left on your own against the Undertakers.
Your Countrymen know how determined you are to win this battle but at the same time you know that soon or later you might be no more.
You might be left with nothing to prove to your own people! ,they trust you and love you but I believe they will love you even more if you decide to save their precious lives by ending this savage war before they do so when almost everything on the ground is lost.
If you Let them accomplish their plans at the expense of saving your Countrymen lives and properties ,will it controversially spoil your legacy or legendary plans?
Is it looking Patriotic and Heroic more important than ones Lives and properties?
Mr. President bear in mind I’m not taking sides but Distinct perspective matters when pictures look alike or vague in the eyes of Beholders.
ARTICLE.
Yaani hakuamini kama mambo kama hayo yanaweza kumtokea maishaniAlimdharau mamba kabla ya kuvuka mto2🤣😂😅
Na kingine apo umejitia upofu ila sitaki kutype tu sa hv...Angalia bidhaa walizo nazo. Sioni nguvu unayoona. Linganisha!