Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia has said it is banking on China’s help to withstand the crippling economic sanctions placed by Western nations over the war in Ukraine as the United States warned Beijing not to provide that lifeline.

Russian Finance Minister Anton Siluanov said sanctions had deprived Moscow of access to $300bn of its $640bn in gold and foreign exchange reserves, and added that there was pressure on Beijing to shut off more.

“We have part of our gold and foreign exchange reserves in the Chinese currency, in yuan. And we see what pressure is being exerted by Western countries on China in order to limit mutual trade with China. Of course, there is pressure to limit access to those reserves,” he said on Sunday.

“But I think that our partnership with China will still allow us to maintain the cooperation that we have achieved, and not only maintain, but also increase it in an environment where Western markets are closing.”

Mtu anakaa Mbagala au Yombo anaanza kusema vikwazo haviumizi, sijui China atamsaidia Urusi, kukwepa Maumivu, 50% mabenki yanaogopa kutrade
 
Na kingine apo umejitia upofu ila sitaki kutype tu sa hv...

Angalia walau nature ya industry anayodeal nayo Mrusi...

Hv hayo madini mtaenda kuyafata sayari nyingine au? Jamaa angu unawazaje lakini?

Ukikosa fundi mtaa huu utaenda mtaa ule utampata... That's mfano wa technology je ukikosa mchanga mchanga na Cement utajenga kweli?

Em toa hayo mahaba utumie utashi wako binafs kufikiri... Kutompenda mrusi hakubadili uhalisia uliopo kwamba western wame'punic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malighafi wanauza wengine pia. Kama Urusi wangekuwa nchi ya pekee - hii ingewapa mamlaka kubwa. Jinsi ilivyo sasa kuhusu gesi ya nchi kadhaa za Ulaya. (wanajitahidi kupata mbadala; Ujerumani wameanza sasa kujenga bandari kwa gesi inayofika kwa meli . hadi sasa walitegemea gesi ya Urusi kwa njia ya bomba).
Mambo yote bado yapo duniani. Hakuna haja kwenye sayari.
Mafuta: Venezuela na Iran watafurahi wakipata tena wateja kwa mafuta yao. Pamoja na hayo Ulaya inaelekea kupunguza mahitaji yake kwa kurukia nishati mbadala kama sola na upepo, na hidrojeni.

Kumbuka (ulipendelea kutojibu): Putin angeweza sasa kulazimisha Waulaya kama angezima gesi yake. Kwa sasa hivi hawana mbadala (bado). Lakini hazimi. Anahitaji kila senti.
 
Ok nimekuelewa... So baki na unachokiamini na me nibaki na nachokiamini kwenye hili...

Mda huwa ni mwalim mzuri... JF ndo hii hii kikubwa uzima...

Tuendelee kula Popcorn kila mtu na mkeka wake
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
una facts zako ambazo kwa fikra zako waziona sawa so dhambi na me hvo hvo na hoja zangu kwa upande wangu nazoziona ziko sawa...

So kipi ni sawa....????? "TIME 'LL TELL"

Ila nazidi kukumbusha tu RUSSIA sio ZIMBABWE.
Putin aliposema Russia itaibuka kuwa na nguvu sana hawa watu hawa
Wewe jamaa ni very naive.

First of all vikwazo alivowekewa Russia sio vya kuleta matokeo kesho asubuhi ila vikwazo ambavyo vitamzoofisha in short and long term.

Russia uchumi wake kwa zaidi ya 20% unategemea mafuta, na kwa taarifa na wengi hawaijui ni kuwa USA na Canada ni wazalishaji wakuwa wa mafuta USA ni wa kwanza Duniani, Bei ya Mafuta haipangwi na taifa moja ndio maana Bei inapanda hata kwa mataifa ya yanayozalisha sana, ili kupunguza makali ya bei, Marekani huwa wanaakiba ya Mafuta, wenyewe wanaita Strategic oil reserve huitumia kipindi ambacho kuna emergency hasa kipindi hiki, Kwa taarifa yako USA wangekuwa wanatoa tu hii reserve wanaweza kuireplace Russia ndani ya mwezi kama muuzaji mkuu wa Mafuta.

Saudi Arabia ndio silaha kubwa ya marekani linapokuja suala la Nishati duniani, ni suala la muda tu Saudi Arabia ataongeza uzalishaji, Pia Marekani tayari amepata unlikely Ally kwenye hili naye Ni Venezuela, Venezuela ndio taifa lenye kiwango kikubwa cha mafuta kilichogundulika ila bahati mbaya hanufaiki nayo kwa sababu ya vikwazo (China na Russia hawajuzia kuathiriwa na vikwazo vy Magharibi)

Kuna watu wanasema Russia itaitumia China kukwepa vikwazo (at least watajaribu) wote wanaosema hivi hawajawahi kuwe kwenye Biashara za kimataifa ambazo zinahusiana na kuhamisha mitaji kati ya nchi na nchi, Kila mtu anayefanya Biashara na taifa fulani anaangalia kitu kinaitwa "Financial Risk of Doing Business", ahadi na ndoto hazishibishi hapa Pro Russia muelewe, Wiki Iliyopita Xiaomi kampuni ya China ilipunguza 50% ya Biashara zake inazofanya na Russia, na si Xiaomi pekee na hata Mabenki ya China yanakwepa kufanya miamala ya Benki za Urusi.

Unasema ticket za Ndege za Mataifa ya Ulaya zimepanda Bei, Hivi kupanda Bei na Shirika lako kufa Bora nini?
Kama hujui au kwa faida ya wengine Shirika la ndege la Russia ndege zake zote ni Airbus na Boeing isipokuwa 10 au 20 ndio zinaundwa Russia, hapo Boeing na Airbus wamejitoa kufanya biashara na Russia, this means they will not be able to get Spare parts and therefore lazima wapunguze Safari za nje au za ndege hizo, this means hadi Airline industry irudi kama kawaida sio zaidi ya miezi 12.
China mshirika wa Karibu wa Russia ndege zake karibu zote ni Airbus na Boeing, ameshindwa kumuungisha mshikaji wake (Hebu jiulize Kwa nini), au kama unajua maifa yanatumia Ndege za Russia hapa Africa yataje, now imagine kampuni inayoziunda ndege itakuwa na hali gani baada ya miezi 12?

Russia ana provide Rare Earth, Nickel na raw materials nyingi sana kwa Ulaya, na yeye hawezi kuuacha kuwauzia kwa sababu ndio msingi wa Uchumi wake, Kama hujui na kwa faida ya wengine Tanzania ina Deposit ya Nickel ambayo dunia nzima wakiacha kuchimba tutaweza kumuuzia kila mtu kwa miaka 30, na kambuni ya Kabambaga Nickel ni Kampuni ya Uingereza (Kwa usajili) so tutarajie speed ya ujenzi kuongezeka.

Umeitaja BRICS, hii sio formal wala informal alliance, kwanza wana tofauti za kimipaka, kisera, lengo lao lilikuwa ni kujaribu kuzichallenge IMF na WB ila hadi leo Nchi karibu zote za Africa na zinazoendelea zinakimbilia IMF na WB (Mfano Tanzania), hii ina imply Western financial Frameworks and Institutions are very strong kwa sasa labda itokee vita kubwa sana, that will destroy our civilazion.

Vita ni gharama na hii gharama ndio Silaha ya watu wa Magharibi
Badala ya kuja na maelezo yasiyoeleweka jaribu uwe unapitia mitandaoni kupata dodoso la kinachoendelea kuliko kuja na maneno yako.

Waziri
 
Sawasawa...
 
Zelensky published a video in which he allegedly visited a hospital with wounded soldiers of the Armed Forces of Ukraine today.

But on the footage, a physician, Inna Derusova, was seen, who died on February 26. The death of the woman was confirmed by her relatives. Then Zelensky himself awarded her the title of Hero of Ukraine posthumously.

It turns out that the published video of the meeting of the President of Ukraine with wounded soldiers on March 13 is a fake. The video was recorded back in February, before the death of Inna Derusova.

Earlier, many media outlets wrote that Zelensky left Ukraine a long time ago, and all videos with him and recordings allegedly from Kyiv were made in advance. View attachment 2149395
Hahahaha dah nimeshangaa anazunguka mtaani kabisa. Usije Kuta Kweli hayupo Ukraine ila anaongea kuwatia watu moyo.
 
Nilipoona tu source yako ni Wikipedia. Nimedharau taarifa yako hii na kuipuuza.
Jaribu kusoma unachoona. (kama ungeweza kusoma, ungejua namba nilizotaja si Wikipedia - sikusema ninapopata!) Nilitaja Wikipedia kama chanzo cha kuangalia kwa undani zaidi (je wewe umewahi kuonyesha chanzo chochoote kwa hekima yako?? - afadhali kutoonyesha??) . menginevyo angalia yale niliyoleta angalia chanzo cha namba. Ukijua ni kitu gani kinachotajwa na kama unaweza kusema chochote kuhusu vyanzo vinavyorejelewa - sema!
 
Russia says it killed up to 180 foreign fighters based in Ukraine in a missile attack on a military base close to the Polish border.

Moscow added that the strike on the base, which is west of Lviv, had destroyed a large amount of weapons supplied to Kyiv by the West.

"As a result of the strike, up to 180 foreign mercenaries and a large cache of foreign weapons were destroyed," Russian defence ministry spokesman Igor Konashenkov said.

Ukraine said earlier today that only 35 people had been killed and 134 wounded in the attack.

Military experts said Russia had targeted the training centre – the most westward of any shelling yet – in an attempt to warn off foreign fighters and stem the flow of military equipment from the West into Ukraine.

Jaribu kusoma unachoona. (kama ungeweza kusoma, ungejua namba nilizotaja si Wikipedia - sikusema ninapopata!) Nilitaja Wikipedia kama chanzo cha kuangalia kwa undani zaidi (je wewe umewahi kuonyesha chanzo chochoote kwa hekima yako?? - afadhali kutoonyesha??) . menginevyo angalia yale niliyoleta angalia chanzo cha namba. Ukijua ni kitu gani kinachotajwa na kama unaweza kusema chochote kuhusu vyanzo vinavyorejelewa - sema!
Samahani, hivi unaichukulia Russia kama nchi za kiafrika siyo.
Wewe ulisema russia wanauza raw material. Unajua kuhusu international space station!?
Unajua china ananunua silaha za kivita kutoka Russia!?
 
WaUkraine wapigana vikumbo wakigombea kuukimbia mji wa Kyiv kutokana na kasi ya mashambulizi ya Russia (mvua za makombora).

Zelensky aongea kwa huzuni kuwa kama Russia imeamua kunyesheleza mabomu kwenye mkoa huo na kuwaua woote waliomo na kufuta historia yao basi wafanye hivyo...na wauchukue hiyo Kyiv.

View attachment 2148650
Yaani sipati picha siku Tanzania tupate Kiongozi mjinga kama huyu, najiuliza tu halafu Malawi walianzishe kule ziwa Nyasa na waitake Tukuyu kama wanavyosema ni ya kwao.
 
USA wana wasiwasi na Support ya China kwa Russia. Vitisho vimekuwa vingi.

Translated from ru - Russian to en - English

USA: Russia asked China for military and economic assistance in the war with Ukraine

According to The New York Times, Russia has also turned to China for more economic assistance.

US officials have not disclosed the intelligence gathering methods or the type of military hardware Moscow is counting on. They also declined to discuss any Chinese response to these requests.

On March 14, Jake Sullivan, US national security adviser, plans to meet with a senior Chinese official to discuss the situation. “We are telling Beijing directly, privately, that there will be repercussions for large-scale efforts to evade sanctions or support Russia in response to them,” Sullivan told CNN.

The Biden administration is hoping to convince the Chinese to pressure Russian President Vladimir Putin to change course on Ukraine, which many current and former officials say is unlikely. But some in the administration believe China can be dissuaded from ramping up aid to Moscow. Beijing can be content with Moscow's rhetorical support and not want to further interfere in the situation on the side of Russia.

#politics #usa #china #russia #ukraine

Translated with ❤️ by @lang_translate_bot
 
Back
Top Bottom