Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hehehhe yani nipale huyo jamaa dam yake itamwagwa ndipo na Putin ataona dunia kuna serikali katili.. watamuua pia. Trust me. Putin watamuua trust me
No one can kill him Your f#####kn dreaming nightmare this is too heavy for you young girl go back to sleep eti serikali katili unadhani putin ni mwarabu
 
Kwani hawa Chechen si warusi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia federation ina watu wa jamii mbali mbali....
Chenchenya ikiwepo hawa ni waislam, huko Nyuma walikuwa na Raisi wao kabisa, kabla ya kadyrov ( kiongozi wao wa sasa) kubadilisha hicho cheo na kusema kwamba Russia inatakiwa kuwa na rais mmoja tu.
Russia na East Europe ina History ya tofauti, na Politics za kitofauti kidogo.
( Ni nzuri kujifunza, najifunza pia)
 
Naona URUSI wamesema zaidi ya wanajeshi 180 wa kigeni wameuawa katika shambulio la kambi ya mafunzo ya kijeshi UKRAINE.
Screenshot_20220313-212012.png

Screenshot_20220313-212038.png

Screenshot_20220313-212100.png

Haya! Wapiganaji waliyojitolea wanakufa mapeeeema. Wakiwa majumbani kwao vyombo vyao vya habari vinawaongopea Ukraine anamtwanga Russia. Wakija ground mambo tofauti.
 
Hawajui vita hao. Wanadhani kule wanaenda kama kupigana na Afghanistan au kwa waarabu ambapo wanapiga tu mabomu. Urusi analijua hili ndiyo maana waliwaambia wafikirie mara 2 kabla ya kwenda Ukraine.

Kuna muingireza mmoja alienda. Hakukaa sawa makombora yakawashukia, kwa wakati huohuo ikaja chopper ikashushia vitu nayo. Jamaa akapagawa ili kujiokoa akakimbia ili ajiokoe.

Kufika mbele jeshi la Ukraine halikumtambua likamdaka na kumpa mateso walidhani ni kachero wa kirusi. Kufupisha stori jamaa amerudi nchini kwao sasa hivi.

Anakuambia hakuwahi ku-experience vurumai kama hilo!
I know this story, Nilicheka sana, Alijua kaenda kufanya shopping! Zile picha za kina Miss Ukraine wameshika rifle ziliwa-inspire. Wakajikuta mashujaa wa vita
 
Asante kwa hoja. Haya, nikiri: habari za soksi na chupi si kweli. Tukiona picha za wanajeshi Warusi wanaiba chakula (kuku sijaona, lakini video kadhaa jinsi walivyovunja maduka na kuchukua chakula) hapa si maana yake kuna njaa Urusi. Ni dalili kwamba kwenye siku za kwanza jeshi la Kirusi lilipanga vibaya. Ni dhahiri walitegemea kumaliza katika siku chache. Hivyo vikosi kadhaa vilikosa chakula na vifaru viliachwa barabarani kwa sababu dizeli ilikwisha.
Sidhani inatokea leo hii. Yalikuwa makosa ya siku za kwanza. Hii inalingana na habri kwamba Putin alipumzisha majenerali kadhaa na kuwabadilisha.
Kuhusu nafasi ya GDP na sanctions: si vigumu. Ukiwa na akiba kubwa ya gesi na mafuta unayouza unapata namba za GDP. Upande wa tasnia nchi ni dhaifu zaidi. Wana msingi pana, lakini sekta nyingi ni dhaifu sana. Maana tasnia wakati wa ukomunisti ilikuwa kubwa lakini tekinolojia ya nyuma, isipokuwa tekinolojia ya kijeshi kwa sehemu kadhaa.
Kwa nini kuna makampuni mengi ya Ulaya na Marekani ambayo yanaondoka sasa? Je Urusi isingekuwa na makapuni yake yenyewe? - Ukweli ni: kutokana na ushhaifu wa uchumi walikaribisha hao wa nje kuwekeza na kuleta tekinolojia.
Sasa sanctions: Zilianza baada ya uvamizi wa kwanza wa 2014. Lakini hazikuwa kali. Hii takwimu inayotaja namba za sanctions inapotosha kidogo.
Maana nchi yenye vikwazo vikali kwelikweli ni korea Kaskazini, lakini nidadi ya sanctions kwenye takwimu ni ndogo kuliko Urusi.
Idadi ni kubwa ukimjumlisha kila mwanasiasa na kiongozi wa kijeshi anayehesabiwa kama "sanction 1". Pia nchi za Ulaya walitaka kuendelea kufanya biashara na Urusi. Hivyi hapakuwa na santion 1 kwa tasnia ya ndege (jinsi ilivyo Korea kwa ujumla), bali orodha ndefu ya kuzuia hiki (lakini kuacha nafasi kwa biashara ya kitu kingine) na yale, kwa kulenga hapa na pale, si kwa jumla.
Maana makampuni yalitaka kuendelea na biashara.
Hii imebadilika sasa. Ila bado hakuna kikwazo dhidi ya gesi na mafuta kwa Ulaya, kwa sababu hawana mbadala hadi sasa.
Kama Putin angetaka kuwapiga Waulaya, angezima SASA gesi na mafuta. Ila tu hii hafanyi KWA SABABU ANAHITAJI KILA SENTI.
Kwa sasa zitakuwa kama porojo tu kwe huu huzi... Unachokiona mbele nahisi ni tofauti na nachokiona kwa upande wangu kulingana na analysis zangu mwenyewe.

So whether uko sawa au hauko sawa sizan ka na haja ya kuk'prove wrong o right ilihal mda upo na mda utaongea....

But bnafs kwa analysis zangu mwenyewe na bet kwa mrusi kwenye hivi vikwazo vyote anatoboa tena kwa 98% efficiently kbs.

Nikukumbushe tu Mrusi anafanya biashara ya Rasilimali sana sana na sio Technology Health care au vitu vinginevyo kiivo... Na rasilmali alizo nazo ni "Basic needs" so "Additional" ambazo kila nchi inazihitaji na ni nchi zilzokua au tayari ambazo zimekwisha kua...

Waswahil wanasema kuoga hiari kula lazima.

Nikurejeshe nyuma Europe + USA + Canada na nchi zingine kama Australia Japan na Korea Kusini Plus Singapore zote kwa pamoja zina Account about 1.3Billion kwenye Population ilo na watu zaidi ya 7.8Billion dunian.

Biashara hufanyi na kuku unafanya na watu so rejea hio Population ilobaki inahtaji malighafi za mrusi achilia mbali sector zingine...

Geuka nyuma angalia huu muungano wa BRICS yani Brazil, Russia mwenyewe, India, China na South Africa aliyejiungha juzi... Hyo ni Primary back up ya Mrusi inayo accounts for more than 40% of the world Population. Apo hujataja marejeo kama nchi zingine Africa ukaenda mbali zaidi apo Middle East ambao hawajajihusisha na hivo vikwazo vilivowekwa....

Ukitaka kupata usahih wa unachokizungumza zama deep kuangalia kila nchi iliyojihusisha na Vikwazo kwa Mrusi namna wanavyoingiliana kibiashara na tizama kwa jicho huru utaona nani atakayeumia na hivi vikwazo zaidi...

Kisha ingia ndani zaidi angalia kwa umakini kinachoondoka Urusi na kinachozuiliwa na wazuiaji kipi kina maana...

Huezi ukanambia unazuia wafanya biashara wako wasipeleke "Gongo" kenya kisha unazuia uingizwaji wa mafuta nchini kwako kutoka kenya et unamkomoa ilhal unawaumiza nduguzo ulonao kwa inflation ya bei...

Nikuulize tena swali... Toka hvo vikwazo vimeanza umesikia kuna mfumuko wa bei Urusi... Italy kawekewa vikwazo kwani mpka afunge viwanda uzalishaji kisa gharama za umeme kupanda? Au italy ndo Russia?

Either wajua au umesahau nikukumbushe... Nini kinafata baada ya nishati gharama kupanda? Ni mfumuko wa bei mpk kwa mahtaji ya kawaida ya mwananchi mdogo chini...

Sasa nikuulize tena hyo jump ya gharama za umeme kutoka $100 mpaka $175 zimetokea Russia au Europe? Hizo gharama za usafiri zinawaathiri warusi au wenyewe?

Kingine umezungumzia kuhusu makampuni ya nje... Em nenda apo UK achana na biashara za ndani nambie Club kubwa ulaya inayomilikiwa na mzawa...

Nenda tena kaorodheshe katka Club 20 zinazoshiriki league kuu ni ngapi zinamilikwa na wazawa na zipi zinamilikiwa na wenyeji... Apo nakutolea mfano kwenye michezo tu hujaingia kwe biashara halisi...

Nikukumbushe tena hakuna kampuni kubwa duniani ambalo liko whole owned na wazawa... Apple the most valued company iko registered in USA ila share holder wamezagaa dunian kote. The same to Alphabet Inc. na mengineyo so nakupa notice ya ziada kua Investors popote dunian huwa wanaangalia "Opportunities"...

Na ndo maana ukawaona warusi hao hao wakivuka mipaka ya nchi yao kuwekeza kwenye mataifa mengine...

Nazidi kukudokeza kua Russia ina Over 110 Billionaires kati ya 2700 tuwajuao... That's is over 4.22% ya Billionaires wote duniani... na ni number 5 baada ya USA kisha CHINA kisha INDIA, kisha Germany Kisha yeye... Apo number of Millionairea iko zaidi ya zaidi ya malaki ya watu..

Na hao sio mabilionea na mamilionea wa Tsh bali USD... Idadi ya mabilionea walioko Russia ukilinganisha na UK ni takriban mara mbili ake... UK wapo ka 54 hv...

Je hao wafikir hawawezi kwenda kwenye rest of population kuwekeza???? Kama waliekeza Europe wanashinda kuekeza sehem nyingine? Fedha wanazo.

Ko nirudie tu kukwambia una Idea nzuri za uchumi sema una "mahaba" yanakutoa kwenye Reli... Fanya deep analysis kwe hil jambo bila ushabik utaona "utumbo" mwingi unaofanywa na siasa za kimagharibi hasa hasa kwe huu mzozo...

Ningeandka mengi ila nachoka... But kwa hayo machache niishie apo.
 
Yan russia ana akili sana joe biden anarudi nyuma taratiibu kaona kabisa anaenda kuzingua ule msemo wake putin alifanya miscalculation sasa yeye ndio anaonekana alimiscalculate strength ya russia na mission yake yan ukijumlisha viongozi wa EU walipanic mwanzo saivi kila mtu anarudi nyuma ndio maana huwa napambana maisha haya peke yangu ogopa mtu anakwambia nipo nyuma yako
 
Kwa sasa zitakuwa kama porojo tu kwe huu huzi... Unachokiona mbele nahisi ni tofauti na nachokiona kwa upande wangu kulingana na analysis zangu mwenyewe.

So whether uko sawa au hauko sawa sizan ka na haja ya kuk'prove wrong o right ilihal mda upo na mda utaongea....

But bnafs kwa analysis zangu mwenyewe na bet kwa mrusi kwenye hivi vikwazo vyote anatoboa tena kwa 98% efficiently kbs.

Nikukumbushe tu Mrusi anafanya biashara ya Rasilimali sana sana na sio Technology Health care au vitu vinginevyo kiivo... Na rasilmali alizo nazo ni "Basic needs" so "Additional" ambazo kila nchi inazihitaji na ni nchi zilzokua au tayari ambazo zimekwisha kua...

Waswahil wanasema kuoga hiari kula lazima.

Nikurejeshe nyuma Europe + USA + Canada na nchi zingine kama Australia Japan na Korea Kusini Plus Singapore zote kwa pamoja zina Account about 1.3Billion kwenye Population ilo na watu zaidi ya 7.8Billion dunian.

Biashara hufanyi na kuku unafanya na watu so rejea hio Population ilobaki inahtaji malighafi za mrusi achilia mbali sector zingine...

Geuka nyuma angalia huu muungano wa BRICS yani Brazil, Russia mwenyewe, India, China na South Africa aliyejiungha juzi... Hyo ni Primary back up ya Mrusi inayo accounts for more than 40% of the world Population. Apo hujataja marejeo kama nchi zingine Africa ukaenda mbali zaidi apo Middle East ambao hawajajihusisha na hivo vikwazo vilivowekwa....

Ukitaka kupata usahih wa unachokizungumza zama deep kuangalia kila nchi iliyojihusisha na Vikwazo kwa Mrusi namna wanavyoingiliana kibiashara na tizama kwa jicho huru utaona nani atakayeumia na hivi vikwazo zaidi...

Kisha ingia ndani zaidi angalia kwa umakini kinachoondoka Urusi na kinachozuiliwa na wazuiaji kipi kina maana...

Huezi ukanambia unazuia wafanya biashara wako wasipeleke "Gongo" kenya kisha unazuia uingizwaji wa mafuta nchini kwako kutoka kenya et unamkomoa ilhal unawaumiza nduguzo ulonao kwa inflation ya bei...

Nikuulize tena swali... Toka hvo vikwazo vimeanza umesikia kuna mfumuko wa bei Urusi... Italy kawekewa vikwazo kwani mpka afunge viwanda uzalishaji kisa gharama za umeme kupanda? Au italy ndo Russia?

Either wajua au umesahau nikukumbushe... Nini kinafata baada ya nishati gharama kupanda? Ni mfumuko wa bei mpk kwa mahtaji ya kawaida ya mwananchi mdogo chini...

Sasa nikuulize tena hyo jump ya gharama za umeme kutoka $100 mpaka $175 zimetokea Russia au Europe? Hizo gharama za usafiri zinawaathiri warusi au wenyewe?

Kingine umezungumzia kuhusu makampuni ya nje... Em nenda apo UK achana na biashara za ndani nambie Club kubwa ulaya inayomilikiwa na mzawa...

Nenda tena kaorodheshe katka Club 20 zinazoshiriki league kuu ni ngapi zinamilikwa na wazawa na zipi zinamilikiwa na wenyeji... Apo nakutolea mfano kwenye michezo tu hujaingia kwe biashara halisi...

Nikukumbushe tena hakuna kampuni kubwa duniani ambalo liko whole owned na wazawa... Apple the most valued company iko registered in USA ila share holder wamezagaa dunian kote. The same to Alphabey na mengineyo so nakupa notice ya ziada kua Investors popote dunin huwa wanaangalia "Opportunities"...

Na ndo maana ukawaona warusi hao hao wakivuka mipaka ya nchi yao kuwekeza kwenye mataifa mengine...

Nazidi kukudokeza kua Russia ina Over 110 Billionaires kati ya 2700 tuwajuao... That's is over 4.22% ya Billionaires wote duniani... na number 5 baada ya USA kisha CHINA kisha INDIA, kisha Germany Kisha yeye... Apo number of Millionairea iko zaidi ya Mamilion ya watu... Idadi ya mabilionea walioko Russia ukilinganisha na UK ni takriban mara mbili ale... UK wapo ka 54 hv...

Je hao wafikir hawawezi kwenda kwenye rest of population kuwekeza???? Kama waliekeza Europe wanashinda kuekeza sehem nyingine? Fedha wanazo.

Ko nirudie tu kukwambia una Idea nzuri za uchumi sema una "mahaba" yanakutoa kwenye Reli... Fanya deep analysis kwe hil jambo bila ushabik utaona "utumbo" mwingi unaofanywa na siasa za kimagharibi hasa hasa kwe huu mzozo...

Ningeandka mengi ila nachoka... But kwa hayo machache niishie apo.
BRAVO Tumkumbushe na mfano mwengine kampuni ya Marcedes ina haha, Kupoteza $2.2 bln kutokana na Nationalisation.
 
Bei ya wine imeonekana kupanda russia...

Translated from ru - Russian to en - English

🍷Winemakers recorded a 10% increase in wine prices in Russia - and this is not the limit, as the cost will increase in line with domestic inflation.

Although 30% of the market is occupied by wine from grapes grown in Russia, this is not enough. In addition, cork is not produced in Russia, as well as all chemicals for processing vineyards and barrels. All imported components lead to a rise in the price of the product.

#russia #economy

Translated with ❤️ by @lang_translate_bot
 
Wine vs fuel. 🤣🤣🤣
 
Hapa ni Mariopol, na haya mashambulizi yana fanywa na AZOV special forces.

Hii vita haishi leo Wala Kesho, Ndio maana Putin ameamua kuitiisha vijana wa Kiarabu waje msaaidie.

Kibaya zaidi Ukraine na Russia ni maeneo ya Baridi sana. Watu Jamii ya Slavs na Makabila mengine ya Ulaya ndio yanapaweza. Hawa waarabu wataenda kutolewa kafara.

Yaani kwa wasiowajua Hawa AZOV, Yaani zile Story tulikuwaga tunasomaga kuwa Kuna Wazungu wanaamini they are supreme race ndio Hawa.

Putin anawaogopa hatari yaani amini msimamo wao siku moja wakiwa Serikalini Ukraine itaanza kuboresha jeshi lao ili waivamie Urusi

Sina haja ya kuelezea kila kitu usigandishe akili yako, na huwa sipendi kudeal na watu wanatafuniwa kila kitu. Sasa ulitaka nikutajie vifo ni vya lini wakati umeandikiwa na unaona?

Hata ukichukua kilaza anayejua kusoma atashindwa kujua kwamba hivyo vifo ni vya kabla ya hii vita? Kwenye hiyo report ambayo sina uhakika nayo sana as I saidi before: vifo 15 walijipiga risasi, vifo 11 ni ajari, vifo 2 ni kujinyonga, 16 ni sababu nyingine na 3 ni possibly natural death. Mwenye akili amelewa sana kwanini nimeileta hiyo kwenye case ya inteligence service yao na maofisa wa jeshi
Kwa nini hao 15 walijipiga risasi mkuu? Na ni lini? Samahani lakini kwa kukuuliza
 
Back
Top Bottom