Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apa ndo nabaki kwa cheko... Sasa hiyo list apo juu ina madhara gani na inatatua nini kwenye mgogoro?

Unazuia wafanyabiashara wako wasipeleke pombe Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aaaaanha ila awam hii USA kachemka sana Babu Biden sjuw anawaza nini huyo mzee...

Haya hiyo inawaathiri warusi au wafanya biashara ya nchi yake waliokuwa wanampelekea kodi kutoka kwenye mauzo....

Biden ka Punic
Biden Emotions zimemteka, sijui nani anamshauri.
 
Huyo jamaa toka siku ya kwanza anajifanya anajua sana tena kwa vitu ambavyo hata havijui kabisa. Kitu kipo Google na specification zake zimewekwa lakini badala ya kukubali kuwa hajui anakuja na vijitaarifa visivyoeleweka.

Bora hata na wewe umeona ubishi wa huyo jamaa. Hapo anakula matapishi yake mwenyewe.

Alidhani Meja jenerali wa jeshi wa Urusi ni kama majenerali wa Uganda wanaolinda mpaka wa Uganda na Rwanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo jukwaa lenyewe hilo kila mtu na mawazo yake...

Sema kibaya ni "all knows" ilhal kiuhalisia hakuna kiumbe wa namna hyo...

Binafs me nipo tu kijifunza tu siezi sema nipp kuelimisha... Labda kuelimishana....
 
[emoji1258][emoji1255] New York Times journalist Brent Renaud died in the battle zone in Irpin, Kiev region. Another member of the media was injured.

View attachment 2149133

[emoji1258][emoji1255] Mwandishi wa habari wa New York Times Brent Renaud amekufa katika eneo la vita huko Irpin, mkoa wa Kiev. Mwanahabari mwingine amejeruhiwa vile vile...

View attachment 2149134

Tumepoteza mwandishi wa habari... Apa nasubir kuona USA government wata react vipiii

View attachment 2149135
Ohh God..

RIP..

DAH 😞😪😪
 
Biden Emotions zimemteka, sijui nani anamshauri.
Siasa zilivo za kikonyo unaeza kuta hata hao Republican wanamkoleza aharibu zaidi uchaguzi uwe mwepesi...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siasa kama siasa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Kuna ule msemo wanasema ukifanya jambo af mpinzani wako anashangiliia jichunguze....
 
Nimeambatanisha picha ya huyo msaidizi, mkuu hana picha mtandaoni. Pia nimetoa picha ambayo sina hakika kama ni sahihi ikionesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la UrusiView attachment 2149010
Mkuu umesema kuwa huyo afisa hana picha mtandaoni, swali langu ni hili wewe umepata wapi hiyo picha ya huyo afisa uliyoibandika? Au ulipiga nae?

Mbona mie nimeona picha hiyo sehemu kibao mtandani zinazoelezea stori hizo za kusikia sikia ulizotuletea hapa?

SmartSelect_20220313-184459_Chrome.jpg
 
Siasa zilivo za kikonyo unaeza kuta hata hao Republican wanamkoleza aharibu zaidi uchaguzi uwe mwepesi...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siasa kama siasa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Kuna ule msemo wanasema ukifanya jambo af mpinzani wako anashangiliia jichunguze....
Very true.
 
Sasa wewe ambaye sio kilaza elezea kwa nini uliweka ile picha ya vifo vya majenerali vya mwaka 1989 hadi 2016. Ukiiambatanisha na stori za kusikia sikia na kuokoteza okoteza.

Ungekuwa uliielewa picha hiyo vema kama unavyodai, kwa nini kwenye maelezo yako umesema wazi kuwa huna hakika na picha hiyo kama ni sahihi inaonesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la Urusi?

Hao walio-like hayo maelezo yako ya awali wote wana uelewa mdogo, na ukiwaona wana uelewa mkubwa (akili kubwa) ujue wewe ni kama wao (mpo ktk level moja ya ufahamu).

====

View attachment 2149136
Kwa wanaonielewa, nikisema kitu natoa na tukio kama hilo au linalohusiana na hilo kwa namna fulani. Ukisoma comments zangu humu utaona mara kibao nazungumzia Soviet Union, WW1, WW2, Ottoman empire, Vatican, Nazi Germany, Israel, Japan. Mimi siangalii tukio kwa present peke yake, naangalia na past kujaribu kufanya prediction ya kinachofuata. Ndio maana hutaona natoa breaking news wala kuandika sentensi mbili nikaacha.

Unataka kunipangia utaratibu wako mwenyewe tofauti na ulionikuta natumia. Kama hunielewi JF walijua kutakuwepo na uhitaji wa block/ignore nakushauri uitumie
 
What would you have him do? Sit back while Putin annexes his country without putting up a fight?.
stupidity doesn't have boundaries.

think Ukraine is not going to surrender coz what are they surrendering for now?? Their cities are destroyed, their economy are in shambles, their people are home misplaced. What exactly should they surrender for??
since Jf has become a nice platform for stupidity folks to write and expose their Yansh mods are going to leave this thread in front page.
I understand that it’s not easy for a caged bird to comprehend what is outside it’s cage. I pray that your caretaker someday set you free so as you could familiarize with things outside your cage’s boundaries.
 
Back
Top Bottom