Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jana vyombo kadhaa vilitaarifu TETESI kwamba Col. General Sergei Beseda, mkuu wa 5th Service ambayo ni Foreign Intelligence branch ya usalama wa taifa wao, FSB amewekwa under house arrest yeye na msaidizi wake. 5th Service ndio walikuwa wanachunguza hali ya Ukraine na taarifa za Putin alizokuwa anasema na kila alichoamini kitakuwa walimpa wao. Now mambo yamekuwa tofauti na matarajio kuna assumptions kwamba fedha zilizotengwa kwa ajili ya operations kadhaa za inteligence zilitumiwa vibaya au walitoa taarifa bila weredi mambo ya de-nazification na kwamba Ukraine hawatatoa resistance.

Ni tetesi pia kuwa kuna makamanda wa jeshi wamebadilishwa. Taaarifa zimetolewa jana nikasubiri angalau leo kutakuwa na evidence lakini bado hivyo tuendelee kusubiri. Nimeambatanisha picha ya huyo msaidizi, mkuu hana picha mtandaoni. Pia nimetoa picha ambayo sina hakika kama ni sahihi ikionesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la Urusi
55239573-10603045-image-a-8_1647015567174.jpg
20220313_155856.jpg
 
The main statement from the Minister of Finance Siluanov about how the country is coping with the consequences of sanctions:

— the total amount of gold and foreign exchange reserves of the Central Bank of the Russian Federation was about $640 billion. Half of them were frozen due to sanctions;

— The West is putting pressure on China to limit Russia's access to its yuan reserves;

- Russia will pay its obligations on the public debt in rubles until Western countries unfreeze its gold and foreign exchange reserves;

— Russian banks found themselves in a difficult situation, but capital reserves allow even those who fall under the most severe sanctions to function;

- Russia has enough funds to ensure the production of the necessary goods and settlements;

- about the possible indexation of pensions: we will monitor the situation with prices, we will not let pensioners offend.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Europe is beginning to see clearly and understand that they are drawn by the US and the NATO bloc into a completely dislocated game devoid of common sense”

State Duma deputy, member of the Russian delegation at the talks with Ukraine Leonid Slutsky in an interview with RT Arabic - that Europe depends on Russia's energy resources:

“Russian oil and gas in Europe cannot be 100% replaced by anything else. There are, for example, Qatari gas, Algerian hydrocarbons. But they cannot cover even half of Europe's oil and gas needs." Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
State Duma deputy, member of the Russian delegation at the talks with Ukraine Leonid Slutsky on the progress in the dialogue with Kiev:

“If we compare the positions of both delegations at the talks at the very beginning and today, we will see significant progress.

According to my personal expectations, this progress can develop into a common position of both delegations in the very near future, into documents for signing.”
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Team Ukraine vs Russia wanakwambia wanakaribia kushinda mgogoro
 
Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulio hilo la Ngome ya kijeshi ya Ukraine karibu na mpaka wa Poland imetangazwa upya kuwa ni watu 20 hadi sasa, na watu 57 wamejeruhiwa vibaya.

Na kwa mujibu wa Reuters, Russia ilishambulia ngome hiyo kwa maroketi 30 [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

Mwambieni Putin apunguze, maroketi 30 yote ya nini ?! Utafikiri anaua nyoka!


View attachment 2148827


Piga chakaza maroketi ya zamani yaishe kwanza
 
State Duma deputy, member of the Russian delegation at the talks with Ukraine Leonid Slutsky on the progress in the dialogue with Kiev:

“If we compare the positions of both delegations at the talks at the very beginning and today, we will see significant progress.

According to my personal expectations, this progress can develop into a common position of both delegations in the very near future, into documents for signing.”
Galip SV Liwagu View attachment 2149027
....into documents for signing. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
What would you have him do? Sit back while Putin annexes his country without putting up a fight?.
stupidity doesn't have boundaries.

think Ukraine is not going to surrender coz what are they surrendering for now?? Their cities are destroyed, their economy are in shambles, their people are home misplaced. What exactly should they surrender for??
since Jf has become a nice platform for stupidity folks to write and expose their Yansh mods are going to leave this thread in front page.
 
Ninavyosoma comment nagundua kuwa warusi wengi wachangiaji humu hawaichukii Ukraine ila wanamchukia USA.

Wanafurahi sababu Urusi anathibitisha kuwa anaweza kupiga na asizuiwe na yoyote akiwemo USA, na sio kwamba wanafurahia Ukraine kupigwa.

Chuki kwa USA na Furaha ya kuona Urusi ikithibitisha kwa USA kuwa yeye ni mbabe ni kubwa inafunika huzuni yao kwa Ukraine.

Ni sawa na umchukie mtu kiasi cha kwamba ukikutana na ndugu yake anaibiwa unafurahi hata kama huyo ndugu yake hana ugomvi na wewe.
US ni mfarakanishi, kwa sababu ana nguvu ndio maana anaweza kufanya jambo asiulizwe, lakini wenzake wakifanya anahoji na kuwapiga sanctions. Yeye akifanya mengi maovu, kaingilia Iraq kwa propaganda za mass destruction weapons, kwenda Afghanistan kwa kumtafuta bin Laden, kaenda Libya kumuua Gaddafi, yote kafanya na hakuna aliyenyanyua mdomo.

Watu tuna chuki na US sio poa.
 
It has been weeks of constant shelling and bombardment in your Country’s land and You are constantly , desperately all over the media yelling out for help from your distant witiful pretenders! What a pity!

This is a real war man! It seems like You are blindfolded or brainwashed or having lost nerves and not aware that your people are being innocently killed and others seeking refuge. Lord have mercy on those scattered as their homeland is fastily turning into a living hell!

You thought they could battle them out with you but now it's crystal clear that you might have been left on your own against the Undertakers.

Your Countrymen know how determined you are to win this battle but at the same time you know that soon or later you might be no more.

You might be left with nothing to prove to your own people! ,they trust you and love you but I believe they will love you even more if you decide to save their precious lives by ending this savage war before they do so when almost everything on the ground is lost.

If you Let them accomplish their plans at the expense of saving your Countrymen lives and properties ,will it controversially spoil your legacy or legendary plans?

Is it looking Patriotic and Heroic more important than ones Lives and properties?

Mr. President bear in mind I’m not taking sides but Distinct perspective matters when pictures look alike or vague in the eyes of Beholders.

ARTICLE.
Hehehhe yani nipale huyo jamaa dam yake itamwagwa ndipo na Putin ataona dunia kuna serikali katili.. watamuua pia. Trust me. Putin watamuua trust me
 
Mmh! Kwani Trump anasemaje maake naona yuko kimya, si aongee ni mshikaji wake.
Trump ukitaka mskia download App yake inaitwa "Truth"....

Umesahau ka alifungiwa kwe social networks zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nikupe Copy n Paste moja uisome apa hapa...

Trump says his personality would have prevented Ukraine conflict

“The fake news said my personality would get us into a war… But actually, my personality is what kept us out of war,” Trump claimed during a rally in Florence, South Carolina, adding, “I was the only president in nearly four decades who did not get America into any new conflicts.”

Trump argued that, under Biden, the US is “neither feared nor respected” and that “there has never been a time where our country has been treated the way it is right now.”

Na kuna Interview flan hivi sema ilifutwa na Youtube

Maneno mengine ni kama haya

Trump claims Americans ‘should be scared’ of nuclear war with Russia

The former president addressed his fears about the potentially escalating situation in Ukraine, as NATO, backed by the US, offered its support amid Russia’s ongoing conflict with its neighbor.

Speaking on the Full Send Podcast Wednesday Trump laid into his successor Biden and claimed Americans “should be scared because we have incompetent people heading up our country.”

"While conceding that Russia was indeed a nuclear power, Trump reminded listeners that America also had similar capabilities that would deter aggression from Moscow. However, he admitted that there was “a chance” there could be a world war, given the current tensions."

So kuzungumza anazungumza ila ndo vile sasa sio Twitter ka zaman
 
Jana vyombo kadhaa vilitaarifu TETESI kwamba Col. General Sergei Beseda, mkuu wa 5th Service ambayo ni Foreign Intelligence branch ya usalama wa taifa wao, FSB amewekwa under house arrest yeye na msaidizi wake. 5th Service ndio walikuwa wanachunguza hali ya Ukraine na taarifa za Putin alizokuwa anasema na kila alichoamini kitakuwa walimpa wao. Now mambo yamekuwa tofauti na matarajio kuna assumptions kwamba fedha zilizotengwa kwa ajili ya operations kadhaa za inteligence zilitumiwa vibaya au walitoa taarifa bila weredi mambo ya de-nazification na kwamba Ukraine hawatatoa resistance.

Ni tetesi pia kuwa kuna makamanda wa jeshi wamebadilishwa. Taaarifa zimetolewa jana nikasubiri angalau leo kutakuwa na evidence lakini bado hivyo tuendelee kusubiri. Nimeambatanisha picha ya huyo msaidizi, mkuu hana picha mtandaoni. Pia nimetoa picha ambayo sina hakika kama ni sahihi ikionesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la UrusiView attachment 2149010View attachment 2149011
Mkuu acha kuokota okota taarifa za kizushi na kuja kutulisha MatangoPori hapa.

Hiyo picha unayodai yaonesha vifo vya maofisa (majenerali) wa jeshi la Urusi ukitaka kuhusianisha na vita hii ya Ukraine havina uhusiano wowote.

Kwa kukusaidia tu soma skeli hapo chini ya picha yako (nakuwekea screenshot ya picha hiyo) utaona ni vifo vya majenerali toka 1989 hadi 2016 (zaidi ya miaka 5 toka sasa)

Yaani umeshindwa hata kutumia akili ya kawaida tu kuwaza kuwa yawezekana vipi majenerali 48 (kwenye picha hiyo) wa Russia waende vitani? Achilia mbali kufa vitani.

Screenshot_20220313-163030_Chrome.jpg
 
Katika kosa kubwa la kivita alilofanya zelensky ni

1. Kugawa silaha ovyo kwa raia wake wote 16yrs-60yrs wapigane na wanajeshi wa Urusi kwny hii Vita.

2. Kuruhusu raia wake wote waondoke maeneo ya makazi ktk miji yote ktk wkt huu wa Vita (humanitarian corridor).
Wewe ukiwa kama nani unayeamua kwamba hili ninkosa na hili sio kosa mrusi wa Chamwino ama mrusi wa kazura mimba?
 
Back
Top Bottom