Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yanakutanaje anga za Africa acha sound mzee baba[emoji23] yani mfano kama Arusha na Nairobi watumiane kombora halafu yakutanie anga la bagamoyo[emoji23] hebu kuwa serious kidogo!

Hapo umetujumlisha mwamba[emoji28]
Collion ya magari yakikutana uso kwa uso kuna mawili.

1. Moja kusukumwa na kuelekea mwendo wa lililo na nguvu
2. Kila moja kwenda kovyake

Hii inaitwa conservation of linear momentum.

Inategemea mass na velocity of the two bodies.

Sasa angalia Tsar ina kg 280 sijui ni tani na velocity ya km9 kwa sekunde

Momentum is the product of mass and its velocity.

Nataka kendelea ila nimeshindwa kwa kuwa sijui fani yako.

Naweza tupa ndoano kwenye ndoo ya maji nikitegemea kupata samaki kumbe.

.........
 
Ile Ngome ya Kijeshi ya Ukrain iliyoshambuliwa kwa mizinga zaidi ya 30 (kwa mujibu wa updates za CNN) leo karibu na mpaka wa Poland, waliouawa wamefikia 35 huku majeruhi 134 wakiwa taabani hospitali.

Ikumbukwe kuwa ngome hiyo ilikuwa ikitumika kwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya Ukraine na NATO ikiwemo Marekani. Na Waziri wa Ulinzi wa Ukraine alisema mapema leo kuwa walimu wa kijeshi (military instructors) toka nchi za magharibi walikuwa wabo wakiendeleza shughuli zao hapo.

View attachment 2149081
Mnafanyia mazoezi kwenye uwanja wa vita. Walitegemea nini ?
 
Mkuu acha kuokota okota taarifa za kizushi na kuja kutulisha MatangoPori hapa.

Hiyo picha unayodai yaonesha vifo vya maofisa (majenerali) wa jeshi la Urusi ukitaka kuhusianisha na vita hii ya Ukraine havina uhusiano wowote.

Kwa kukusaidia tu soma skeli hapo chini ya picha yako (nakuwekea screenshot ya picha hiyo) utaona ni vifo vya majenerali toka 1989 hadi 2016 (zaidi ya miaka 5 toka sasa)

Yaani umeshindwa hata kutumia akili ya kawaida tu kuwaza kuwa yawezekana vipi majenerali 48 (kwenye picha hiyo) wa Russia waende vitani? Achilia mbali kufa vitani.

View attachment 2149041
Sina haja ya kuelezea kila kitu usigandishe akili yako, na huwa sipendi kudeal na watu wanatafuniwa kila kitu. Sasa ulitaka nikutajie vifo ni vya lini wakati umeandikiwa na unaona?

Hata ukichukua kilaza anayejua kusoma atashindwa kujua kwamba hivyo vifo ni vya kabla ya hii vita? Kwenye hiyo report ambayo sina uhakika nayo sana as I saidi before: vifo 15 walijipiga risasi, vifo 11 ni ajari, vifo 2 ni kujinyonga, 16 ni sababu nyingine na 3 ni possibly natural death. Mwenye akili amelewa sana kwanini nimeileta hiyo kwenye case ya inteligence service yao na maofisa wa jeshi
 
Yanakutanaje anga za Africa acha sound mzee baba[emoji23] yani mfano kama Arusha na Nairobi watumiane kombora halafu yakutanie anga la bagamoyo[emoji23] hebu kuwa serious kidogo!

Hapo umetujumlisha mwamba[emoji28]
Hili dude linaenda 8km/ s na mass ni tani 280.1 fikiria
JamiiForums921567775.jpg
 
Sina haja ya kuelezea kila kitu usigandishe akili yako, na huwa sipendi kudeal na watu wanatafuniwa kila kitu. Sasa ulitaka nikutajie vifo ni vya lini wakati umeandikiwa na unaona?

Hata ukichukua kilaza anayejua kusoma atashindwa kujua kwamba hivyo vifo ni vya kabla ya hii vita? Kwenye hiyo report ambayo sina uhakika nayo sana as I saidi before: vifo 15 walijipiga risasi, vifo 11 ni ajari, vifo 2 ni kujinyonga, 16 ni sababu nyingine na 3 ni possibly natural death. Mwenye akili amelewa sana kwanini nimeileta hiyo kwenye case ya inteligence service yao na maofisa wa jeshi
Acha blaa blaa na porojo, kutafuniwa vipi na wakati umeweka taarifa ukidhani ni ya kweli. Na majuha waka-like wakidhani ni ya kweli.

Waokotaokota huko habari za kizushi kama mkusanya kuni wa nyakati za usiku wa kiza totoro, akusanya hadi wadudu (tandu, nge, nyoka) waliomo kwenye kuni na kupeleka nyumbani, mwenyewe adhani kabeba kuni nzuri kumbe pia mna wadudu hatari kwake.

Ungekuwa na uelewa ndio ungeshea taarifa ya vifo vya magenerali vya miaka ya 1989 hadi 2016 na kuvihusianisha na vita ya sasa ya mwaka 2022?!

Kwanza hata mwanzo hukuona skeli kwenye picha ile hadi nilipokuonesha.
 
Acha blaa blaa na porojo, kutafuniwa vipi na wakati umeweka taarifa ukidhani ni ya kweli. Na majuha waka-like wakidhani ni ya kweli.

Waokotaokota huko habari za kizushi kama mkusanya kuni wa nyakati za usiku wa kiza totoro, akusanya hadi wadudu (tandu, nge, nyoka) waliomo kwenye kuni na kupeleka nyumbani, mwenyewe adhani kabeba kuni safi kumbe kuna nzuri kumbe pia mna wadudu hatari kwake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 89 to 22...
 
Venezuela is Russia’s ally, but is ready to sell oil to US – minister

Venezuelan Minister for Foreign Affairs Felix Plasencia has said Caracas is ready to sell oil to the United States again, while remaining “loyal” to Moscow.

Plascenia told the Turkish Anadolu Agency on Saturday that it would not be a “strange relationship” for Washington and Caracas to work together on oil, as Venezuela had “been doing oil business with the Americans for a long time.”

The minister argued that it would “be good for everyone” if Venezuela’s energy exports to the US get “back on track,” adding that Americans were welcome in the country as long as they “respect the sovereignty” of Venezuela and recognize President Nicolas Maduro as “Venezuela's only and legitimate head of government.”

Venezuela ni mshirika wa Urusi, lakini iko tayari kuuza mafuta kwa Amerika...

Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela Felix Plasencia amesema Caracas iko tayari kuuza mafuta kwa Marekani tena, huku ikiendelea kuwa "mwaminifu" kwa Moscow.

Plascenia aliliambia Shirika la Anadolu la Uturuki Jumamosi kwamba hautakuwa "uhusiano wa ajabu" kwa Washington na Caracas kufanya kazi pamoja kwenye mafuta, kwani Venezuela "imekuwa ikifanya biashara ya mafuta na Wamarekani kwa muda mrefu."

Waziri huyo alidai kuwa "itakuwa vyema kwa kila mtu" ikiwa mauzo ya nishati ya Venezuela kwenda Marekani "yatarudi kwenye mstari," akiongeza kuwa Wamarekani wanakaribishwa nchini mradi tu "wanaheshimu uhuru" wa Venezuela na kumtambua Rais Nicolas Maduro. kama "mkuu wa serikali pekee na halali wa Venezuela."

Hili takwa la mwisho sizani ka marekani watalikubali.
 
Acha blaa blaa na porojo, kutafuniwa vipi na wakati umeweka taarifa ukidhani ni ya kweli. Na majuha waka-like wakidhani ni ya kweli.

Waokotaokota huko habari za kizushi kama mkusanya kuni wa nyakati za usiku wa kiza totoro, akusanya hadi wadudu (tandu, nge, nyoka) waliomo kwenye kuni na kupeleka nyumbani, mwenyewe adhani kabeba kuni safi kumbe kuna nzuri kumbe pia mna wadudu hatari kwake.

Ungekuwa na uelewa ndio ungeshea taarifa ya vifo vya magenerali vya miaka ya 1989 hadi 2016 na kuvihusianisha na vita ya sasa ya mwaka 2022?!

Kwanza hata mwanzo hukuona skeli kwenye picha ile hadi nilipokuonesha.
Sio kosa langu kukufanya uwe na uelewa mdogo hivi. Umepewa image na maelezo na bado unataka utafsiriwe kwa maandiko. Sasa kwanini niweke image si ningeandika tu.

Hao unaoita majuha actually ndio wenye akili na uelewa. Wewe ni kilaza usiyejua kuwa hujui. Wenzako shule walienda kuelimika, wewe ulienda kuvaa sweta kubwa na kunywa uji
 
Hizi habari unapata wapi, generals 9 wameuliwa? General mwenye 4 stars anaenda kufanya nini Ukraine. Hata Lt. General na Major General si rahisi aende
Sikirimimimasikini since jana nimesema hakuna 4 star General ataenda Ukraine, hana cha kufanya uko. Hata hao Major Gen. na Lt. Gen. wanaweza enda kwa uchache sana. Siwezi sema hivyo jana, alafu leo nikatoa picha unayodai eti sijui ni ya lini. Niko makini zaidi ya unavyodhani na hasira zako
 
Back
Top Bottom