Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hizo namba za gari siyo za TZ. Kwahiyo mfano wako ni uchwaraIKITOKEA WARUSI VS NATO WA JF WAKAKUTANA WALIVYO NA UCHUNGU.
View attachment 2148686
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo namba za gari siyo za TZ. Kwahiyo mfano wako ni uchwaraIKITOKEA WARUSI VS NATO WA JF WAKAKUTANA WALIVYO NA UCHUNGU.
View attachment 2148686
Wakati USA na washirika wake wakizitandika Iraq, Afghanistan,Libya, palestina na kugeuzs mini Yao magofuAfrika jinga sana, badala ya kuhangaika na matatizo yetu,sie tunakaa nyuma ya keyboard Kushabikia ya wenzetu huko.
Ooh, aisee akili yako ipo sharp sana.Hizo nama za gari siyo za TZ. Kwahiyo mfano wako ni uchwara
Si ndo Wewe uliesema Putin ataumbuka mchana kweupe?Afrika jinga sana, badala ya kuhangaika na matatizo yetu,sie tunakaa nyuma ya keyboard Kushabikia ya wenzetu huko.
Sharp mindOoh, aisee akili yako ipo sharp sana.
Alichofanya USA ni kama vile unamwambia mtoto wako unapokelea mkono gani huo pokelea kulia uwe wa kushoto kulia mkono lazima uende kinywani tena huenda urusi ndo katoa go ahead mashoga yauziwe mafuta ili yasiwaze Sana na Kuja na suluhu ya kuasili biashara ya mafuta moja kwa moja mambo ni Yale YaleAkinunua Venezuela tayari Russia anafaidika.
😂😂😂😂😂😂😂Kwamba hawakujua kwamba Lift inaweza ikazimwa kwa ku-disconnect power supply ?
Anyway vita ya kwenye makazi ya watu na kushitukizwa na inayochanganya raia / soldiers walioji-camouflager kama raia sio rahisi hata America Vietnam au Somalia walipata shida..., ila ndio hivyo wangetumia Bazooka kusarambatisha hilo ghorofa wangepigwa propaganda kwamba wameua wazee na walemavu...
Baada ya vita kampuni zetu zinapata tenda ya kuijenga upya Ukraine...Tumeona safu mpya ya mashambulizi kutoka kwa wanajeshi wa Urusi asubuhi ya leo - makombora yakipiga viwanja vya ndege katika miji ya magharibi ya Lutsk na Ivano-Frankivsk.
Pia wameshambulia ngome ya kati-magharibi ya Dnipro kwa mara ya kwanza tangu uvamizi huo uanze zaidi ya wiki mbili zilizopita.
Wakimbizi kutoka miji iliyokumbwa na mashambulizi ya mabomu wamekuwa wakikimbilia magharibi mwa Ukraine wakiamini kuwa ni salama zaidi.
Makumi ya maelfu wamepitia Lviv - kitovu kikubwa cha raia. Mashambulizi ya Ijumaa yanalenga miji ya pande zote.
Meya wa Ivano-Frankivsk amethibitisha kushambuliwa kwa makombora mengi na Urusi katika mji wake kusini-magharibi mwa Ukraine.
Katika ujumbe wa Facebook, alisema:
"Adui alipiga Frankivsk."
Aliwataka watu kutoshiriki picha na video za milipuko hiyo na alionekana kupendekeza mfumo wa kengele maana mfumo wa makombora haufanyi kazi.
Na aliwaonya wakazi wa wilaya za Krykhivtsi, Chukalovka, Opryshivtsi, Gorodok wasiondoke majumbani mwao.
"Kaa nyumbani kwa usalama wako! Wakati hatari itapita - nitakufahamisha," anaongeza.
Vikosi vinavyoungwa mkono na Urusi vilikamata Volnovakha, ripoti zinasema
Huku mashambulizi mapya yakiripotiwa nchini kote Ukraine, sasa kuna ripoti kwamba watu wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi wameuteka mji muhimu wa kimkakati wa Volnovakha, kaskazini mwa bandari iliyozingirwa ya Mariupol, shirika la habari la RIA limenukuu wizara ya ulinzi ya Urusi ikisema.
Chanzo: BBC swahiliView attachment 2148677
Kamvamiaje bila kosa mzee, unajua maana ya mkataba kweli wewe?ACHA UJINGA WEWE MRUSI KUMVAMIA UKRAINE BILA KOSA, ACHA UTOTO.
Mpka wanyama hata wew ukiwa pale utaongozwaUyo mayor mpya ana ongoza vifaru au nini[emoji28][emoji28]
Ndo wewe huyo sasa.Sharp mind
As applied to mental qualities, sharp, keen, intelligent, quick have varying implications. Sharp suggests an acute, sensitive, alert, penetrating quality: a sharp mind. Keen implies observant, incisive, and vigorous: a keen intellect.