Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Bei ya mafuta 3.8Litre ni $4.32 in USA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mbona unafokafoka sana kama mwalimu wa hisabati, shida nini haswa.Kichwa maji ni wewe na ugoro uliojaza kichwani alafu jifunze kutoa hoja bila kuleta matusi, alafu mkuu mbona mishipa ya shingo inakutoka na wakati wanaopigana ni ukrain na urusi ama wewe ni mrusi wa mchamba wima nini
Japo tunapingana kimitazamo ila mzee hii ngoma ikitushukia na kufika bongo sisi wazee wa videbe balaa tunalo aisee yaani lazima boda wapige ela maana watu wengi ni lazima tupaki magariBei ya mafuta 3.8Litre ni $4.32 in USA.
kwan si atengeneze na yy tu.si Pottasim tu mbona hela.anayo ajenge tu kiwanda atemgese ye mwemyeweHiii ngoma bado sana kwa mwaka usa ananunua karibia 96% ya potassium fertilizer toka russia akipigwa sanctions je? Ataenda nunua venezuela
Safi sana....maslahi ya nchi kwanzaVenezuela is Russia's ally, but ready to sell oil to US – minister
Caracas is ready to restore oil trade with the US provided it recognizes legitimacy of President Nicolas Maduro.
Venezuela’s Minister of Foreign Affairs, Felix Plasencia, has said Caracas would be ready to sell oil to the United States again, while remaining “loyal” to Moscow.
Daaaah umenchekesha mwanangu , ticha wa hisabati tena!mkuu mbona unafokafoka sana kama mwalimu wa hisabati, shida nini haswa.
Ni muuzaji mkuu wa mboleakwan si atengeneze na yy tu.si Pottasim tu mbona hela.anayo ajenge tu kiwanda atemgese ye mwemyewe
haha maana naona unawafokea kana kwamba wamefeli somo kimkoa na ni private schoolDaaaah umenchekesha mwanangu , ticha wa hisabati tena!
Ertugrul Vladimir put-inHivi tunaongea Putin ameshamsimika meya mpya wa waUkraine huko Melitopol, Mariupol baada ya kumfuta kazi meya wa Zelensky.
Mwambieni Zelensky naye ajiandae kufutwa kazi, siku zake zinahesabika
View attachment 2148530
[emoji848]Huu ubabe sio wa kawaida,eti kujiweka salama
Binadamu ni kiumbe kibinafsi sana
Alete vikwazo vyake basi na nmeongea classmate wangu Kim Jong Un kesho anatest kombora la masafa ya Kati linalokimbia kwa kasi ya sautiThe capital of Iraqi Kurdistan, the city of Erbil, was attacked by rocket fire near the US consulate. Videos are posted on social media.
The strike, previously, could have been delivered from the territory of Iran. Galip SV Liwagu
View attachment 2148536
Noma sana!Walitaka chai sasa wanalia eti inawaunguza.
Wewe mzungu unafanya nini humu!?Afrika jinga sana, badala ya kuhangaika na matatizo yetu,sie tunakaa nyuma ya keyboard Kushabikia ya wenzetu huko.