Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,122
- 1,629
na anaomba asaidiwe kuipozaAlitaka chai, sasa mbona anasema inamuunguza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na anaomba asaidiwe kuipozaAlitaka chai, sasa mbona anasema inamuunguza.
Mboleapotash hutumika kufanyia nin
Hawez kuzuia potash atazisource wapi kwa ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hv kwani pale aliposema "ending normal trade relation" alikuwa na maana ipi...
Kwa siku nchi za ulaya zinanunua mafuta na gesi ya usd b1Na kingine nawaza kama upande flan ungekuwa na mihemko kwenye maamuzi kama wanavofanyiwa wao kutoka upande mwingine sa hivi tungekuwa tunazungumza mengine...
Kwe kipengele cha nishati tu pekee hivi vingine ukivituliza kwanza itokee a'cut supply ghafla itakuaje...? Wapi na nchi ipi inayoeza fidia hilo gap linaloachwa.
Kama sasa anaendelea na supply ila bei inaendelea kupepea tu kiasi kwamba tumeona apo Italy kuna viwanda vina-suspend uzalishaji kwasabab sio economical kutokana na bei y Umeme kupanda.
Bei ya nishati ikikua inaleta athari gani katika sekta zingine....? Uzalishaji mpk usafirishaji... Na bidhaa ya mwisho kwa Raia itakuaje?
Zaidi kama kuna unafiki hivi ndani yake ambao me binafs sijaelewa kabisa.
Wana'seizure mali za ma Oligarch wa kirusi, wanazuia mifereji yote ya fedha inayoenda serikalin urusi ila siku zote tangu hii vita ianze wanaendelea kupokea Oil and Gas kutoka Russia that means wanapelekea fedha Russia...
Kuna kijireport nilikisoma jana kua EU within siku 12 toka vita ianze imeshalipia more than 10Billions USDollar kwa ajil ya Oil na Gas kutoka Russia.
Hii ikoje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2148648
The Hague ni kwa ajili ya viongozi wa Kiafrika.Hii excuse itawapeleka The Hague
tupe news kuhusu mariupol naskia imekwendaaaaaPutin amuweka boss wa intelijensia na naibu wake,kwenye kifungo Cha nyumbani:
Numerous reports have surfaced claiming that Putin has placed Sergey Beseda, the director of the FSB’s foreign intelligence section 5th department, and his deputy under house arrest.
They have allegedly been charged with embezzlement and "low quality intelligence" regarding the invasion of Ukraine. Allegations state that Beseda hugely exaggerated pro-Russian sentiments and lied to Putin regarding the viability of the invasion and annexation of Ukraine. More to follow.
View attachment 2148644
View attachment 2148645
unatuletea habari zilizokwisha pita au ndio umeweka bando saivi la kuperuziPutin kwa kukosa mikakati madhuhuti ya vita, amekwenda kuwadhalilisha wanajeshi wake Ukraine 🤔
There was a site for Russians who want to surrender
A website has appeared in Ukraine for Russian and Belarusian soldiers who want to surrender and/or fight on the side of Ukraine. The military of the aggressor countries is promised compliance with the requirements of the Geneva Convention.
The site contains contacts of government organizations and detailed instructions on how to surrender. There are also links for donations to the needs of the Armed Forces of Ukraine and a list of reliable sources of information.
The site works in 4 languages: Ukrainian, Russian, English and Belarusian.
👉 Go to the website: DefenseUa | Сохраним Украину вместе! 💙💛
View attachment 2148661
Kwann hazuii wakati USA anaendelea kumwekea vikwazo?Yaan akizuia to potash usa chalii
Vikwazo vya kuzuia YouTube. Be seriouse kidogo mwanangu.Kwann hazuii wakati USA anaendelea kumwekea vikwazo?
Kumbe ni youtube imezuiwa, okey sawa.Vikwazo vya kuzuia YouTube. Be seriouse kidogo mwanangu.
Wewe ndo mpumbavu maana umeavamia mada usio ijua acha tabia hiiSasa unaendeleza huo upumbavu wako. Ulikuwa unajadiliana na mwingine sasa unanigeukia mimi? Ebo
Kati yetu na nyinyi nani amepanic nynyi ndo mmepanic mpaka mmeamua kukodi jihadist na hapo mwanzo mlijinasibu kuwa mna jeshi chuma kumbe jeshi lenu ni la mabuwa cheche moja shamba zima la mabua linaunguaInaonekana kama umepaniki sababu mambo hayaendi mlivyokuwa mnadhani
Hawa jamaa ni wehu kweli yaani ata mimi ndo nko nashangaa apaUyo mayor mpya ana ongoza vifaru au nini[emoji28][emoji28]
Kichwa maji ni wewe na ugoro uliojaza kichwani alafu jifunze kutoa hoja bila kuleta matusi, alafu mkuu mbona mishipa ya shingo inakutoka na wakati wanaopigana ni ukrain na urusi ama wewe ni mrusi wa mchamba wima niniAsante we ndo Genius una akili hongera....
Ila ujifunze ata kutofautisha kwa utashi wako sio ushabiki wa kijinga ulioujaza kichwani....
Na yaonekana hata Vifaru vya pande zote mbili huvijui wala hayo majesh ya upande huu na ule huyajui... Upo upo tu n ushabiki wako wa kimaandazi ukifikir wote tunafanana....
Haya hizo tank mbili za mwanzo ni za Mrusi au kichwa maji yamekujaa yanatafuta sehem ya kumwagikia...?
Utumie akili ako acha mihemko na ushabiki wa kike....
Hilo tank la tatu kwe hii picha ndoo la mrusi... Je linafanana na hayo mawili ya mwanzo?
Si una macho wewe au umerogwa nazungumza na msukule apa?
Kifaru cha urusi kina rangi ya njano? Mna midudu gani kichwani nyie???? View attachment 2148560View attachment 2148563View attachment 2148565
Wewe ni mtoto kama watoto wengine, alafu mwisho wa siku kipigo kiko pale pale uchukie ama ufurahie balaa liko pale pale mmeingizwa chaka na yule mzeeHii ndo comment yangu ya mwisho kwako af nakupuuza... Sirumban na watoto Mr... Bora ukatafte kazi zingine za kufanya...View attachment 2148566