LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mpaka Sasa Nikolaev, Mariupol, Maliutopol imeshaanguka mikononi mwa Mrusi.
Bado Odessa ili Urusi iwe imeichukua miji yote ya Mashariki na kaskazini mashariki mwa Ukraine.

Bado kiev, Irpin, Dniper ili iwe Ukraine imekamatwa katikati na itakuwa miji yote imeshatwaliwa.

Labda watabaki na LYIV wa kule Magharibi ambao nao umeanza kupigwa maroketi
Usilete taarabu shekhe izi habari za kimbea tumekukataza tangia jana andika habari zinazoonyesha chanzo cha habari na sio umekaa umeshiba kahawa alafu unaleta hizi habaro za kimbea kama kina Juma lokole!!
 
Screenshot_20220313-074600.png
 
At least act like a grown man uache kukurupuka.... Hyo mihemko haikusaidii zaidi ya kukutia stress tu...

Hicho kifaru cha kwanza kina alama Z???? Kina tifauti na hicho cha pili kilichopakwa Z na wanajesh wenyewe.... Hivi ata sare za jeshi Ukraine unazijua???

Tumien utashi wenu bn acheni hayo mahabba mpaka mnaboa yani

Tumia akili bas jomba narudia tena hyo mihemko haikusaidii kitu zaidi utajikondesha kwaa mawazo....View attachment 2148360View attachment 2148362
Wewe ndo huna akili na una mihemko ya kitoto alama z na v zinatumiwa na vifaa na askari wa Kirusi sawa bwana usilete habari z upotoshaji as if wewe pekee ndo mwenye macho ama maskio na sisi wengine hatuna macho wala maskio
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sibishani na watoto mie... Endelea kubwabwaja tu jomba we usie na shida kichwani. Mwenye akili zako au sio...
Wewe ndo mtoto kwa apa sababu unaandika habari za kimbea na upotoshaji alafu madai yako unadhani uko sahihi rekebisha ni umepotosha bhana acha kumtisha mwenzio
 
Usilete taarabu shekhe izi habari za kimbea tumekukataza tangia jana andika habari zinazoonyesha chanzo cha habari na sio umekaa umeshiba kahawa alafu unaleta hizi habaro za kimbea kama kina Juma lokole!!
Kwanza Juma lokole ndio nani?
Umbea ndio nini?
Una ushahidi kwamba Mimi ni sheikh?
Habari ipi hiyo?
 
Mimi natamani akimaliza ukraine amgeukie us unajua hawa wazungu wa europe wnajiona wao ni kila kitu wanyooshwe tuu
Ni kila kitu ndio hata ww maisha yako hayo ya sekwen vitu kibao unawategemea wao
 
Hivi tunaongea Putin ameshamsimika meya mpya wa waUkraine huko Melitopol, Mariupol baada ya kumfuta kazi meya wa Zelensky.

Mwambieni Zelensky naye ajiandae kufutwa kazi, siku zake zinahesabika

View attachment 2148530
Chanzo cha habari yako ni kipi yaani uyo mayor atamuongoza nani na atamtawala nani lete source ama hizi habari za kimbea waachie kina juma lokole
 

Venezuela is Russia's ally, but ready to sell oil to US – minister​

Caracas is ready to restore oil trade with the US provided it recognizes legitimacy of President Nicolas Maduro.

Venezuela’s Minister of Foreign Affairs, Felix Plasencia, has said Caracas would be ready to sell oil to the United States again, while remaining “loyal” to Moscow.
Hiii ngoma bado sana kwa mwaka usa ananunua karibia 96% ya potassium fertilizer toka russia akipigwa sanctions je? Ataenda nunua venezuela
 
Kama zinawarudia kidogo kidogo na kuelewa warusi wanachokitaka.
===
Ukraine’s prospects of joining NATO are not “relevant” or “on the agenda for the near future,” the alliance’s secretary general, Jens Stoltenberg, admitted on Friday, speaking on the panel of a discussion billed as ‘The price of peace or the cost of war?’ at the Antalya Diplomacy Forum in Turkey.

“It is for Ukraine to decide whether they want to aspire for membership. And then it’s of course for 30 NATO allies to decide whether Ukraine is ready for membership,” Stoltenberg said.

“It has been clear for a long time that membership, for Ukraine, was not something that was imminent, nor something which is relevant in the near future. But, again, this is the principle of respecting every nation’s right to choose their own path.”
 
Back
Top Bottom