Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Mkuu hiyo mbinu yajulikana kwa jina la 'medieval siege tactics' au 'siege tactics'.Hivi hii mbinu inaitwaje?
Ktk mbinu hiyo, mji unaolindwa sana na majeshi yake (mfano miji ya Ukraine) inzingirwa na majeshi mageni (ya Russia), mawasiliano yake na njia za kuingiza silaha, wapiganaji wengine (toka miji jirani) na vyakula vyazuiwa, kisha moto mkali (mvua za makombora na mabomu) wapelekwa ndani ya mji huo hadi wanaoulinda wanalegea, kisha unajichukulia mji.
Russia huipendelea sana mbinu hiyo ktk oparesheni zake za kijeshi. Amewahi kutumia mbinu hizo huko Chechnya na Syria, na sasa Ukraine
=======
Russia is deploying brutal siege tactics in Ukraine
Mass bombardments and cluster munitions are reminiscent of the wars in Syria and Chechnya.