LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mtu hajui economics analeta mahaba kwenye vitu siriaz yaani wanaamin Russia ataumia wakt mpaka wao vitawahusu. Kwa kinachoendelea EPL kama Chelsea atashindwa sababu ya UKATA wachezaji kuna uwezekano wasilipwe mishahara yao tim imefungiwa account.

Chelsea akishindwa itapelekea tim zingine zigome kucheza kumbuka wenzetu wanaumoja sana. Tim zikigoma kucheza sponsors watasitisha mikataba itaathiri mapato ya tim, itaathir mapato ya EPL Zile Tv zinazirusha matangazo zitakosa wateja mfano DSTV kama hurushi EPL nan atanunua packages?? Itaathiri uchumi worldwide. West wasilete ubabe kwenye vitu kama hv shida wanashinikizwa na biden, unaona kabisa vikwazo vya kupaniki.

Huko italy viwanda vinafungwa, huko ujeruman viwanda vya magari vinategemea sana nishati kama production iko juu unafikir nini? Hawa wasipokaa mezani na Russia uchumi duniani utaanguka sana hapa namwona china atakavokuja juu sana.

Biden ajue anampa nafasi china acha walale wakishtuka muda umekwenda dunia ya sasa imechoka na utawala wa kidhalimu wa marakani mataifa mengi yanalia ndani kwa ndani. Siku ya kuanguka kwa US tutaskia mengi sana. Je ni kweli yale yaliyotabiliwa kwenye bible yanakwenda timia??????
Joe Bidaen na USA wake wapo kifursa zaidi-ni wazi kuwa ili uwe super power wa Dunia lazima uwe na nguvu za kijeshi & Uchumi.USA aliupata U super power by propaganda alikuwa na nguvu ya Uchumi lakini alikiwa anazidiwa na nguvu za kijeshi na Russia.

Hadi sasa USA ana nguvu za kiuchumi,bado Russia anamzidi katika nguvu za kijeshi-USA anajua kabisa itamchukua China miaka mingi kumfikia katika Nguvu za kiuchumi,vilevile itamuchukua China years kumzidi Russia&USA nguvu za kiuchumi,so kwake ni bora China aendelee Ku grow katika Uchumi lakini aendelee kumshusha Urusi kijeshi kwa kutumia sanction za kiuchumi na kuendelea kudidimiza chumi za western Countries ili aweze ku ziweka under control.

Kumbuka the big mission ya USA ni
1.kupunguza nguvu za kijeshi z Urusi
2.Kuziweka kwapani kwake Nchi za Ulaya.
3.Kuishusha China kiuchumi-
 
Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.

Tena kama hujui elewa kwamba ni warusi hao hao ndio watakaowachuuza kwa waukraine. Wanajeshi wengi wa Russia hawataki hivi vita, wanasema hawaoni sababu ya kupigana na Ukraine.
Hao wanajeshi wengi wa Russia ambao hawataki vita uliwasikia wapi wakisema Mkuu??.Kazi ya mwanajeshi ni Ku obey order kazi yao sio kukubali au kukataa.
 
Joe Bidaen na USA wake wapo kifursa zaidi-ni wazi kuwa ili uwe super power wa Dunia lazima uwe na nguvu za kijeshi & Uchumi.USA aliupata U super power by propaganda alikuwa na nguvu ya Uchumi lakini alikiwa anazidiwa na nguvu za kijeshi na Russia.

Hadi sasa USA ana nguvu za kiuchumi,bado Russia anamzidi katika nguvu za kijeshi-USA anajua kabisa itamchukua China miaka mingi kumfikia katika Nguvu za kiuchumi,vilevile itamuchukua China years kumzidi Russia&USA nguvu za kiuchumi,so kwake ni bora China aendelee Ku grow katika Uchumi lakini aendelee kumshusha Urusi kijeshi kwa kutumia sanction za kiuchumi na kuendelea kudidimiza chumi za western Countries ili aweze ku ziweka under control.

Kumbuka the big mission ya USA ni
1.kupunguza nguvu za kijeshi z Urusi
2.Kuziweka kwapani kwake Nchi za Ulaya.
3.Kuishusha China kiuchumi-
Uchambuzi huo ulijifunza wapi!?
 
Ninavyosoma comment nagundua kuwa warusi wengi wachangiaji humu hawaichukii Ukraine ila wanamchukia USA.

Wanafurahi sababu Urusi anathibitisha kuwa anaweza kupiga na asizuiwe na yoyote akiwemo USA, na sio kwamba wanafurahia Ukraine kupigwa.

Chuki kwa USA na Furaha ya kuona Urusi ikithibitisha kwa USA kuwa yeye ni mbabe ni kubwa inafunika huzuni yao kwa Ukraine.

Ni sawa na umchukie mtu kiasi cha kwamba ukikutana na ndugu yake anaibiwa unafurahi hata kama huyo ndugu yake hana ugomvi na wewe.
 
[emoji1082][emoji1255] Croatian Prime Minister Andrej Plenkovic is concerned that a Ukrainian drone crashed on the outskirts of the Croatian capital, while NATO air defenses were unable to prevent it.

[emoji1082][emoji1255] Waziri Mkuu wa Croatia Andrej Plenkovic ana wasiwasi kwamba ndege isiyo na rubani ya Ukraine ilianguka kwenye viunga vya mji mkuu wa Croatia, wakati ulinzi wa anga wa NATO haukuweza kuizuia
 
Ninavyosoma comment nagundua kuwa warusi wengi wachangiaji humu hawaichukii Ukraine ila wanamchukia USA.

Wanafurahi sababu Urusi anathibitisha kuwa anaweza kupiga na asizuiwe na yoyote akiwemo USA, na sio kwamba wanafurahia Ukraine kupigwa.

Chuki kwa USA na Furaha ya kuona Urusi ikithibitisha kwa USA kuwa yeye ni mbabe ni kubwa inafunika huzuni yao kwa Ukraine.

Ni sawa na umchukie mtu kiasi cha kwamba ukikutana na ndugu yake anaibiwa unafurahi hata kama huyo ndugu yake hana ugomvi na wewe.
Asante kwa kuchangia. Huo ndio uhuru wa kutoa mawazo.
 
Perfectly said
Ninavyosoma comment nagundua kuwa warusi wengi wachangiaji humu hawaichukii Ukraine ila wanamchukia USA.

Wanafurahi sababu Urusi anathibitisha kuwa anaweza kupiga na asizuiwe na yoyote akiwemo USA, na sio kwamba wanafurahia Ukraine kupigwa.

Chuki kwa USA na Furaha ya kuona Urusi ikithibitisha kwa USA kuwa yeye ni mbabe ni kubwa inafunika huzuni yao kwa Ukraine.

Ni sawa na umchukie mtu kiasi cha kwamba ukikutana na ndugu yake anaibiwa unafurahi hata kama huyo ndugu yake hana ugomvi na wewe.
 
Mpendwa, Ukraine imelalamika tangu miaka 12 kuwa NATO hakupokea Ukraine. NATO haiko Ukraine, kama ingekuwepo Urusi ingeogopa kuivamia. (Kama umemsikia mheshimiwa Rais Putin, aliona sehmu zote za Umoja wa Kisovyeti wa zamani zisingeruhusiwa kuondoka; sasa anashambulia Ukraine (ambayo si NATO) lakini hajagusa Latvia, Estonia, Lithuania ambao ni NATO.

Tuangalie pamoja jinsi gani genius Putin anazamisha uchumi wake.
Ukraine waliachana na silaha za nyuklia nyingi mwaka 1993 na kuzikabidhi kwa Urusi. Wakati ule Urusi iliahidi kimaandishi kuliunda umoja na usalama wa Ukraine. ("Paris agreement")
Tuangalie jinsi gani genius Putin anaongeza sifa za nchi yake na imani katika ahadi zake!
(Ukiwa na kijitabu cha historia soma tena: Marekani walichukia Kuba na Castro, walitisha vita wakati Warusi walileta makombora ya nyuklia, baada ya kuondoka kwa silaha waliendelea kuishi na jirani Kuba kwa kumchukia LAKINI bila kuvamia, bila kurusha mabomu, bila kuchinja watoto wake... - endelea kulinganisha!!)
Mkuu usituchoshe,haya mambo yamisha ongelewa sana sio tu JF katafute kwa nini USA&NATO wanaihitaji Ukraine zaidi kuliko Nchi yoyote ile iliyo karibu na Russia.Pia tafuta sababu kwa nini Russia haikufanya chochote kwa Nchi zingine jirani zilipojiunga NATO,huku wakiwakatalia Ukraine kutojiunga.
 
Turkish Foreign Minister Mevlut Cavusoglu recalled that during telephone conversations with Turkish President Vladimir Putin said that he was not against meeting with Vladimir Zelensky.

“We are zealous in order to organize a meeting of leaders... In principle, during telephone conversations with our president, Putin said that he was not against such a meeting... The Ukrainian side is ready,” Cavusoglu said. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Ninavyosoma comment nagundua kuwa warusi wengi wachangiaji humu hawaichukii Ukraine ila wanamchukia USA.

Wanafurahi sababu Urusi anathibitisha kuwa anaweza kupiga na asizuiwe na yoyote akiwemo USA, na sio kwamba wanafurahia Ukraine kupigwa.

Chuki kwa USA na Furaha ya kuona Urusi ikithibitisha kwa USA kuwa yeye ni mbabe ni kubwa inafunika huzuni yao kwa Ukraine.

Ni sawa na umchukie mtu kiasi cha kwamba ukikutana na ndugu yake anaibiwa unafurahi hata kama huyo ndugu yake hana ugomvi na wewe.
Kweli tupu
 
Back
Top Bottom