Kaka unajaribu kufanya mizaha kuhusu mambo ambayo huelewi.
Unajaribu kufanya mzaha kuhusu vita ya nyuklia. Je unajua kama ingetokea, wewe utakufa pia?
Umewahi kukdiria idadi ya silaha za nyuklia zinazopatikana pande zote?? Urusi hapa, Nato (MArekani, Uingereza, Ufaransa) pia?
Umewahi kujifunza kidogo kuhusu mifumo inayoandaliwa tangu miaka 60 jinsi ya kutumia silaha hizo na kujibu kama upande mwingine unaanza kuzitumia?
Umewahi kutumia punje ya akili yako matokeo yatakuwaje?
Neno la "nuclear winter" umewahi kusikia??
Basi endelea na mizaha yako ya kitoto.