Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ajaribu aone
Vita mmarekani keshaingia Urusi anawatandika Barabara kwa vikwazo wa Russia kibao kwa maelfu wanakimbia Urusi kuwa wakimbizi nchi za iliyokuwa Urusi ya zamani wanakimbia hali ngumu ya maisha iliyosababishwa na vikwazo

Vita za kileo sio lazima urushe mirisasi naona wewe unaishi enzi za vita za mawe
 
US ni mfarakanishi, kwa sababu ana nguvu ndio maana anaweza kufanya jambo asiulizwe, lakini wenzake wakifanya anahoji na kuwapiga sanctions. Yeye akifanya mengi maovu, kaingilia Iraq kwa propaganda za mass destruction weapons, kwenda Afghanistan kwa kumtafuta bin Laden, kaenda Libya kumuua Gaddafi, yote kafanya na hakuna aliyenyanyua mdomo.

Watu tuna chuki na US sio poa.
Ukweli ni kidogo tofauti. Wakati Marekani iliingia katika Iraki mara ya kwanza, majirani wote waliiomba maana aliwahi kuvamia Kuwait (kidogo kama Putin anavamia Ukrainbe, maana Saddam alisema Kuwait si nchi), wakati wa pili aliigia kwa uwongo, nchi nyingi za NATO zilikataa na kupibnga (mfano Ujerumani).
Afghanistan chanzo kilikuwa mashambulio ya Bin Laden dhidi Marekani na Taliban kukataa kumfukuza Bin Laden; baadaye serikali nyingi zhiliendelea kushikamana nao ingawa raiu wengi wa NATO walipinga;
Gaddafi - msingi ulikuwa azimio la baraza la Umoja wa Mataifa kutumia nguvu ya kijeshi kusimamisha mauaji wa raia wa Libya na jeshi la Gaddafi. Aliuawa na wananchi wake.
 
On the morning of March 13, the Russian Armed Forces launched a strike with long-range precision weapons on Ukrainian training centers in the village of Starichi and at the Yavorovsky military training ground, the Russian Defense Ministry said.

It is noted that as a result of the strikes, up to 180 foreign mercenaries were destroyed.
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Only 30 of the 200 foreign mercenaries who arrived in Ukraine decided to fight, the rest changed their minds.

This was written in social networks by the American military commander Nolan Peterson.

According to him, the transit point where the military mercenaries were located was subjected to rocket fire today.

Today it became known that the Russian Armed Forces hit the Yavoriv training ground near Lviv, where since 2015 NATO instructors have been teaching Ukrainian nationalists how to wage war. Later, the Russian Defense Ministry stated that 180 foreign mercenaries were killed during the shelling. Galip SV Liwagu Frustration
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Unaambiaa marcedes wanahaha uko walidhani matajir wa Russia pekee inawahusu mpaka kwao hii inaitwa JINO KWA JINO hizi pesa zote wanapoteza kisa Siasa[emoji119]

View attachment 2149213
USA Walifikiri Russia ni kijiji, hiyo ni sawa na kukata mshipa mkubwa wa damu na kuiacha ikivuja na kudai kwamba uta survive.
 
Majenerali gani wanaenda uwanja wa vita. Kufanya nini sasa, hakuna General anaendesha kifaru wala ndege wala gari wala kurusha risasi. Sasa frontline anaenda kufanya nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko unakubali issue za kuua Mageneral tunapigwa???...

Sema kwe hii vita kuna mengi bnafs najifunza.... Media zina Power sana.

Tuhuma flan inaeza sambaa mpk kufikia hatua ya kuikanusha yahtajika kazi ya ziada.
 
Nimesema picha hiyo ni ya deputy wa head of 5th Service, ya msaidizi sijaipata mtandaoni (labda ulete screenshot ya video, ambayo sijaileta iko blurry na hiyo sio picha). Wewe unasema eti picha ni ya Head wa 5th Service. Hujui tofauti ya Head of... VS Deputy Head of...

Again, hufai kuwa mbishi
Uandishi wako mbovu, ndio maana hueleweki.

Tujaalie hivyo kuwa madai yako ni kuwa picha ya Head of the 5th Service of the FSB, Sergey Beseda, ndio haipatikani mtandaoni.

Mie nakuwekea hapa picha zake zipo clear na zapatikana mtandaoni.

Siku nyingine usikurupuke kuhitimisha mambo ambayo hujayafanyia utafiti wa kutosha

SmartSelect_20220313-193432_Chrome.jpg



SmartSelect_20220313-193226_Chrome.jpg


T14 Armata uje hapa, usijifanye hujaona
 
Hata hiyo 17.5 ipo ndani ya Urusi,western wanapindisha pindisha tu kwa lengo la ku undermine.
eee Bwana unajiita "metrician" (yaani mwenye kipimo) na huna habari za vipimo???? Orodha unalokosoa ni sahihi kabisa. Unajadili tena jambo ambalo huna habari.
Hizo asilimia 17,5 za eneo la bara Ulaya (ambazo unasema ziko ndani ya Urusi) ni nchi zifuatazo: Belarus , Ugiriki, Bulgaria , Iceland , Hungaria , Ureno , Austria , Ucheki , Serbia , Ireland , Lithuania , Latvia , Croatia , Bosnia na Herzegovina , Slovakia , Estonia , Denmark , Uswisi, Uholanzi , Moldova , Ubelgiji, Albania , Masedonia Kaskazini, Uturuki (sehemu), Slovenia , Montenegro , Kosovo , Luxemburg , Andorra , Malta , Liechtenstein , San Marino , Monaco , Vatican City

Bila shaka hujawahi kusikia hata jina moja?? Kumbe hazipo kichwani mwako hivyo hazipo duniani?? Hongera Bwana Metrician!!!
 
Nasubiria za kirusi halafu putin kala rushwa mbona hapigi vikwazo natamani aanze na mbolea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu... Eti kala Rushwa dah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] But naona kafanya vizuri kutojib kikwazo kwa kikwazo... na hyo ndo inaonesha maturity ya mtu tfaut na West walivopunic mpk kupiga biashara ya "Gongo" kupelekwa Russia.

Vita ya kiuchumi ukizingatia hyo ratio ya over 30% natural resource kwe population ya less than 1.5% world wide tunapata shida wote mpk sie tusiohusika kwenye hayo mambo yao thou mpk sasa dalil za wazi zshaanza kuonekana...

Anyway huu mzozo uishe tu... Tuanze kusubir uchaguz w USA ule wa kati miezi minane ijayo... Tuzipime vizuri "Reactions za Biden kwe huu mzozo kwa Raia wake kwenye box la kura"

Apa nijipambanue vizuri isije katoto ka1 kakaja mbio kuuliza uchaguzi gani na kelele juu... Huu ni uchaguzi wao wanaita Mid term election ambayo hufanyika kila baada ya miaka miwili kwa senators na representatives...
 
Back
Top Bottom