johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Unataka vitendo gani?Marekani nao wamebaki kuongea tu hakuna vitendo
Unataka vitendo gani?Marekani nao wamebaki kuongea tu hakuna vitendo
Watende waone,Marekani nao wamebaki kuongea tu hakuna vitendo
Nashangaa!! naona hizi ni zaidi ya propagandaMh.....Putin
huyu huyu? Mbona Urusi ndio wenye silaha kuizidi China
Labda aiombe msaada wa hela
Kwanini alichokoza nyuki?Fair play mkuu, sasa kama the west wapo zaidi ya kumi yeye yupo peke yake , atakuwa exhausted lazima, anajiwahi,
Russia apigwe harakaUnataka vitendo gani?
Kama yamepelekwa china, kwanini mtu wa Washington atoe Taarifa wakati hana? Uzuri wa Mmarekani anajua kuaminisha uongo na hapo badoMkuu maombi yamepelekwa China sio Washington. Huyo balozi asubiri tu kupewa taarifa. Kwa sasa hana hizo taarifa aendelee na majukumu yake ya kibalozi hapo Washington
Marekani ni baba wa ulimwenguWatende waone,
Kachokozwa, walikubaliana kuwa wale wengine wameingia NATO lakini Ukraine asiingie , daima abakie neutral,Kwanini alichokoza nyuki?
Russia yuko na Belarus pamoja na mercenary wake Wagner GroupFair play mkuu, sasa kama the west wapo zaidi ya kumi yeye yupo peke yake , atakuwa exhausted lazima, anajiwahi,
Sasa ndio atajua hajui!Kachokozwa, walikubaliana kuwa wale wengine wameingia NATO lakini Ukraine asiingie , daima abakie neutral,
Msaada umeombwa Beijing anaekanusha yupo Washington.Habari hiyo ya kuwa Russia imeomba msaada wa vifaa vya kijeshi China ni ya kizushi. China wameshakanusha uvumi huo.
![]()
China says never heard of Russian requests for help in Ukraine conflict
Washington [US], March 14 (ANI): China's embassy in Washington has denied reports that Moscow had asked Beijing for military equipment hours after media reports emerged that Moscow sought military assistance including procurement of drones.www.aninews.in
Waajabu sana hawa. Zelensky jana analia anaomba NATO wafunge anga, angekua na ubavu angelia? Si angelifunga mwenyewe? 😁Sasa mbona mnapiga kelele zakutaka amani?? Kama nimlaini nendeni mkamtomase
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata waliopangiwa kuibuliwa na hii vita bado hawajaanza kula faida, lazima ufalme fulani uanguke na msimu mpya uanze hapo,Hii vita ya kijinga sana sijui kwanini bado haijaisha mpaka leo.
zile silaha za nuclear putin alishasema sio toy.Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.
Lesson: Don't play with big boys.
Ni pesa apo mkuuMh.....Putin
huyu huyu? Mbona Urusi ndio wenye silaha kuizidi China
Labda aiombe msaada wa hela
Hakuna vita ambayo haina PROPAGANDAWazungu sio waong0 kama sisi weusi
Aseme uongo ili iweje? Ndio maana wamefika huko waliko
Wakisema Amini