Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkataba wa kiusalama tu mkuu, zenji hawezi kualika maharamia kwa kuwa ati yeye ni sovereign wakati ni memba wa muungano na sisi! Tuna act kama protectors na wao lazima watu protect pia ila wakianza kukaribisha mamluki haipendezi na ni lazma tuhoji.

Ni sawa na mkeo aamue kupanda kitandani akiwa ameshika kisu kisha umuulize kwanini anafanya hivyo akwambie ana uhuru wa kufanya anachojiskia usimpangie. Sijui kama unaweza ukapata hata lepe la usingizi😅
Watu hawaelewi hiyo dhana ya uhuru na mapana yake.
Ety tuko kwenye meli katikati ya bahari mwenye meli
aamue kuitoboa tundu meli useme ana uhuru wa kufanya hivyo kwa sababu ni yake,
wakati anahatarisha usalama wangu hata kama nimeomba lift sitakubali.
 
Mrusi zaidi ya Nuclear ni Chui wa Karatasi.
Aisee sasa alianzaje kutoa ule mkwara wa kusema nchi yeyote itakayoingilia kati itapata pigo la kihistoria kama hata magazine hana za kutosha

Ukraine yeye anasema mtu yeyote anayetaka kuisupport ukraine aje atapewa silaha, means kwamba ukraine bado wana silaha za kutosha ku handle hii vita

Ila mrusi kama kweli haya mambo ni kweli na sio propaganda ni bora asingeingia kwenye vita ili kuitunza heshima yake na CV ya nchi ambayo ni hatari kijeshi na inayoongoza kwa silaha nzito za maangamizi
 
Pamoja na kuomba msaada wa silaha China, pia Putin kwa sasa anakodisha wapiganaji mamluki toka Uarabuni kuja kusaidia mapigano maana maji yanaelekea kuzidi unga😊




Maji ya shingo 🤣🤣🤣
 
Russia yaiomba China msaada wa Silaha na usaidizi mwingine ili kukabiliana na upinzani wa vita nchini Ukaraine,serikali ya Marekani imeripoti huku ikiionya China kuwa isithubutu kutoa msaada wowote kwa Russia la sivyo itakabiliana na vikwazo vikali.View attachment 2149725View attachment 2149726View attachment 2149727View attachment 2149729
Putin hana sababu ya kuendelea na hivi vita. Mpaka kuomba msaada Ina maana mambo ni magumu.Akae TU kwenye meza ya mazungumzo na kujiondoa Ukraine 🤔
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjomba unajitekenya na kucheka mwenyewe...

Kwani alyeanza kuzuia vitu au kuweka viwazo ni Russia au Western? Nimekuuliza swali jepesi tu ka lengo lla Western ni kuua uchumi wa Russia na kuhakikisha hakuna thumuni inayoingia pale why bdo wanaendelea kulipia every day 1USD Billion kwa delivery ya Gas kwenye nchi zao mpk dakk hii naandika apa.

Unaenda kunyanganya Club kwa mtu aliye karib na Putin... Club yenye value ya less than 3Billion Dollars akat huo huo mnapeleka pesa kila uchao kununua Gas yake...

Hivi na kwa akili ako unawaza China India Brazil na wa kupokea Command kutoka western wa nn wafanye? Hyo Gulf regions yote wataungana na Russia kumuekea vikwazo...?

Kwa akil ako ilivo programmed unaamin USA ndo Dunia, unaamin Europe ndo dunia...

So mbay lakin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endeleeni kujifariji... Mda ni mwalim mzuri sana....

Ata mtoto wa darasa la pil ukimuuliza baba mmoja analipwa Mil1. Ila ana wake watatu... Na kuna mwingine Analipwa Mil1. Ila ana mke mmoja. Je ukigawa kipato kea matumizi nani atabaki na akiba haraka haraka atakwambia mwenye familia moja.

USA anazalisha about 11Million barrer per day ila ana population ya mara tatu zaid ya n ana Demand ya energy mara 16 zaidi kuliko Russia anaezalisha kiwango kile kile kwa population one third ya Marekan na Demans ya energy nchini kwake just as little as 6.25% ya nishati anayoihtaji Mmarekan na apo kwa upande mmoja tu wa nishati viwandani sijazungumzia mahitaji ya Raia katika Umeme na vifaa vya moto....

Chambua data zao vizuri Gas and Oil inatumika wapi... Why Germany why China?

Among the top manufacturing Hub ni hizi nchi apo chini...

1. China 28%
2. USA 16%
3. Japan 7.5%
4. Germany 5.3%
5. India 3.1%


Ndani ya Top 5 tu apo BRICS kuna nchi 2 ambazo kwa pa1 zinachukua More than 32% of the world Manufacturing hub af bado waidharau BRICS?

Hivi western kawapa nini nyie watu...? So kufeed hzo industry nishati utegemee Mchina na India kuungana na huyo baba enu kumpiga vita Russia?

Hujiulizi kwanini Gerrmany kaacha kufata mkumbo yeye na Rais wa Ufaransa wameanza kuzungumza na Xin Jinping kutafuta suluhu ya kidiplomasia kwenye huo Mgogoro?

Haya kwe hizo nchi 10 hakuna Russia... Maana ake nn? Demand ya Nishati kwake ukilinganisha na walioko nje ya mipaka yake iko tofauti kbs.

Hesab zingine za kitoto sana... Em chukulia mfano GDP ya Mmarekan ni Trillion 20 hivi dollars but GDP per capita ni just 63kUSD...

Total GDP ya Singapore ni 340Billion Dollars ambayo ni just 1.21% ya GDP ya mmarekani... But GDP per Capita ya Singapore ni 62kUSD ambapo wako on Par na USA

Note hyo (Hii ni GDP nominal sio GDP kwa PPP)

Sa kutoka apo kuna point hamtaki kuichukua... "Population"... "Demand"... "Supply". Mnabak mna analyze kisiasa...

Sasa siasa na Uchumi wapi na wapi... Number hazidanganyi mjomba. Kaa kwa kutulia tu tusichoshane Mjukuu wa Yahaya... Endelea kusimamia hicho hicho kilichomo akilini mwako huu mjadala tuufunge...
Kilio mseleleko, maskini nyie mna pesa za kuendesha vita hata miezi 2 kweli?

Naungana na West
 
Bulgaria yasema muda umeshaonesha wazi kuwa vikwazo tunavyoviweka (EU) dhidi ya Russia ni hatari kwa Bulgaria na Ulaya yote. Nchi za Ulaya zimeanza kuelewa jambo hili na zimeanza kuwa na upole huki zikifuata msimamo wetu. Sisi tuliwatangulia kung'amua/tambua jambo hilo.

=====


View attachment 2149794
Atakuja mswahili apa mjuzi wa mambo kuzidi Bulgaria yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisha anakwambia Russia anaenda kupotea [emoji848][emoji848][emoji848][emoji847][emoji847][emoji847]...

Waswahili kweli sie size yetu ni kuuza mchicha na kunywa kahawa haya mambo mengine yanatubaka wazi wazi...

Mihemko plus Ushabiki na ile brainwashed and Mindset programming tupo tupo ka Broiler ndani ya banda tunasubir kulishwa....
 
Russia yaiomba China msaada wa Silaha na usaidizi mwingine ili kukabiliana na upinzani wa vita nchini Ukaraine,serikali ya Marekani imeripoti huku ikiionya China kuwa isithubutu kutoa msaada wowote kwa Russia la sivyo itakabiliana na vikwazo vikali.View attachment 2149725View attachment 2149726View attachment 2149727View attachment 2149729
China hana mpango na hii vita maana kashtukizwa. Marekani ilijiandaa na kuwapanga wafuasi wake ilipojua Russia itavamiwa, Russia ilitegemea ushindi wa haraka na haikutarajia itapingwa kwa mkumbo hivyo haikujipanga na washirika wake wachache. China ndio ingetakiwa kuwa ishaivamia Taiwan ambayo actually ni eneo lake ila haijafanya hivyo leo hii iweje iisaidie silaha Russia kwa kuivamia independent Ukraine.

China ina ambitious za kufika mbali ndio itoe makucha yake. Kwa sasa hawataki vipingamizi wanasubiri wawe wakubwa kijeshi, kiuchumi na kushika taasisi za dunia ndio wakivamia Taiwan na kufanya lolote wasiguswe. Sio timing nzuri wafanye hivyo sasa
 
.
Screenshot_20220314-110256.jpg
 
Msaada umeombwa Beijing anaekanusha yupo Washington.
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa vikali Marekani juu ya madai yake kuwa Russia kaomba msaada wa kijeshi kwa China. Wizara hiyo imeiita huo ni uzushi wa Marekani.

Hiyo ya motomoto toka Beijing, au Beijing nayo ipo Washington?

Lete uzushi mwingine.

SmartSelect_20220314-110224_Chrome.jpg



 
Aisee sasa alianzaje kutoa ule mkwara wa kusema nchi yeyote itakayoingilia kati itapata pigo la kihistoria kama hata magazine hana za kutosha

Ukraine yeye anasema mtu yeyote anayetaka kuisupport ukraine aje atapewa silaha, means kwamba ukraine bado wana silaha za kutosha ku handle hii vita

Ila mrusi kama kweli haya mambo ni kweli na sio propaganda ni bora asingeingia kwenye vita ili kuitunza heshima yake na CV ya nchi ambayo ni hatari kijeshi na inayoongoza kwa silaha nzito za maangamizi
Scars [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] we n mfatiliaji mzuri na huw nakuona unatumia "Neno" logic kwa wingi... Em zichuje hizi taarifa zinazotoleww na upande wa magharibi....

Swali la kwanza kujiuliza liwe kwanini Media za upande wa Russia zimefungiwa... Lengo haswa ni nini?

Pili Fatilia "Authenticity" ya taarifa zinazokuja kutoka Western....

Tatu jiulize there are more than 20Million Active Cellphone Ukraine ambapo pia kuna 100% covarage ya internet... Ka kweli wanashinda k wanavodai kwanini kuna veeeeeery very few raw footage kutoka kwao?

Nne ingia ka una mda tafta media 3 kutoka western Like Fox, CNN ama Reuters kisha chukua media hizi kutoka upande wa pil... Sputnik, RT na CGTN kisha uwe huru usiwe na mahaba anza kuchambua kila taarifa inayoandikwa pande hzo...

Baada y apo utatupa mrejesho.
 
View attachment 2149280

Vijana wa Putin hili ni daraja linaunganisha Hostmil na Kiev Ukraine imelivunja kabisa Sasa waliovuka upande wa pili Mimi nitakuwa naonesha mizoga tu... Yaaani Hadi wakifika Wasyria Russia itakuwa imetumia wanajeshi 200K
Jeshi lina kikosi cha Engineering hilo linajengwa kwa masaa tu tank zinapita we unafkiri watajenga daraja la Kigamboni -kurasini
 
Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.

Lesson: Don't play with big boys.
USA na ukubwa wake wote na nguvu alizonazo lakini kuna vifaa vya kijeshi baadhi ananunua kwa Mfaransa. Kumbuka hata uwe mkubwa wa kiasi gani still hutakuwa na kila kitu. Hivi kwa mfano Tz ingekuwa inatengeneza mishale na mikuki bora halafu jeshi la Marekani lihitaji kwa ajili ya operation zake misituni, TUNGESEMA USA KAZIDIWA NA HANA UWEZO??

Ubongo wa mwanadamu una uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo, hivyo TUTUMIE BONGO ZETU kikamilifu
 
Back
Top Bottom