Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu maombi yamepelekwa China sio Washington. Huyo balozi asubiri tu kupewa taarifa. Kwa sasa hana hizo taarifa aendelee na majukumu yake ya kibalozi hapo Washington
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa vikali Marekani juu ya madai yake kuwa Russia kaomba msaada wa kijeshi kwa China. Wizara hiyo imeiita huo ni uzushi toka kwa Marekani.

Haya una jingine Mkuu? Taarifa imetoka Beijing, au Beijing ipo Tanzania?

SmartSelect_20220314-110224_Chrome.jpg

 
Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.

Lesson: Don't play with big boys.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa, unarudia hii comment kila muda. UKRAINE imekuwa magofu afu useme URUSI ameomba msaada wa silaha?
 
Top news for the day:

- Crimea and Donbass, as part of a special operation in Ukraine, managed to be connected by a land corridor, said Georgy Muradov, Permanent Representative of the Republic of Crimea to the President of Russia, Deputy Prime Minister of the Crimean Government;

- French leader Emmanuel Macron held a telephone conversation with US President Joe Biden, during which the parties agreed to strengthen sanctions against Russia, according to the Elysee Palace;

- sanctions pressure on Russia from the West will not change Moscow's foreign policy, said Deputy Russian Foreign Minister Sergei Vershinin;

- about 1.4 thousand Russian servicemen were sent for rehabilitation after injuries received during a special military operation in Ukraine.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
The Russian Embassy in the United States called a WSJ publication a lie, in which Russia was accused of "intimidating" the West with "threats of nationalization":

“Mutually beneficial business cooperation between the two countries has always been a policy-free zone. Even in the most difficult situation, US commercial interests in the capacious Russian market are not infringed in any way.

The decision to continue doing business in our country is entirely up to the Americans. As well as the right to ignore the Russophobic hysteria that encourages foreign businesses to suffer huge losses in order to annoy Russia.”

The day before, the WSJ, citing unnamed sources, published an article in which it accused Russian prosecutors of intimidating American business representatives and threatening to nationalize their assets in Russia.

Also yesterday, the US Bureau of Industry published a list of goods that will be banned from being shipped to Russia. It includes about 570 titles. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
China hana mpango na hii vita maana kashtukizwa. Marekani ilijiandaa na kuwapanga wafuasi wake ilipojua Russia itavamiwa, Russia ilitegemea ushindi wa haraka na haikutarajia itapingwa kwa mkumbo hivyo haikujipanga na washirika wake wachache. China ndio ingetakiwa kuwa ishaivamia Taiwan ambayo actually ni eneo lake ila haijafanya hivyo leo hii iweje iisaidie silaha Russia kwa kuivamia independent Ukraine.

China ina ambitious za kufika mbali ndio itoe makucha yake. Kwa sasa hawataki vipingamizi wanasubiri wawe wakubwa kijeshi, kiuchumi na kushika taasisi za dunia ndio wakivamia Taiwan na kufanya lolote wasiguswe. Sio timing nzuri wafanye hivyo sasa
Samahani umeandika kwa uelewa wako au??
 
Scars [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] we n mfatiliaji mzuri na huw nakuona unatumia "Neno" logic kwa wingi... Em zichuje hizi taarifa zinazotoleww na upande wa magharibi....

Swali la kwanza kujiuliza liwe kwanini Media za upande wa Russia zimefungiwa... Lengo haswa ni nini?

Pili Fatilia "Authenticity" ya taarifa zinazokuja kutoka Western....

Tatu jiulize there are more than 20Million Active Cellphone Ukraine ambapo pia kuna 100% covarage ya internet... Ka kweli wanashinda k wanavodai kwanini kuna veeeeeery very few raw footage kutoka kwao?

Nne ingia ka una mda tafta media 3 kutoka western Like Fox, CNN ama Reuters kisha chukua media hizi kutoka upande wa pil... Sputnik, RT na CGTN kisha uwe huru usiwe na mahaba anza kuchambua kila taarifa inayoandikwa pande hzo...

Baada y apo utatupa mrejesho.
Kiukweli kwenye hii vita niko nyuma sana, yani sio mfatiliaji kivile huwa nakuwa touched na big events kama hizi ambazo zinasumbua sana mitandaoni na kujadiliwa sana

Hata hii mada ingeanzishwa humu directly nisingeweza kuiona kwasababu sio mfatiliaji sana wa uzi huu.

Hii ya media za urusi kufungiwa sijajua ni muendelezo wa vikwazo au ni conspiracy ku minimize reports za vita ambazo zinaonesha mashambulizi waliyopigwa Ukraine au namna gani
 
Hii ligi ni noma, ila mi najua wanamuogopea nuclear, maana hata kama iweje hakuna uwiano kati ya mataifa zaidi ya kumi yaliyoendelea kupigana na russia peke yake,
Eti wanuongea Nuclear kwani NATO na Marekani hawana hizo nuclear? Sema NATO na Marekani hawataki kuiangamiza Dunia ndio maana hawataki vita ya nuclear, kama Russia mbabe apigabe conventional war.
 
Duu pro NATO mna msongo wa mawazo hatari. Mkisikia ka habari kokote kanakoonekana kabaya kwa Russia mnakashikiria bango hatari. Ooh mara Fu.....Russia, mara mkulima kaiba kifaru, mara mademu wamevaa gwanda. Upuuzi mtupu.
Leo hao BBC, CNN hiyo ndo itakuwa habari siku nzima wataivalia bango balaa.
Hivi kwa akili ya Kawaida mnaweza kuamini hii habari.
Kwa kuzidiwa kupi? hadi Russia aombe Silaha China. Yaani mtu anawapumulia kisogoni, ananyakua miji na kuweka viongozi wake, anajichagulia sehemu ya kupiga atakavyo, halafu eti huyo mtu kaomba Silaha.
Amkeni nyie viazi. Hii habari imekuja mahsusi kufanya diversion ya kipondo walichopokea jana.
Jana watu wamechapa kambi ilijaa Wanajeshi wa NATO, Mayor wa Hilo eneo amekiri watu 35 kufariki.Kumbuka ilipigwa kambi ya jeshi na humo hawakai ng'ombe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kwa principle za utoaji habari za vita, hapo zidisha mara 10, hiyo ndo idadi ya maafa.
So taarifa hii ya kujifariji ni namna ya kuzima taarifa za mkongoto wa jana
Wewe lete hizo positives za Urusi
 
Muda ni mwalimu mzuri.... Tuache kujikuta akina Yahaya... JF ndo hii hii... Kikubwa uzima tu baada ya miezi kadhaa tuendelee kukutana apa apa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Af hoja zako mwenyewe waona umeandika nyundo haswa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi kwa akili yako bila mihemko wanaosita kuikata ile Gas ni Russia au Europe wenyewe? Si wamezuia kila kona waambie waisimamishe right now af unambie atakayoisoma number ni Russia au wao...

Kama hawama shida nayo wangezuia sehem zingine wakaiacha hiyo? Wanazuia kila chaka za ela zinazoingia Russia kwanini hyo waendelee kuiacha...

Hyo SWIFT why iwe selective kwa baadh ya Bank? Kama wamepania mbona hawajaizuia Completely...

Unashindwa kuona USA alikuwa aki'import just as little as 3% ya Oil and Gas kutoka Russia kaizuia hali nchini kwake hakuna asyejua... UK nae anapokea just as little as USA kwa 3% kutoka Russia...

View attachment 2149652

Haya kwa hizo data apo juu tumia utashi wako nambie anaesita kukata Gas ni nani? Na hii chini kila mda nairudia... Ukiikata hyo Nusu ataumia Russia au wataumia wananchi wa Europe?

View attachment 2149656

Af na vile unavoweka hizo "NEVER" [emoji23][emoji23][emoji23] utafikri we ndo unajua cha kufanya kuliko warusi wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Utafikir we ndo huwa unasimamia mapato yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....

Kingine una ka udhaif kamoja unabeba Issue juu juu... Hivi ukifanya mauzo ya 1000 faida no shi ngapi baada ya kutoa operation Cost?

Ngoja nikuisadie kingine ambacho hata huwazi... Kwenye revenue nyinhi avarage ya net profit huwa inarange asilimia kama 10... Apo ni when company limefanya vizuri... Na biashara ya bidhaa siku zote huwa mauzo makubwa faida kidogo tofauti na mauzo ya huduma "Service"...

Sasa kwa exportation ya B123 kwa mujib wa data alizoleta Mr kule juu maana ake ni about net profit ya ka Bil 10 hivi ambayo ukitoa kodi inayochukuliwa na serikali ka net profit ni ka Bil 1.5 USD kwa kufata rate yao ya kodi 15%..

Sasa angalia vizuri hicho kiasi halisi kinachoingia serikalin ambayo imelengwa kudhoofishwa kisha niambie hzo budget.

Hivi unatumia kiungo gani kufikiria rafiki angu au na wewe una mahaba?

Et Russia bila Oil hatoboi, eti BRICS ni Useless, Eti Dunia nzima inamtenga [emoji23][emoji23][emoji23] Kisa USA na NATO wamesema [emoji23][emoji23][emoji23]...

Kongole Jomba na we si tatizo lako ni mawazo na maono yako yalipoishia.
Una moyo kubishana na huyo jamaa asee 😆😆

Hatumii tena ubongo kufikiri
 
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa vikali Marekani juu ya madai yake kuwa Russia kaomba msaada wa kijeshi kwa China. Wizara hiyo imeiita huo ni uzushi wa Marekani.

Hiyo ya motomoto toka Beijing, au Beijing nayo ipo Washington?

Lete uzushi mwingine.

View attachment 2149818


Sasa wanapata nini kutoa uongo kama huu?

Ila Us ni wajinga sana, afu biden wananchi wake wanalia gas imepanda anaacha mambo ya msingi anaenda kupoteza muda kwenye vitu vya kijinga
 
Katika complex defense system Russia anacompete na USA na Ufaransa Kwa mbali , hapa in term of aeroscope na hata ndege nyingi za kivita China hununua Kwa Russia , sasa sijajua Russia anaomba msaada upi ....

Hii vita wahuni wengi Hawapo tayar na hata Putin mwenyewe yupo kwenye wakat mgumu , sema ndo hvo anawaza kurudi nyuma noma,Bora tu usonge mbele , lakn mwisho wa sku hapa ni maridhiano
Russia anaiomba China msaada wa Drones sababh huko ardhini vifaru na armour vehicles zake zinateketezwa na Javelin. Kuna kipindi hapa uliletwa Uzi jinsi Marekani na Israel walivyobobea kwenye utengenezaji wa Drones huku Russia akiwa nyuma kabisa. Pro Russia walidai Drones ni uchafu wao wana Iskender na Ballistic missile zingine,kumbe hawakujua modern war inapiganwa kwa Drones ili kupunguza hasara za vifo kwa wanajeshi,vifaru na magari mengine. Sasa leo Russia ndio anashtuka.
 
Aisee sasa alianzaje kutoa ule mkwara wa kusema nchi yeyote itakayoingilia kati itapata pigo la kihistoria kama hata magazine hana za kutosha

Ukraine yeye anasema mtu yeyote anayetaka kuisupport ukraine aje atapewa silaha, means kwamba ukraine bado wana silaha za kutosha ku handle hii vita

Ila mrusi kama kweli haya mambo ni kweli na sio propaganda ni bora asingeingia kwenye vita ili kuitunza heshima yake na CV ya nchi ambayo ni hatari kijeshi na inayoongoza kwa silaha nzito za maangamizi
Putin alitoa huo mkwara kutegemea nuclear. Sasa imejidhihirisha jeshi la Russia si chochote bila kutumia Nuclear.
 
Sasa wanayatangeneza ya kazi gani ilihali kwenye vita kama hizi hayatumiki?

Wanatumia budget kubwa kutengeneza halafu linakaa store tu, yani kiufupi gobole lina msaada kwenye hii vita kuliko nyuklia
Drones ndio mpango mzima kwenye vita hizi,wewe cheki kuanzia Afghanistan,Iraq,Libya,Syria na Yemen ni mwendo wa Drones tuu. Sasa Russia kahifadhi nuclear nyingi huku akiwa hana Drones, sasa anapata cha moto.
 
Back
Top Bottom