Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bora URUSI ashindwe tubaki na NAT0 wetu na USA wana0tupa msaada kuliko kuwashabikia URUSI amba0 ni madikteta na hawana msaada wowote wa kibinadamu na sisi zaidi watu wetu wakienda kusma huko wanarudi wengi wao wanaumwa vichwa

Unapewa msaada afu unaambiwa uruhusu ushoga? Sasa msaada gani wa mashart huo
 
Kujenga ni pesa,una pesa wewe?
We kweli kwenye Mambo ya kijeshi bado sana
Screenshot_20220314-121731~3.jpg
Screenshot_20220314-121524~2.jpg
Screenshot_20220314-121752~2.jpg
 
1. GDP haina maamuzi kwenye kushika uchumi wa dunia. Nchi zote zinazoongoza GDP ni zenye watu wachache hata hii Tanzania mtembeza bakuli yenye watu milioni 60 ukifukuza watu wote maskini ukabakiza wenye hela milioni moja tu utakuta Tanzania iko among nchi zenye GDP kubwa na hapo haina maamuzi yoyote kiuchumi duniani. Nchi zote zenye GDP ndogo ndio zile zenye watu wengi sana kina India na China.

2. Marekani kuongoza katika matumizi ya mafuta na nishati kwa ujumla ni ishara ya kuwa na uchumi wa viwanda. Nchi yenye uchumi mkubwa hutumia nishati kubwa sana ya ndani na nje, Russia anahitaji nishati kidogo kwa kuwa uzalishaji ni mdogo.

Russia nchi kubwa ila population ndogo, maisha ya kawaida. Unaweza nitajia Mmarekani gani amehamia Russia? Sasa Marekani kuna Warusi kibao kina Sergey Brin co-founder wa Google. Uliwahi sikia billionaire wa Uingereza anaenda kuishi Urusi, sasa London pale kuna hadi mtaa ni oligarchies Warusi kibao. Hata wewe hapo ukute unatamani kwenda Marekani au Western Europe kuliko Urusi

3. Kuwa world manufacturing hub hakukufanyi uongoze uchumi wa dunia. Huawei wakati inawekewa vikwazo ilikuwa inakuwa ya kwanza au ya pili kwenye uuzaji wa units nyingi za simu duniani. Leo ya ngapi? Hata top 10 haipo. Huawei ilizalisha kuliko kampuni yoyote ya Marekani ila teknolojia zote za uzalishaji wa simu karibia zinaanzia kwa Mmarekani. Kama uzalishaji unakufanya uongoze Huawei isingeshuka uzalishaji zaidi ya 80% tangu ipigwe vikwazo 2019. Watu kama nyinyi mlikuwa mnajifariji leo hii hata mkipewa latest Huawei mtalazimika muwe na nyingine pia.

India imefanya outsourcing ya technology na wanaenda uko kwa sababu kuna cheap labour wakutumikishwa bila gharama kubwa. Wafanyakazi wa Marekani na Ulaya wanalindwa na sheria nyingi zinazofanya gharama za uzalishaji ziwe kubwa. Hata China ilianza hivyo ingawa inatoka uko sasa. Ukichukua S&P 500 unakutana na makampuni 500 ya Marekani yaliyowekeza dunia nzima na ukiyalinganisha na hizo India, China na Russia utakuta hawakaribii hapo. Makampuni ya Marekani yameajiri dunia nzima, yanamiliki patents na yanazalisha dunia nzima wewe ukija unaangalia nchi zinazozalisha kwa uwekezaji wa nje. Mbona mojawapo ya sababu ya wazungu kutafuta makoloni Afrika ni kupata cheap labour? Bila mzungu kuja kutumikisha watu Tanganyika isingeongoza kwenye katani, wala Ivory Cost na Ghana zingeongoza kwenye cocoa
Wewe jamaa unajua kufanya analysis uko informed sana na issue za uchumi wa dunia. Wazee wa mihemko mnatusaidia kupata details kutoka kwa wajuvi wa mambo
 
Kiukweli kwenye hii vita niko nyuma sana, yani sio mfatiliaji kivile huwa nakuwa touched na big events kama hizi ambazo zinasumbua sana mitandaoni na kujadiliwa sana

Hata hii mada ingeanzishwa humu directly nisingeweza kuiona kwasababu sio mfatiliaji sana wa uzi huu.

Hii ya media za urusi kufungiwa sijajua ni muendelezo wa vikwazo au ni conspiracy ku minimize reports za vita ambazo zinaonesha mashambulizi waliyopigwa Ukraine au namna gani
Anha basi ndo maana, kuhusu media kufungiwa hiyo ya pili kwangu ndo jibu... Kubana taarifa kabla ata ya vikwazo.

Kwa apa JF taarifa kwa usawa zipo chache... Ambae analeta taarifa kutoka vyanzo vingi na tofauti bila kujali kazungumziwa nani ni huyu NYUNDO YA MOTO ....

Taarifa za upande wa Russia msikilize huyu Sikirimimimasikini anajaribu kuja na vyanzo vya habari kutoka kwenye vyombo vya habari vinavotambulika kwa kila mtu.

Taarifa za upande Ukraine utazipata hasa kwa Omary - Msamalia na wengineo japo nyingi tweets ila kama huna mahaba unaeza ukawa unazichuja kupata ukweli...

Bt reliable haswa haswa kwe huu uzi ni huyo niliyetangulia kumtaja.... NYUNDO YA MOTO
 
Enhe umenza kuona udubwashi wa taarifa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em imagine taarifa kubwa ka hilo kuzua uzushi wa mfano huo mataifa mengine yanamwonaje...

Ila wapo washabiki apa wanajitia upofu na kuchagua taarifa za kuyafurahisha masikio yao na nyoyo zao...

Mswahil mmoja apa anakula dona na nsansa anakwambia Marekan hawezi kuathirika na vikwazo vyake mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilhali Raia waliopo kule ndo hawa wameanza mpk kuprint Mashati kulalamika

View attachment 2149927

Mpaka wanatengeneza Meme, kama hizi hali ngum.

View attachment 2149930
 
Kila mtu anakuja na hoja kutoka source yake, na mwingine anakuja ku disprove hiyo source kupitia source yake

Sielewi yupi ni yupi, yupi mkweli yupi muongo

Yani kiukweli mnazidi kuniacha highway kwenye hili swala
Huezi ukapata taarifa nzuri sa simba kwa mwana yanga au taarifa za yanga kwa mwana simba.... Kila mtu anamwona mwenzake kiazi ndezi...

Em fikiria mswahili anakwambia Russia anakopolewa.... Af AlJazeera wanaweka hii kwe kurasa zao kuonesha sehem zilizoshikiliiwa na Russia up do date...

Screenshot_20220314-124037.jpg

Kisha unaanza kujiuliza hao Warusi wanapigwa wanawezaje kuichota hyo miji yote... Angalia hyo raman uku ukiw wajua Ukraine kieneo n ya Pili baada ya Russia kiukubwa baran Ulaya.

Mara unaambiwq magerenal sita wameuliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajiuliza General au kamanda mkuu w jeshi anaenda kutafuta nini eneo la vita [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Unaambiwa jeshi linapiga sana ila pemben unaambiwa tena Zelensky katoa Offer ya citizenship kwa watakaojitolea kwenda Ukraine kupigana na Russia...
 
Sanctions are harmful even to America. Hakuna ambaye haguswi na huu mzozo hata sisi Tanzania hapa bidhaa zitapanda bei. Hasa nchi zenye ujirani na Russia lazima zipate shida zaidi. Ila kuna option, nchi inaamua kusideline na Russia au kuendana na nchi nyingi duniani. Marekani ana counter American adversaries through sanctions (CAATSA) anasubiri nani atajiunga na Russia. Venezuela alitengwa na Marekani peke yake (hakutengwa na EU) ila akaungana na Russia. Leo hii 1USD = 420,000+ Venezuelan Bolivar.

Nchi zitalalamika na zenye nguvu kama China zitafanya mazungumzo sana ila hazitaungana na Russia nchi moja ziachane na nchi nyingi
Shilingi 1 ya Tanzania ni sawa na shilingi 183 Venezuela hadi bongo tumewazidi
 
Huezi ukapata taarifa nzuri sa simba kwa mwana yanga au taarifa za yanga kwa mwana simba.... Kila mtu anamwona mwenzake kiazi ndezi...

Em fikiria mswahili anakwambia Russia anakopolewa.... Af AlJazeera wanaweka hii kwe kurasa zao kuonesha sehem zilizoshikiliiwa na Russia up do date...

View attachment 2149944

Kisha unaanza kujiuliza hao Warusi wanapigwa wanawezaje kuichota hyo miji yote... Angalia hyo raman uku ukiw wajua Ukraine kieneo n ya Pili baada ya Russia kiukubwa baran Ulaya.

Mara unaambiwq magerenal sita wameuliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajiuliza General au kamanda mkuu w jeshi anaenda kutafuta nini eneo la vita [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Unaambiwa jeshi linapiga sana ila pemben unaambiwa tena Zelensky katoa Offer ya citizenship kwa watakaojitolea kwenda Ukraine kupigana na Russia...
Kuichota miji kunahusianaje na kutopigwa? Kupigwa Kuko palepale,hawapakwi poda huko
 
Anha basi ndo maana, kuhusu media kufungiwa hiyo ya pili kwangu ndo jibu... Kubana taarifa kabla ata ya vikwazo.

Kwa apa JF taarifa kwa usawa zipo chache... Ambae analeta taarifa kutoka vyanzo vingi na tofauti bila kujali kazungumziwa nani ni huyu NYUNDO YA MOTO ....

Taarifa za upande wa Russia msikilize huyu Sikirimimimasikini anajaribu kuja na vyanzo vya habari kutoka kwenye vyombo vya habari vinavotambulika kwa kila mtu.

Taarifa za upande Ukraine utazipata hasa kwa Omary - Msamalia na wengineo japo nyingi tweets ila kama huna mahaba unaeza ukawa unazichuja kupata ukweli...

Bt reliable haswa haswa kwe huu uzi ni huyo niliyetangulia kumtaja.... NYUNDO YA MOTO
Mkuu Galip SV nashukuru sana kwa kuniweka mahala stahili kwangu (Team Putin/Russia) 😂🤣🤣🤣
 
Marekani ilitoa taarifa kwa Ukraine wenyewe wakakataa kuamini. Ikawambia washirika wake kina UK na Israel wakahama mapema kabla vita haijaanza, nani alisikia Myahudi au Mwingereza kakwama Ukraine tena wakisisitizwa mpaka kutishiwa "vita ikianza hatuna uhakika kama tutaweza kuwaokoa" at that time wanaamini performance ya jeshi la Urusi itakuwa kubwa.

Marekani ndio imetoa makadirio ya vifo na uharibifu wa pande zote mbili, ni baada ya propaganda za Ukraine kusema imeua Warusi sijui elfu ngapi uko. Hawa wanaobishia hili ndio walikuja kutumia hizo data kuonesha Ukraine waongo. Yani wanapingana na uhalisia. Muda ni mwalimu, hata hii operation ilianza wakisema "siku tatu tu tunachukua nchi" leo zaidi ya wiki mbili. Hata hili la sanctions itafika muda tuongee lugha moja
Mkuu kwani tatizo liko wapi kwa Urusi kuomba silaha anazo ona zinamfaa kwenye vita tena kutoka kwa mshirika wake wa kijeshi ,kiuchumi na kisiasa?

Kwann kila anacho kifanya Russia kinaonekana ni kitu cha ajabu wakati ni kitu cha kawaida kwa washirika kusaidiana vitani hata Marekani huwa anafanya hivyo?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni jana.

eco.png
 
Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.

Lesson: Don't play with big boys.
Kangara imeisha hapo mlipo?!
 
Back
Top Bottom